Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Au kupumua!mtaani hapaepukiki,
ni kama chooni tu Lazima uingie, uwe umekula au una njaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kupumua!mtaani hapaepukiki,
ni kama chooni tu Lazima uingie, uwe umekula au una njaa...
Ni kupambana tuu hadi kieleweke!Shda ni pale mtu anaishii kwa kujifananisha na watu wengne ...kila mtu atapata alichoandikiwa... hata ukipora itapotea....subira ndoo kila ktu hata Reginald mengi alipata mapacha akiwa na miaka 70......calm down pray...socialize with pipo good things is coming tomorrow
Tuondoke G!!Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha
Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha
Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
mpe njia kijana kwa uwazi na upendo kabisa...Almanusura niseme ni ww🤔lkn nikakumbuka siyo ww bn we ni mleta mada tu!
Kwa mtu aliemaliza chuo 2015 saiv atakua na miaka 30+ sio umri mbaya sana ukituliza akili, kwa miaka 8 uliyokua mtaani Kuna jambo utakua umeligundua na unaweza lifanya either mjini au kijijini kafanye kwa moyo wote.
Epuka kujiweka karibu na siasa na wanasiasa, achana na mawazo ya kujiweka karibu na makada wa chama flan ukiamini kwenye uteuzi, kua low key fanya yako siasa ina wenyewe
Epuka mahusiano kama hujaoa usihangaike piga kazi zako chora ramani vzr kila unachokifanya fikiria namna inaweza kukupa Hela sio kupoteza Hela.
Baki kwenye Imani yako acha kuwaza miujiza, acha kuwaza laana/baraka, acha kuwaza unachopitia ni majaribu, sali kwa Imani yako ishi vzr na watu Linda amani ya moyo wako.
KWA SAIVI NIISHIE HAPA
Unaweza kujinyonga akirudi kwao. Mana huko ndo Kuna suffocating environment!. Bora akalime mbeya hakuna anayemjua na atalima bila kinyongo....Unalima hata jembe la mkono,nzuri zaidi ni kwamba watabaki wanakushangaa huku wanakusaidia kulima!wewe unasonga mbele.
😂😅 tsaatsaaatsaaaaatsssaaaahhAwali ya yote tumshukuru Mungu tuko hai na anatulinda usiku n mchana.
Hali ya kukosa ajira ni ngumu hasa kwa watoto maskini.Ila lipo tumaini hakuna kukata tamaa vijana wangu.
Nashauri kwa sasa tupiganie kufungua milango miwili na sio mmoja tena. Mlango mmjoja ni wa ajira zakuajiriwa mwingine ni kujiajiri nitatoa maelezo kwa ufaham wangu mdogo.
1.Ajira ya kuajiliwa.Kwa sasa hali ni ngumu maana wahitaji ni wengi na nafasi ni chache mnnoo. Cha kufanya ni nini jitengenezee mazingira ya kuaminika kwa kuomba hata kujitolea kwa malipo kidogo. Kuwa wazi kwamba namba nafasi ya kujitolea kwa gharama hii ambayo itakava chakula na nauli na malazi kwa wastani.
Hapo wenye nia watakufungulia milango maana wengi wanaogopa gharama kubwa kwa wafanyakazi. Ukishapewa nafasi onyesha uwezo wako hapo utapata kimshahara na maslah mengine
2 .KUJIAJILI
kuna wale wenye mtaji mdogo wa kuanza kazi tafadhari anza kidogo kidogo ukisubiri mlango wa ajira ufunguke.
Kwa wengine mtaji ni nguvu kazi usiogope,tafuta maeneo ya kilimo hasa cha umwagiliaji,au kazi yoyote kulingana na ulip😵mba kufanya chochote au kujifunza kazi za ujuzi maana zitasaidia kuondoa obwe mifukoni,ni kweli siku za kwanza ni ngumu na misuli yetu haijazoea kabisa kufanya kazi ngumu hasa kwa waliosoma mpaka vyuo lakini hatuna namna tufanye hizi kazi huku tukikusanya mitaji ndipo tukafanya shughuli zetu.
Tupunguze Aibu eti flan atanionaje na nimesoma?mzee kuna masters zinafanya kazi ambayo wewe na B yako umekataa kufanya.
