Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

😄😄 Walikubali wenyewe.
 
Asante Mungu mwaka wa tano bila ajira,watoto wawili na mke. Watakula nini,watavaa nini,shule wataendaje?

Maswali hayo na mengine mengi kuhusu wao sijawahi kujiuliza kwasababu wakati nafanya uamzi wa kuwa na familia sikuwahi kujiuliza hayo yote lakini kuamini katika kujituma kwenye kazi yoyote halali ndyo chanzo cha wazo la kuanzisha familia.
 
Big up soja.
Unashauri tuwe na familia bila kujipanga?
 
huwa nina mawazo ya kusaidia jamii ya kutengeneza mfumo/ sytem bt uwa nakosa nianzie wapi
 
Tokea 2015 mpaka sasa kwavile hajafa njaa, maana yake hela anaingiza. Je, anafanya mishe gani kwa sasa?

Anaishi wapi?
Mkuu Analyse,
siyo mtu moja ama wawili katika hili,
Ni kundi kubwa kidogo, miongoni mwao binafsi ninawafahamu. Wengine ni ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu. Wengine tulisoma shule pamoja na hata michezo ya utotoni tuliicheza pamoja. Yawezekana pia unao.

Sasa ni watu wazima kiasi, social life forces marika zimewatupa mkono kidogo, si unajua zile lazima uvae pamba kali, raba kali, uchukue demu mkali wiki hii, wiki ijayao mwingine, club kila alhamisi na Jmos. Japo hizo forces bado zipozipo lakini umate umate unapiga breki kama zote.....

Na sasa hivi umri umekimbia kidogo. Real Life forces ndio hivyo tena zimeanza na zinahitaji kijana awajibike na hana namna.
Lakini kabachelor degree kako mfukoni.......

Mfukoni kijana hana jambo,
akilini kwa kijana, moja haikai mbili haikai....

kijana huyu hivi sasa bado yupo mjini anaishi kwa uncle, unt, shemeji, bamkubwa, bamdogo na washkaji kitaani tangu alipokuja mjini kusoma chuo na tangu amalize chuo miaka hiyo hajapata ajira mpaka sasa....

Katika ujumla huo ndipo, nikaomba nasaha na ushauri humu jukwaani kwajili ya kijana huyu, ili aondokane na huo mkwamao....
 
Nikipita maeneo ya vyuo vikuu i.e UDSM,TIA,SAUT etc nikaona wanafunzi wanaenda madarasi kusoma hua nasikitika Sana.

Yajayo hayatawafurahisha.
Hpn wacha watoto wapate elimu bhan kwanin uogope mungu ndio anapanga na kutoa risiki Ni vyema wakasoma kuliko kuto kusoma kbsaa
 
huenda wamo humu, na bila shaka watakucheki wakiwiwa kufanya hivyo
Hyo Hali ya huyo kijan ilishanipitia na kwa Sasa maisha yanaenda ingwa kwa Kweli yake limezid mnk ,,mm wakt nawaza hayo Nina kiwanja Cha dhamani ya milion 15 HV japo nilikuwa Sina maisha kabsaa


Tumatafutie kibarua kisha atarecover tu mungu ni mwema mno
 
Mm baada ya kuhahah San baadae nikatulia akili ndipo nikapata njia sahih na vitu vya kufanya na kuningiziaa pesa aambovyo nilipata experience mtaani
 
Naomba Sana mshauri kijan huyo aanze Mara moja ufundi wa simu itamsadia saan kuokotaa okota
 
Nilidhani upo specific na mtu mmoja, kumbe unaongelea collectively?

Watu wa hivyo wapo wengi, na huwezi toa ushauri au solution collectively, it won't work.
 
Word....👊👊👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…