Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Hivi hapa Tanzania kuna mtu asiyeweza kufit kuwa mkuu wa Mkoa?
 
MIMI NAFAA KABISA NAFASI HIYO. Mwambie Mama anipe nafasi hiyo nimuonyeshe utendaji kazi makini.
 
Changamoto siyo mtu sahihi , changamoto kubwa ni kwamba anapatikanaje?

Wabadili utaratibu watangaze nafasi watu tuombe, tupimwe kwa ahadi zetu na Job description tutakayopewa.

Sometimes watu wanateuliwa wanashindwa kukataa.....ila mtu akiomba kazi anakuwa amezamiria yeye na anapaswa kufahamu mipaka yake
 
Hapana Dodoma alifist sana
 
31 October 2023

MAPYA TENA UTEUZI WA MAKONDA CCM: MCHAMBUZI MSOMI DR. MUCHUNGUZI AFICHUA MAZITO


View: https://m.youtube.com/watch?v=ZTgLSJMGn18
Mchambuzi Dr. Dennis A. Muchunguzi anazungumzia afya ya kubadilisha makatibu uenezi itikadi na elimu siyo kuyumba kwa CCM bali ni afya sura mpya kupokezana vijiti toka kwa Nape Moses Nnauye, Humphrey Polepole, Shaka Hamdu Shaka, Sophie Mjema, Paul B. Makonda ....
 
Atamrudisha polepole...kimkakati zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…