Madem:Hawa viumbe wameumbiwa kula kiulaini sanaa.Katika halivya utafutaji hebu waweke kando au kuwa na kamoja genuine wanaume wananielewa hapa.Kwa sasa focus yako iwe kwenye Mambo ya msingi sanaa
La mwisho kwa imani yako Omba na Subiri mlango wako ufunguke.Lakini kuwa msafi wa roh😵mbea wengine wapate pia Ajira pia Mungu atakuona.Tuachane na maswala ya kujichua sijui punyeto wengi wanasema sio kitendo kizuri na kina keta mikwamo japo kaka yenu nilifanya nikiwa boarding sch.
Yangu ni hayo wapambanaji wenzangu
Nyeto mkuu Tlaatlaah asiache.... Although Kuna gepu moja kubwa sana watu wamlisahau. Gepu hili lipo kwenye innovation! Nguvu ya kuzitumia kusaka ajira zitumie kubuni miradi au njia mpya...mpe njia kijana kwa uwazi na upendo kabisa...
usimfiche,
hapo aepuke kua karibu sana na makada wa chama Fulani, muelekeze akiambatana na chama kipi sasa atapata ahueni ya mahangaiko yake na kamwe asithubutu kuambatana nao🤓, na kwakweli utakua umemsaidia sana kiasi kama ni msaada..
Na miaka 8 aendelee kujifariji, kung'ang'ana na kukomaa apoapo alipo kusaka kuajiriwa? Au akacheki na maeneo mengine mbali kidogo lakin ajitose kujiajiri pia?
Umenikonga sana kumshauri kijana ajiepushe na mahusiano ambayo for sure ni kupteza pesa tu hali ya kua hana ajira. Badala yake apige kazi kwa bidii na kujijengea uchumi wake mwenyewe utakae muwezesha sasa kutafuta mchumba na hata mke amtakae kwa ujasiri mkubwa. Maana uchumi ni nguvu na uchumi ni ujasiri.
Human being are political Animals.
Siasa haiepukiki.
If you don't want to take part in political administration don't blame to be ruled by a fools.
Kila kitu kwa kasi, kiasi na viwango tajika na hakika tutafika...
Hahaha nimekaa sana msewe kwenye tank la maji mliman pale... Kitambo sana lakini ni km juz tuUnaweza kujinyonga akirudi kwao. Mana huko ndo Kuna suffocating environment!. Bora akalime mbeya hakuna anayemjua na atalima bila kinyongo....
Hii imekaa kijamii zaidi, vijana wengi wa udsm wanakomaa msewe na changamyikeni wakishindia miwa na maandazi. Wamepauka sana na ubishoo kwisha ila hawaji tayari kurudi kwao kulima. Bora wakomae na bodaboda mazingira wasiojulikana uwezo wao darasani
chief , kwenye comment yakoUnaweza kujinyonga akirudi kwao. Mana huko ndo Kuna suffocating environment!. Bora akalime mbeya hakuna anayemjua na atalima bila kinyongo....
Hii imekaa kijamii zaidi, vijana wengi wa udsm wanakomaa msewe na changamyikeni wakishindia miwa na maandazi. Wamepauka sana na ubishoo kwisha ila hawaji tayari kurudi kwao kulima. Bora wakomae na bodaboda mazingira wasiojulikana uwezo wao darasani
Ningekuwa nimefika umri wa kuoa ningekuja kukuchumbia 😊😊Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha
Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
.Weka picha
Ukirudi home means, umekubali kwenda kutumika kama mfano wa namna yoyote ile, pale ambapo elimu itaanza kuongelewa kwa ubaya.chief , kwenye comment yako
nafahamu kwamba unaelewa situation wanayopitia jobless wengi hapa tz.
nakazia, jobless ukirudi nyumbani kwenu ulikozaliwa unaweza give up kabisa ukajikuta mlevi ama teja sababu pressure inakuwa kubwa kutoka kwenye jamii yako,familia na marafiki.
wanajamii wengi hasa madui wa wazazi wako wanafurahia sana wakiona mtoto wa jirani kakwama kimaisha baada yakusoma.
wazazi hujisikia vibaya wakiona mtoto umesoma ila umepoteza nuru, mwonekana mpaka wa kimavazi.
kuna washkaji utawakuta kitaa tayari wametusua itabaki kukejeliwa wewe na elimu yako.
hali hii imefanya tumewapoteza vijana wengi sana,
RIP TO THEM