Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

Shda ni pale mtu anaishii kwa kujifananisha na watu wengne ...kila mtu atapata alichoandikiwa... hata ukipora itapotea....subira ndoo kila ktu hata Reginald mengi alipata mapacha akiwa na miaka 70......calm down pray...socialize with pipo good things is coming tomorrow
Good people? Africa? Are you serious?.... Muafrika hata uliyezaliwa naye wana matatizo sana kwenye kupata na kukosa. Yani usome kuliko mdogo wako usifiwe ukoo mzima kuwa una akili uko udsm, urudi home huna ajira alafu mdogo wako wakati unasifiwa kakmtumbua macho Leo awe good people?
 
kaka,naomba zingatia haya kwanza najua age yako huenda ikawa 33 na una shahada ina maana unakosa sifa kuwa talented na kuweza kumaintain katika kampuni weng wa hrs watakuona sio profitable coz soon unaingia uzeen na kampuni inataka vijana ambao watakaa muda mrefu kwenye industry...kw
 
Amemaliza chuo kikuu ngazi ya Shahaada mathalani 2015. Amejitahidi kusaka ajira serikalini na kwenye sekta binafsi tangu wakati huo, mpaka sasa bila bila, na anaelekea kukosa sifa za kuajirika kwa mujibu wa sheria kutoka na kigezo cha umri na uzoefu.
Mambo ni mengi na ni Magumu, na muda ni mchache.

Uzuri wa kijana huyu, ni kwamba hajakata tamaa hata kidogo, ila anaelekea huko taratibu maana mvi zimemzonga hasa. Na kinachomchochea kukata tamaa ni kwamba, anajiuliza hana hata ka plot au shamba, kijijini kwao wala mjini, hana mchumba wa uhakika wala hata mtoto wa kusingiziwa, faraja yake kwa muda mrefu huenda ni ilikua kujichua tu. Alikua na matumaini ya kupata ajira awe na kipato na mchumba mzuri pia.

Umri umesonga, fedha ngumu haoni cha kufanya, kodi ni shida, kula ni shida, anakwepa hata kushiriki mambo ya kijamii kama vile ndoa na misiba. Ni mnyonge sana hana ujasiri kabisa.

Kijana anasononeka mno, anajuta, ananung'unika na kujisemea mwenyewe moyoni alikosea wapi, mbona kama ni yeye pekeyake tu, anapitia masaibu haya......

Kijana anaona haya na aibu hata kurudi kijijini kwao kwenye maziwa na asali za kutupwa. Rika lake na wadogo zake wa shule, wameoa na kuolewa, wana nyumba nzuri, maisha mazuri, biashara kubwa, kipato kikubwa, wamezaa watoto wazuri, wakubwa wanawasomesha maeneo mbalimbali. Hili linampasua kichwa zaidi kijana huyu.

Kijana akitafakari hayo, moja haikai wala mbili haikai. Umri umesonga, mvi ndio kama zote, anaanza kuchuja na kukongoroka. Anahisi kama ana mkosi, hapendeki wala haitajiki tena kwenye jamii, roho ya kukata tamaa ina mnyemelea na kumkaribia zaidi....

Wapendwa maisha hayana Extra time.
Hebu tusaidiene, tuelimishane, tuelekezane, tupeane moyo na njia katika hili, tumkwamue kujana huyu mpendwa alipokwama.
Asipotee bali apate mwanga na Nuru ya kutoka kimaisha Salama.
Wasalam....
Mnunulie sindano ya kushonea viatu,dawa ya viatu hata akianza rangi nyeusi, dark tan na neutral,kushungi cha kupakia dawa na brushes hata mbili ama tatu.

Vitambaa vya kufutia vumbi kwenye viatu ikiwezekana na chombo cha kuwekea maji na kipande kidoogo cha sabuni.

Msogeze maeneo yenye msongamano wa watu km vile nyumba zenye wapangaji wengi,wanapoishi wanafunzi wa vyuo,karibu na salon ya kike na ya kiume. Achukue pair mbili za viatu vyake akavianzie kabisa kupiga umasikini teke.

Kuna kingine unanidai?
 
Ukirudi home means, umekubali kwenda kutumika kama mfano wa namna yoyote ile, pale ambapo elimu itaanza kuongelewa kwa ubaya.

Hii ni ngumu kuliko zote, Bora kuanza kusaka Fursa ukiwa chuo. Wengi hawajafeli sana baada ya kumaliza, nkiwa Niko udsm nilikuwa nafanya kazi za usiku kwenye events. Hasahasa pale mlimani, nilihudumu sana show za watu Baki na unitalent. Although sikujikomit sana kuongezea ubora au kufanya zaidi mana nlikua nikimaliza nitapata biggest green pasture.

It's now against my grain!. Vijana hali hii wengine inawaachia long-term mental deterioration. Tunaona huku mitaani
pamoja chief
 
Maisha hayana extra time hapo sijui umemaanisha Nini!?
Ila sijaona shida ye aishi na kile alicho nacho aachane na kupambania kazi za maofisi maana hazina chochote zaidi ya kukupa pressure na sukari
Auze matunda maisha yaende
 
kama unaamin uwezo upo tafuta radio uombe watz weng wakarimu watakupa kazi au komaa kwenda dodoma kutafta ajira za serikali ila0kama options zote ngumu weka makaratas pemben jiambie wew ni mtafutaj na tafuta mkoa wenye viwanda,bahari (pirika) tafuta mtu mwenye pirika za ufund n.k muelezo matatzo utaunganishwa hapo ndo mwanzo wa kuyaendea mafanikio.
 
