Pre GE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu umeongea vzr sana na nimeumia sana juu ya nchi yangu kwa haya uliyoyasema, kweli huyu mama ametuuza aise daa
 
Anarudi,fomu si moja tu au tuliongeaje?
Yuko mpk 2030 mpende msipende.
 
WAMASAI inaingia kwenye rekodi ya dunia, sisemi kwa namna gani, ila ni rekodi ya dunia.
 
POLL hazijawahi kuisaidia CCM. CCM kinaamini kwamba, walioko kwenye mitandao ni wachache sasa.

Kura zao ziko kijijini na uswazi.
Shida tayari pesa za uchaguzi zimeanza kufanya kazi nchi nzima! zimesambazwa mno vijijini kwa kofia ya mikopo,hapo ndipo kwenye tatizo
 
Shida tayari pesa za uchaguzi zimeanza kufanya kazi nchi nzima! zimesambazwa mno vijijini kwa kofia ya mikopo,hapo ndipo kwenye tatizo
Hiyo mikopo sio issue.....ishu ni tume
 
Mambo mengine ni tamaaa tu, hata akiachana na kugombea ,tiyari alishakua rais atalipwa malupulupu yake kama mstaafu , inatosha kwa mawazo yangu
 
Akiacha nampa zawad ya geep toleo la mwaka 2024 march msiulize natoa wapi bado nimelala
 
Hapo unaposema kwamba itapendeza zaidi itokee Raisi awe genius, lakini hilo halitatokea hapa Tanzania labda mpaka karne ya 2100, maana magenious wengi huwa wapigwa fitina katika ngazi za chini kabisa ata kwenye mataasisi ya kawaida genious wanapigwa matukio mwisho wanakuwa vichaa tu! jamii yetu bado haimani kichwa tumejegwa kuamini mdomo Zaidi.

Kwa mfano, hata katika maisha ya kila siku, fundi mwenye ujuzi na uwezo wa kuwashawishi watu kwa maneno mengi mara nyingi hupendelewa na mabosi, hata kama si mtaalamu wa kweli, maboss ndio wanawapaga mpaka pesa ya material wakanunue wenyewe wanaenda mbali na kusema nimemroga yule boss kwangu haruki, hiki ndicho tumejengewa zaid yaani USWAHILI USWAHILI

Tumejengewa utamaduni wa kutokuamini uwezo halisi na badala yake, kutoa kipaumbele kwa maneno matupu.
 
Ikiwekwa tume huru ya uchaguzi samia hawezi kushinda kwa kishindo mimi natabiri leo
Kama atagombea atakuwa mgombea ambaye ataongoza kwa kura maana atapata kura chini ya 50% NA uchaguzi utarudiwa
Baada ya hapo kinachoendelea sijui kitatokea nini
 


Juzi Kati Kasema kuna mtu ametuibia mabilioni ya Hela kwenye mabenki yetu kwa kutumia nyaraka fake kukopea na kutokomea nje ya nchi?!

Hili jambo linastua mno?
 
Juzi Kati Kasema kuna mtu ametuibia mabilioni ya Hela kwenye mabenki yetu kwa kutumia nyaraka fake kukopea na kutokomea nje ya nchi?!

Hili jambo linastua mno?
Habari zimfikie.

Sasa majibu tutayapata wapi?
 
Haya kama wanaibiwa kura na hakuna wanalofanya si ni kuwa hawana nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…