Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Slow slow
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amos Makalla anatoshanafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Tuwekewe Muislam yeyote ili kukamilisha safu ya Mnyaazi Mungu.nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
PolepoleNafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Chama kinalijua hilo vyema kabisa na kina vijana waledi, wenye elimu,na waliokwisha kuonyesha uwezo wao wa kiutendaji. Wala hakuna haja ya kupendekeza jina hata kidogo, tatizo ni kuwa CCM wamejigeuza na kuwa kundi la mbwa mwitu, wanapeana hizo nafasi si kwa kuangalia uwezo peke yake.Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Akuteue weweNafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama!
Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake!
Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
Atakataa teuzi ruzuku ya fifa,faini na pesa za uzamini ni tamu hazina wachawiWalace Karia vipi?
Jirani yangu naomba mumpumzishe na wiki hii ana futurisha halafu naona kaenda age huyu MamaAsharose migiro.
Sasa ushoga unakujajee hapa?Ushoga huwa unaanza kwa kujipendekeza katika mambo yasiyokuhusu.
Ni lini Samia alisema anahitaji maoni yenu kuhusu nafasi ya katibu mwenezi?
Makonda simpendi tangu zamani ila Samia amempandisha wadhifa ingawa wengi wanadhani ametupwa.
Nafasi ya katibu mwenezi wa chama sio kubwa kama mnavyodhani, ila hulka ya Makonda ndio ilifanya hiyo nafasi muione kubwa.
Ushoga unakuja kwa kuparamia mambo yasiyomhusu.Sasa ushoga unakujajee hapa?