Wamewambia wameshindwa kumtibu!?Madj wenzake na clouds waandae tamasha moja linatosha kumsaidia muda upo ila naona iko shida cmg....clouds huwa wanabeba kitu na kukifanya kwa haraka ila kwenye hili sioni
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Wakuu za muda huu?, Nimeona you tube channel ya Global publishers wakifanya mahojiano na DJ Steve B, aliyewahi kuwa DJ wa clouds FM siku za nyuma, huyu jamaa anaumwa ana matatizo ya figo, please wakuu mwenye chochote amsaidie kupitia mamba yake 0715884006 Jina Steven Mdoe. Mbarikiwe.
Sasa matusi ya nini mzee? Kwani nimeitaja Clouds hapo? Wewe ni msemaji wa Clouds? Kama Clouds wanalifanyia kazi ni vyema sana na hata sitaki kugusia hayo na usianze kuchokonoa vitu kwa kujifanya unatetea Clouds na wengine tunataka kuichafua.Acheni kubwabwaja... Clouds media is handling it...
Wangekuwa na shida wangekuja rasmi kutueleza ktk media zao.
So shut the fkuc up.
Get well soon DJ.
Nawa scratch kama stevie B kwenye LP.Kwa maelezo yake jamaa anahitaji kama 60m, wakiungana Wasanii/Wadau wa sanaa kama mia moja hivi, wakichangisha/tafuta 1m kila mmoja wanamaliza.
Clouds media iz handilingi iti hahaha.... Steve b anaangaika na ndugu zake tu clouds kila mtu anaendelea na maisha yake ni kama hawamjui.Acheni kubwabwaja... Clouds media is handling it...
Wangekuwa na shida wangekuja rasmi kutueleza ktk media zao.
So shut the fkuc up.
Get well soon DJ.
Sio kwa hao ma dj,kuamka kwenyewe saasaba mchana kila sikuUna siku saba za wiki tenga siku moja ya kuhudhuria ibada, kila siku omba/mshukuru Mungu
MatapelI hamuishi mbinuWakuu za muda huu?, Nimeona you tube channel ya Global publishers wakifanya mahojiano na DJ Steve B, aliyewahi kuwa DJ wa clouds FM siku za nyuma, huyu jamaa anaumwa ana matatizo ya figo, please wakuu mwenye chochote amsaidie kupitia mamba yake 0715884006 Jina Steven Mdoe. Mbarikiwe.
Wamewambia wameshindwa kumtibu!?
Unakosea Mkuu, suala la ugonjwa usiliangalie negatively kihivyo, matatizo kama ya figo na viungo vingine yanaweza kumpata yeyote yule aisee...siku ukipata nafasi nenda pale "Ocean road Cancer Institute" wagonjwa wengi wa Cancer ya Mapafu si waliokuwa wavuta Sigara!Mimi na wew km vile ulikua moyon mwangu wakati ni wazima wa afya wanakimbizana na dunia na akina lulu mara amber rutty na vilevi vya bei mbaya vya Russia ndio saiz yao matatatizo tunashea huku jf waende kwa walabata wenzie kuanzia maisha club, next door, ambiance na sehemu zote za bata maana huko ndio aliko acha izo figo zake na wenzake akazilejeshe .
Inasikitisha sana,wadau wachache sana walioonyesha uhamasishaji wa michango,nakumbuka kwa sajuki wabongo movie walifanya harambee sana ila kwa wabongo fleva wapi kimya sana,DJ Stevie B amesaidia wabongo fleva wengi sana kuwa promote.Nimetizama video yake aliyofanya intv na GP jamaa kweli anahitaji sana msaada hali yake ni mbaya sana,siamini mpaka sasa wadau wa bongo fleva hawamuoni.
Mkuu Mimi Nina utapeli gani? Namba ya simu ambayo nimeiweka ni ya DJ Steve b mwenyewe nimeiweka baada ya yeye mwenyewe kuitaja kwenye interview, pitia interview yake you tube aliyofanya na global publishers. Usiwe mwepesi wa kuhukumu, pengine we we ndo tapeli mkuu.MatapelI hamuishi mbinu
Hii ndio JF kuna watu wanakera itabidi uwazoee,mimi mwenyewe intvw nimeiona na kweli jamaa anahitaji msaada tena wa haraka.Mkuu Mimi Nina utapeli gani? Namba ya simu ambayo nimeiweka ni ya DJ Steve b mwenyewe nimeiweka baada ya yeye mwenyewe kuitaja kwenye interview, pitia interview yake you tube aliyofanya na global publishers. Usiwe mwepesi wa kuhukumu, pengine we we ndo tapeli mkuu.