Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Magufuli alikuwa takataka, sishangai uamuzi wake
 
Ila akaunti nyingi za mitandao zinakuwa hacked sana, kwa hiyo sishangai
 
Huyu wa kabuhoro,kirumba mwanza? JPM alimuweka kwenye mfumo kwa sababu ya ukabila tu
 
Magufuli alikuwa takataka, sishangai uamuzi wake
Umempatia, mazuzu hayo. Mi sijawahi kusikia wala kuona watu wanasherehekea kifo cha binadamu mwenzao ila niliona kwa Magufuli. Nchi nzima ilisherehekea kufa kwake leo wapumbavu kutoka lile genge la kisukuma wanawalazimishia watanzania huyo shetani wao mfu. Makala ndiyo mwenezi mtarajiwa
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Mpeni Lucas
 
Katibu mwenezi awe Mama Samia mwenyewe sababu kila anayemuweka anamtoa ashike mwenyewe hiyo kazi.
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Mamaaaaaa!🤣
 
Kwanza nani anaye ipenda CCM?angalau ata Makonda na Polepole walijaribu kuwashawishi Wananchi kumpenda shetani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…