Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
ha ha ha, umenikumbusha nyuma kdg, kibwagizo hicho kilifanywa na mr ebo"Sitivuu biii, ni wewe nasababisha muji kutishingika kinoooma nooma tupa sisi rubudaniii...asaaanduuu" hahaha ilikuwa ni jingle jmosi bongoflava clouds fm kuanzia ngoma nne hivi...
FaNgwair........ Au nmekoseaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Hahahaa kitambo sana tulikuwa tunamjua kwa jina la ABEL maisha yanaenda kasi sana.Dah! Maisha haya ...huyu Abel namkumbuka enzi akifanya R&B watu wa Arusha enzi zile watakuwa wanamkumbuka sana!
Nenda you tube channel ya global publishers acha uvivu mkuu.Weka link ya hiyo video wengine hatujaiona bro.
Nenda you tube channel ya global publishers acha uvivu mkuu.
Swali la kipuuzi sana. Yaani unataka ufunge safari utoke nyumbani kwako ili uingizwe Bills bure? Wewe ni bure kabisaWakati ni mzima yupo nyuki DJ aliwai msaidia nani hata kuingia tu bure pale billZ
Nataka kutuma Tsh. 3,000,000/= kwa namba hiyo
Kujua kama imemfikia mlengwaTukusaidie nn mkuu? au kipazasauti?
Kwani tigo walichomoa hawakuwalipa?Waliangukia pua kesi yao
He! Password imeibiwa?Wakati ni mzima yupo nyuki DJ aliwai msaidia nani hata kuingia tu bure pale billZ
Wazo la kipumbavu kabisa kutoka kwa mpuuziWakati ni mzima yupo nyuki DJ aliwai msaidia nani hata kuingia tu bure pale billZ
Wazee wavitonga,sasa unaenda club huna hela si bora ulale nyumbani,alafu hiyo hela yako ya nauli unywee chai na chapati.Wakati ni mzima yupo nyuki DJ aliwai msaidia nani hata kuingia tu bure pale billZ
Hiyo maji lita mbili ni kwa kutwa sio kabla ya chochote glass ya mls 250 inafaa kwa kuanzia siku lita 2 ni too much na haikusaidii.Pole yake ugonjwa mbaya sana na gharama zake kubwa. Ukiamka asubuhi kabla ya kula chochote ni vizuri unywe maji mengi kama utaweza hata lita 2 za maji inasaidia kusafisha figo. Maji ni muhimu sana mwilini