D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Dec 27, 2025 #21 Msanii said: Raia mliowaua ndugu zao na kuharibu miili yao? Click to expand... Unamaanisha wale walipokuwa wanajeruhi, wanajua polisi, wanaharibu miundombinu inayotumiwa na jamii, wanaopora, wanapiga na kuharibu Mali za watu?!!!!
Msanii said: Raia mliowaua ndugu zao na kuharibu miili yao? Click to expand... Unamaanisha wale walipokuwa wanajeruhi, wanajua polisi, wanaharibu miundombinu inayotumiwa na jamii, wanaopora, wanapiga na kuharibu Mali za watu?!!!!
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,483 Reaction score 40,130 Dec 27, 2025 #22 Dr wa Manesi said: Unamaanisha wale walipokuwa wanajeruhi, wanajua polisi, wanaharibu miundombinu inayotumiwa na jamii, wanaopora, wanapiga na kuharibu Mali za watu?!!!! Click to expand... Mliwaua baadq ya kusomewa hukumu na mahakama ipi? Mlipomteka mzee Ali Kibao na kumuua aliharibu miundombinu gani? Wale mliowafuata na kuwaua majumbani mwao waliharibu mali za nani kwa thamani ipi? Mna PGO yenu inayorasimisha kutuhumu na kuua bila hukumu ya mahakama?
Dr wa Manesi said: Unamaanisha wale walipokuwa wanajeruhi, wanajua polisi, wanaharibu miundombinu inayotumiwa na jamii, wanaopora, wanapiga na kuharibu Mali za watu?!!!! Click to expand... Mliwaua baadq ya kusomewa hukumu na mahakama ipi? Mlipomteka mzee Ali Kibao na kumuua aliharibu miundombinu gani? Wale mliowafuata na kuwaua majumbani mwao waliharibu mali za nani kwa thamani ipi? Mna PGO yenu inayorasimisha kutuhumu na kuua bila hukumu ya mahakama?
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Dec 27, 2025 #23 Msanii said: Mliwaua baadq ya kusomewa hukumu na mahakama ipi? Mlipomteka mzee Ali Kibao na kumuua aliharibu miundombinu gani? Wale mliowafuata na kuwaua majumbani mwao waliharibu mali za nani kwa thamani ipi? Mna PGO yenu inayorasimisha kutuhumu na kuua bila hukumu ya mahakama? Click to expand... Maagizo yenu ya kutokubali kukamatwa mliyowapatia umeyasahau?!!! Unajua polisi mliowaua mliwaua kipindi gani?!! Ni kipindi hicho Cha kufanya ukamataji.
Msanii said: Mliwaua baadq ya kusomewa hukumu na mahakama ipi? Mlipomteka mzee Ali Kibao na kumuua aliharibu miundombinu gani? Wale mliowafuata na kuwaua majumbani mwao waliharibu mali za nani kwa thamani ipi? Mna PGO yenu inayorasimisha kutuhumu na kuua bila hukumu ya mahakama? Click to expand... Maagizo yenu ya kutokubali kukamatwa mliyowapatia umeyasahau?!!! Unajua polisi mliowaua mliwaua kipindi gani?!! Ni kipindi hicho Cha kufanya ukamataji.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 27, 2025 #24 Lisemwalo lipo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Dec 27, 2025 #25 Smart911 said: Lisemwalo lipo... Cc: Mahondaw Click to expand... Kama halipo laja