Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

kaka,naomba zingatia haya kwanza najua age yako huenda ikawa 33 na una shahada ina maana unakosa sifa kuwa talented na kuweza kumaintain katika kampuni weng wa hrs watakuona sio profitable coz soon unaingia uzeen na kampuni inataka vijana ambao watakaa muda mrefu kwenye industry...kw
Gentleman,
direct your your very esteem advice to our beloved youth of ours.....
Thank you very much
 
Nyeto mkuu Tlaatlaah asiache.... Although Kuna gepu moja kubwa sana watu wamlisahau. Gepu hili lipo kwenye innovation! Nguvu ya kuzitumia kusaka ajira zitumie kubuni miradi au njia mpya...

Vipindi vinavyoruhswa dstv, clouds nk ni ubunifu. Hivyohivyo vifurushi kama jipimie... Nk ni watu wanabuni, wanaacha impact na wanasogea!. That's all!
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ...nyeto asifanye Nini???
 
Mnunulie sindano ya kushonea viatu,dawa ya viatu hata akianza rangi nyeusi, dark tan na neutral,kushungi cha kupakia dawa na brushes hata mbili ama tatu.

Vitambaa vya kufutia vumbi kwenye viatu ikiwezekana na chombo cha kuwekea maji na kipande kidoogo cha sabuni.

Msogeze maeneo yenye msongamano wa watu km vile nyumba zenye wapangaji wengi,wanapoishi wanafunzi wa vyuo,karibu na salon ya kike na ya kiume. Achukue pair mbili za viatu vyake akavianzie kabisa kupiga umasikini teke.

Kuna kingine unanidai?
USHAURI Mimi nimemliza chuo 2015 nilifanya BAED ...Mojor Geo minor History

Nilitumia Mika Zaid ya mi2 kujitolea kweny shule Moja ya masista IPO Songea

Badae nilianza kujihusisha na kilimo Cha Mahindi trust me nilianza na heka Moja asahv nalima heka 15. Navuna Zaid ya gunia 200

Najuitia sana kupoteza muda kuatfuta Ajira nakujitolea

Vijana wengi hawataki kuanza upya
Nililima heka Moja Kwa mkono wangu w
Mwenyewe nilikongoroka U handsome wote ulitoka..nikanunua mbolea mifuko 3
Nikatia nikavuna gunia 17

Mwaka ulio fata ilikua 2018 nililima heka 3

Lakin nilikua na mtaji wa 180k ndio nilinunua mbolea mwk wa kwanza

Asahivi nimenunua Bajaj mbili mpya
Nimewapa vijana mmojaa ana diploma mwingine ni Account.

Wote nimewapa mkataba wakimaliza Miaka 2 zinakua zao.

Ukiwaambia ingia shamban Utaskia sina mtaji .....

NB: Shambani niliingia hakukua nyumbn ni mkoa ambao hawanijui kbisaaaa
Ruvuma ndani kabisa Kijiji kinaitwa Liganga wanalima Mahindi balaa.

Nipo huku Sasa ni kama nyumbani na nimeoa mngoni.maisha yanasonga.
 
It is impressing, empowering , encouraging and for sure very interesting....

Vijana na JF family,
Ni nini ingine twahitaji ili kupiga hatua za mafanikio zaidi ya kujitoa bila kujibakiza like this Gentlemen?

Guys,
Let's wake up and act..
Mwenye macho na amesoma, hiyo kuelewa ni ingine...
chiyelu umatisa mbaya sana mjuba🔥👌💪

Thanks you very much
 
Back
Top Bottom