Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku Manara akipewa hiyo nafasi, wanaSimba wote ambao ni CCM (akiwemo Rage, Karia, Mangungo, Mo) watarejesha kadi za CCM siku hiyo hiyo.Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuongea na anajuwa kusambaza ujumbe wake kwa staili yake mwenyewe.
Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.
Manara hoyeeee.
si sawa hata kidogo 🐒Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!
Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!
Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
List hii nadhani utapata yupi anofaaa kwa sasaHaji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuobgea na anajuwa kusambaza uj7mbe wake kwa stailibyake mwemyewe.
Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.
Manara hoyeeee.
si sawa hata kidogo 🐒Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuongea na anajuwa kusambaza ujumbe wake kwa staili yake mwenyewe.
Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.
Manara hoyeeee.
Waluwalu ,sometimes man, kujifanya kijana, kuoa oa hovyo nk.Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi, maarufu, anajuwa kuongea na anajuwa kusambaza ujumbe wake kwa staili yake mwenyewe.
Naamini kazi hiyo Haji Manara itamfaa sana na pia naamini kawacha ujinga wa utotoni / ujanani.
Manara hoyeeee.
Upuuzi wa huyo jamaa ulidhihirika kipindi Cha Magufuli, pale ndio alionyesha ni jinsi gani anaweza kuwa bendera fuata upepo.Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!
Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!
Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
Huyo mpuuzi naye ana mdomo mchafu kama Paul Makonda.Habari ndg great thinkers!! Nimeona mkeka mpya wa mama! Nimeutafakari kwa kina! Hakika kila Rais anapenda kufanya kazi na team anayoiamini! Mengine tumuachie Mungu!
Kwa Leo mchango wangu ni kuhusu Herry James! Hakika anafaa kuwa Mwenezi CCM (T) kwasababu zifauatazo:-
1. Ana ushawishi mkubwa Katika kujenga hoja na kuachilia hotuba tamu!
2. Elimu yake ipo vizuri
3. Ni mtu mwenye kujenga team work
4. Ni mtu mwenye kusikiliza, kutatua kero na anao uwezo mkubwa ktk kusamehe
5. Ni mtulivu! Ataweza kumsikiliza mama na kumsaidia kukijenga na kukiimarisha chama.
6. Madhaifu ya kibinadamu kila mtu anayo! Akiwekwa chini na kupata ushauri vizuri hata yanayoonekana ni madhaifu yatabadilika kuwa strength!!
Naomba kuwasilisha!!!
Queen Esther wa JF
Wakolomije wote haoHuyo mpuuzi naye ana mdomo mchafu kama Paul Makonda.
Aliiba nini?
Inashangaza sana huyu Amos Makalla alifukuzwa kazi akiwa RC na marehemu Magufuli ; lakini mara tu baada ya Samia kuukwaa Urais, Vasco Dagama akalisigeza jina la Makalla kwa Samia nae akamteua kama Rc tena; cheo kilichomshinda enzi ya Jiwe!!Amos Makala
Haji Manara ni kada mzuri wa CCM kwa miaka mingi
Ongezea na hili ili moyo wako ufurahi!anajuwa kuongea
anajuwa kusambaza ujumbe wake