Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Bado ni mapema sana ila yule ni lawyer
 
Hatoshi Huyo Ni Aina Ya Shaka Shaka, Sophia Mjema Yaani Bado
Anatakiwa Mtu Wa Aina Kingpin, Coulterpin,Centre Bolt
Watu Wa Magari Ama Bicycles Wamenielewa Vizuri
 

Apewe hata Jesca Magufuli itafaa zaidi.
 
Si bora hata yule msemaji wa Simba SC kuliko huyo? Huyo Heri hamna kitu.
 
UVCCM mna matatizo sana
 
Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuongea na anajuwa kusambaza ujumbe wake kwa staili yake mwenyewe.

Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.

Manara hoyeeee.
 
Haji Manara ni kamda mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuobgea na anajuwa kusambaza uj7mbe wake kwa stailibyake mwemyewe.

Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.

Manara hoyeeee.
Si nasikia na yeye ndio Yale Yale ya kuitwa na Pdidy.Hivi Mwenezi anatakiwa mtu wa kuropoka?
NB:Hayo makosa ya uandishi ingekuwa Kwa wenzio ungekuwa kifimbo cheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…