Amemaliza chuo kikuu ngazi ya Shahaada mathalani 2015. Amejitahidi kusaka ajira serikalini na kwenye sekta binafsi tangu wakati huo, mpaka sasa bila bila, na anaelekea kukosa sifa za kuajirika kwa mujibu wa sheria kutoka na kigezo cha umri na uzoefu.
Mambo ni mengi na ni Magumu, na muda ni mchache.

Uzuri wa kijana huyu, ni kwamba hajakata tamaa hata kidogo, ila anaelekea huko taratibu maana mvi zimemzonga hasa. Na kinachomchochea kukata tamaa ni kwamba, anajiuliza hana hata ka plot au shamba, kijijini kwao wala mjini, hana mchumba wa uhakika wala hata mtoto wa kusingiziwa, faraja yake kwa muda mrefu huenda ni ilikua kujichua tu. Alikua na matumaini ya kupata ajira awe na kipato na mchumba mzuri pia.

Umri umesonga, fedha ngumu haoni cha kufanya, kodi ni shida, kula ni shida, anakwepa hata kushiriki mambo ya kijamii kama vile ndoa na misiba. Ni mnyonge sana hana ujasiri kabisa.

Kijana anasononeka mno, anajuta, ananung'unika na kujisemea mwenyewe moyoni alikosea wapi, mbona kama ni yeye pekeyake tu, anapitia masaibu haya......

Kijana anaona haya na aibu hata kurudi kijijini kwao kwenye maziwa na asali za kutupwa. Rika lake na wadogo zake wa shule, wameoa na kuolewa, wana nyumba nzuri, maisha mazuri, biashara kubwa, kipato kikubwa, wamezaa watoto wazuri, wakubwa wanawasomesha maeneo mbalimbali. Hili linampasua kichwa zaidi kijana huyu.

Kijana akitafakari hayo, moja haikai wala mbili haikai. Umri umesonga, mvi ndio kama zote, anaanza kuchuja na kukongoroka. Anahisi kama ana mkosi, hapendeki wala haitajiki tena kwenye jamii, roho ya kukata tamaa ina mnyemelea na kumkaribia zaidi....

Wapendwa maisha hayana Extra time.
Hebu tusaidiene, tuelimishane, tuelekezane, tupeane moyo na njia katika hili, tumkwamue kujana huyu mpendwa alipokwama.
Asipotee bali apate mwanga na Nuru ya kutoka kimaisha Salama.
Wasalam....
Akajiandikishe BBT kwa Bashe au Ulega.
 
Kama nakuona vle
 
mpe njia kijana kwa uwazi na upendo kabisa...

usimfiche,
hapo aepuke kua karibu sana na makada wa chama Fulani, muelekeze akiambatana na chama kipi sasa atapata ahueni ya mahangaiko yake na kamwe asithubutu kuambatana nao🤓, na kwakweli utakua umemsaidia sana kiasi kama ni msaada..

Na miaka 8 aendelee kujifariji, kung'ang'ana na kukomaa apoapo alipo kusaka kuajiriwa? Au akacheki na maeneo mengine mbali kidogo lakin ajitose kujiajiri pia?

Umenikonga sana kumshauri kijana ajiepushe na mahusiano ambayo for sure ni kupteza pesa tu hali ya kua hana ajira. Badala yake apige kazi kwa bidii na kujijengea uchumi wake mwenyewe utakae muwezesha sasa kutafuta mchumba na hata mke amtakae kwa ujasiri mkubwa. Maana uchumi ni nguvu na uchumi ni ujasiri.

Human being are political Animals.
Siasa haiepukiki.
If you don't want to take part in political administration don't blame to be ruled by a fools.

Kila kitu kwa kasi, kiasi na viwango tajika na hakika tutafika...
Kivyovyote haijalishi ni chama gani ila jitahidi kuepuka kutugemea siasa kama njia ya ww kujikwamua, siasa kuwa na uelewa nayo tu siku mambo Yako yakikaa sawa basi jitose 🤔🤔yaani miaka 8 huna ajira mambo magumu biashara hauna afu unategemea ujitose ktk siasa?
 
Huko kwenye siasa ata ishia kuwa cahwa, mpaka ana zeeka
 
Kivyovyote haijalishi ni chama gani ila jitahidi kuepuka kutugemea siasa kama njia ya ww kujikwamua, siasa kuwa na uelewa nayo tu siku mambo Yako yakikaa sawa basi jitose 🤔🤔yaani miaka 8 huna ajira mambo magumu biashara hauna afu unategemea ujitose ktk siasa?
Kuna Kijiji mm nampeleka anasimamia ccm na wazee anawapa viroba vya unga kilo 10 tu anakula udiwani mwakani
 
good, simple and very positive idea and advice.
Kuna kitu kuchagua kazi, aibu na haya inasubumbua hapa..

ukikaa vijiweni ati hiyo ni kazi ya mtu alie choka, mzee asie na nguvu. Lakini ukicheki watu wanapata chochote kitu na jamaa ana shoe shines 5 au 7 maeneo tofauti tofauti ....

Aiseee...
 
Ukimaliza ngazi flan ya masomo usiweke muda wote kwenye kutafuta ajira tu ni muhimu kujifunza ujuzi mwingine hata kama ni gereji fanya kazi usione aibu ukifanya kazi unapata nafasi nyingi ya kukutana na watu wapya ambao wanaweza kukusaidia kuliko ukajifungia ndani kukikucha uende kuzungusha bahasha ya kaki kwenye maofisi
 
Back
Top Bottom