Pre GE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upo sahihi.
 
Mshaanza kumkandia Bi Tozo 😁

Jau sana nchi kuongozwa na sketi.!! Ova
 
Aachie
 
Uchaguzi wa nini na wakati mshindi anaajulikana tayari? Watu mnajitoaga ufahamu? Hivi nani wa kupambana na samia? KWa hoja zipi? Kwa mvuto gani?
 
CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.

Anyway, hata kama Rais SSH ataamua kuacha kugombea Urais, bado matatizo yote ya Kiutawala yaliyopo hivi Sasa hapa Tanzania yataendelea kuwepo kwa sababu kiini Cha kuwepo kwa matatizo hayo siyo Rais SSH bali yanatokana na uwepo wa Katiba mbaya ya nchi ambayo ipo pamoja na kuwa na Chama tawala kibaya na kisichofaa, the presence of bad ruling party of CCM.
 
Samia hafai ila sidhani kama wabongo wana issue na bandari.

Kwa kifupi maza yupo yupo tu kama hayupo
 
wewe mwenye miwani ya maono hatutakupa, tutampa yeye mitano tena
 
Hiyo Research umeifanyia wapi?

Ati hana wakumpigania, halafu nani akae hapo?



Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
CCM hawategemei sanduku la Kura, Kwa katiba hii hata mwijaku na Baba levo wanashinda asubuhi saa 4
 
Aachie tu kwa kweli, tumechoka sana
 
Pia kimaadili amefunguliwa, dada wa Marekani amemuumbua sana
 
Samia ana sapaoti ya Chama cha Mapinduzi. Na upinzani hauna nguvu Hilo linatosha kumpa urais
Mnajidanganya sana mnaposema upinzani hauna nguvu. kama ingekuwa ni kweli CCM wasingekuwa wanahangaika kuiba kura usiku na mchana. Ni ukweli kabisa Watanganyika wengi hawapendi kuongozwa na Mzenji. Na hii ya Maza kuwapa mpaka kazi za Ukuu wa Mikoa na Wilaya ndiyo kabisa inamharibia!!
 
CCM hawategemei sanduku la Kura, Kwa katiba hii hata mwijaku na Baba levo wanashinda asubuhi saa 4

Hii kauli ya kusema CCM hawategemei sanduku la kura kushinda ni dharau kubwa sana kwa wananchi.
Ni dhuruma kubwa sana 😭
Ni jambo lenye kumchukiza Mwenyezi Mungu mno.

Kama ni kweli wajifafakali na vizazi vyao kuhusu ghadhabu na laana toka kwa Allah na Jehova.
 
Huo ndiyo ukweli mchungu.
Whether you like it or not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…