Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!
Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!
Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF