Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Uko sahihi. Mtaka ni short-tempered hatawezana na muziki wa hawa wapinzani. Makonda angekuwa na speed governor ya mdomo alikuwa mtu sahihi.
 
Makonda,huyu alihitaji tu kuwa anarekebishwa anapokosea,lkn kwa muono wangu naona angafaa sana kwa siasa za awamu hii,narudia tena only kwa siasa za awamu hii...
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Yule mkuu wa mkoa wa Njombe ana faa kuwa mwenezi wa Ccm. Yuko humble na kichwa kiko sawa
 
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!

Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!

Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Bila kupepesa macho ,natamani saaana yule Said Mtanda ueneze ungemfaaa saaana ,ila kwa kuwa amekuwa mkuu wa mkoa mkubwa hapa nchini ,nadhani yule mku wa mkoa wa njombe anafaa pia
 
Nasema CCM inahitaji watu kama Steve Nyerere, Baba Levo ingawa sijui kama ana kadi ya CCM, Mwijaku, au Doto Magari1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…