#COVID19 Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

Hakuna mtu aliekataza kutumia dawa asili wala kula matumda na limau na vyote mnavyotaka.
Kuhusu kuwa magufuri aliiweza corona kwa dawa asili,haya ni madai yasio na ushahid,sababu huwezi kusema dawa asili zilisaidia wakati hakukua na uthibitisho uo,watu walikuwa hawapimwi na taarifa za corona hazikuruhusiwa kuandikwa,sasa utajuaje kama dawa zilisaidia bila kupima.
Chukua tahadhari corona inaua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…