Tumshukuru Mungu mpaka sasa CCM imepasuka. Wanaopinga huu utawala ni wengi

Tumshukuru Mungu mpaka sasa CCM imepasuka. Wanaopinga huu utawala ni wengi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Mpaka warudi kuwa na umoja kama enzi zile itachukuwa muda sana.

Kundi linalopinga rais Samia kupitishwa kugombea na msaafu Kikwete ni kubwa. Na hilo ndio mpaka sasa halikubali huu uongozi uliopo madarakani.

Wanajifanya wapo kimya. Ila chini kwa chini hawamtaki mkuu aliyepo.

Hii inaipa nguvu Chadema.
 
Back
Top Bottom