Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

Huu ni uzi wa wana CCM kumbe.

Kwanini msimsaidie mama mbinu mbali mbali za kuongeza mapato ya serikali ili tupunguze kukopa na tuweze kufikisha huduma mbali mbali kwa jamii?

Katika kipindi kama hichi ambacho taifa lina strugle na upatikanaji wa maji safi, umeme, miundo mbinu ya barabara nzuri na za uhakika etc. Imagine mtandao wa barabara za lami uko limited kiasi kwamba wilaya nyingi haziunganishwi na lami.

Hizi fedha zitasaidia sana kuimarisha miundo mbinu ili kuendana na uwekezaji unaofanyika kwenye shughuli za uzalishaji kama kilimo na biashara.

Msaidieni maza hayo, mwenezi ana faida kwa wanaCCM tu ila taifa likinufaika wananufaika watu wengi zaidi sio wanaCCM pekee.

Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuongea na anajuwa kusambaza ujumbe wake kwa staili yake mwenyewe.

Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.

Manara hoyeeee.
Siku Manara akipewa hiyo nafasi, wanaSimba wote ambao ni CCM (akiwemo Rage, Karia, Mangungo, Mo) watarejesha kadi za CCM siku hiyo hiyo.
 
Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!

Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!

Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
si sawa hata kidogo 🐒

asanti kwa maoni na mtazamo huru 🐒
 
Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuobgea na anajuwa kusambaza uj7mbe wake kwa stailibyake mwemyewe.

Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.

Manara hoyeeee.
List hii nadhani utapata yupi anofaaa kwa sasa

1 Nape
2 Dotto magari
3 Haji manara
4 mwin jaku
5 Pimbi
6 mpoke
7 Baba levo
8 Joti
9 Steve nyerere

Hii list lazima upate mtu kazi kazi .
 
Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuongea na anajuwa kusambaza ujumbe wake kwa staili yake mwenyewe.

Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.

Manara hoyeeee.
si sawa hata kidogo 🐒

asanti sana kwa maoni na mtazamo wako huru 🐒
 
Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuongea na anajuwa kusambaza ujumbe wake kwa staili yake mwenyewe.

Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.

Manara hoyeeee.
Waluwalu ,sometimes man, kujifanya kijana, kuoa oa hovyo nk.
 
Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!

Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!

Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
Upuuzi wa huyo jamaa ulidhihirika kipindi Cha Magufuli, pale ndio alionyesha ni jinsi gani anaweza kuwa bendera fuata upepo.
 
Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!

Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!

Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
Huyo mpuuzi naye ana mdomo mchafu kama Paul Makonda.
 
Sufiani juma nguli wa siasa za kimkakati na mitufuano akabidhiwe mikoba na mapochi ya comred makonda kolomije bashinde alisongeshe gurudumu la mama kizimkazi na hapa ipo
 
Aliiba nini?
 
Amos Makala
Inashangaza sana huyu Amos Makalla alifukuzwa kazi akiwa RC na marehemu Magufuli ; lakini mara tu baada ya Samia kuukwaa Urais, Vasco Dagama akalisigeza jina la Makalla kwa Samia nae akamteua kama Rc tena; cheo kilichomshinda enzi ya Jiwe!!
Vasco Dagama amefanikiwa kumuondoa Makonda Kwenye secretariat hivi sasa anamshawishi Samia amteue Makalla kama mwenezi ili akishirikiana na Nchimbi kutimiza ajenda zake za kumuhadaa Samia!
Kama Makalla asipoteuliwa kuwa mwenezi basi atarudi shwa kuwa treasurer wa chama ili asimamie mgao wa ccm toka kwenye tender ya 39 billion shillings aliyopewa Rostam Aziz!
 
Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi
anajuwa kuongea
anajuwa kusambaza ujumbe wake
Ongezea na hili ili moyo wako ufurahi!

1) Ni muislamu!

2) Ni mtoto wa Kariakoo!

Vipi unaikumbuka hii??

HAJI MANARA KIZIMBANI LEO KWA KUDAIWA UTAPELI WA MAGARI: Pia anadaiwa kujipatia mamilioni ya fedha

MANARA 2.jpg

Aliyekuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara akiwa achini ya ulinzi wa Polisi alipofikishwa katika mahakama ya Kinondoni, jana kwa tuhuma za utapeli. (Picha na Emmanuel Ndege).

Stori Kamili

Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara (35), jana alipandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya wizi wa magari na kujipatia mamilioni ya fedha kwa njia ya udanganyifu.

Manara alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambapo umati wa watu ulifurika, wakiwemo ndugu zake ambao walionekana kulengwa na machozi, baada ya mshitakiwa huyo kurudishwa rumande.

Back
Top Bottom