Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

Gentleman,
direct your your very esteem advice to our beloved youth of ours.....
Thank you very much
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ...nyeto asifanye Nini???
 
USHAURI Mimi nimemliza chuo 2015 nilifanya BAED ...Mojor Geo minor History

Nilitumia Mika Zaid ya mi2 kujitolea kweny shule Moja ya masista IPO Songea

Badae nilianza kujihusisha na kilimo Cha Mahindi trust me nilianza na heka Moja asahv nalima heka 15. Navuna Zaid ya gunia 200

Najuitia sana kupoteza muda kuatfuta Ajira nakujitolea

Vijana wengi hawataki kuanza upya
Nililima heka Moja Kwa mkono wangu w
Mwenyewe nilikongoroka U handsome wote ulitoka..nikanunua mbolea mifuko 3
Nikatia nikavuna gunia 17

Mwaka ulio fata ilikua 2018 nililima heka 3

Lakin nilikua na mtaji wa 180k ndio nilinunua mbolea mwk wa kwanza

Asahivi nimenunua Bajaj mbili mpya
Nimewapa vijana mmojaa ana diploma mwingine ni Account.

Wote nimewapa mkataba wakimaliza Miaka 2 zinakua zao.

Ukiwaambia ingia shamban Utaskia sina mtaji .....

NB: Shambani niliingia hakukua nyumbn ni mkoa ambao hawanijui kbisaaaa
Ruvuma ndani kabisa Kijiji kinaitwa Liganga wanalima Mahindi balaa.

Nipo huku Sasa ni kama nyumbani na nimeoa mngoni.maisha yanasonga.
 
It is impressing, empowering , encouraging and for sure very interesting....

Vijana na JF family,
Ni nini ingine twahitaji ili kupiga hatua za mafanikio zaidi ya kujitoa bila kujibakiza like this Gentlemen?

Guys,
Let's wake up and act..
Mwenye macho na amesoma, hiyo kuelewa ni ingine...
chiyelu umatisa mbaya sana mjubaπŸ”₯πŸ‘ŒπŸ’ͺ


Thanks you very much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…