#COVID19 Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

#COVID19 Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

Mkuu what matters the most is the TRUTH and not the FACT.
FACT may vary with time.

It is the FACT that now(July 2021) COVID19 vaccine does not affect our DNA negatively according to WHO/CDC reports. BUT the TRUTH is, we are not sure if in the future there will be no risky DNA interaction with these COVID19 vaccines shots which we are taking now out of punic and fear. No body knows the truth until now. It's just trials.

Historia toka kwenye gunduzi na vumbuzi za kisayansi imethibitika FACTS nyingi kuhusu vumbuzi au nadharia hizo zilikuja kubadilika.

Hata wakati wanagundua matumizi ya mabati ya asbestos au wanatumia asbestos material kama fireproof materials wenye majengo ya makazi ya binadamu hawakujua kama zitakuja kusababisha cancer baadaye. The TRUTH now zinakatazwa kwa matumizi hayo sababu ya hatari zake.

NOTE: Ukihisi unaweza kupoteza maisha kwa korona kabla ya kuujua ukweli (TRUTH) ni bora upate chanjo unaweza kuokoa maisha yako kwa sasa na ya uwapendao .
Acha unafiki, kama wewe hauchanjwi, waache wenye kutaka wachanjwe. Upo huko Uingereza lakini exposure haijakusaidia.

Halafu unajibu fasta sana, na haujibu hoja kwasababu unaongea kama upo kwenye kijiwe cha kahawa bila facts. Weka ushahidi kuwa chanjo inaingia kwenye DNA.
 
Najifunza zaidi lakini mkumbuke haitokuja kutokea mzungu ampende mwafrika nasema haitokuja kutokea hata kwa bahati mbaya
 
Interesting facts to read:-

1. Can the Pfizer or Moderna mRNA vaccines affect my genetic code?

"Remind me, how do mRNA vaccines work?​

The technology used in the Pfizer and Moderna vaccines is a way of giving your cells temporary instructions to make the coronavirus spike protein. This protein is found on the surface of SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19. The vaccines teach your immune system to protect you if you ever encounter the virus.

The mRNA in the vaccine is taken up by the cells in your body, ending up in the liquid inside each cell known as the cytoplasm. Our cells naturally make thousands of our own mRNAs all the time (to code for a range of other proteins). So the vaccine mRNA is just another one. Once the vaccine mRNA is in the cytoplasm it’s used to make the SARS-CoV-2 spike protein.

The vaccine mRNA is short-lived and is rapidly broken down after it’s done its job, as happens with all your other mRNA"



2. Fact Check-mRNA vaccines do not turn humans into ‘hybrids’ or alter recipients’ DNA

DO MRNA VACCINES TURN HUMANS INTO HYBRIDS BY ALTERING THEIR DNA?

The posts falsely claim that those vaccinated with mRNA vaccines are “no longer human” but rather “hybrids” because the vaccines’ “nanotechnology… spreads itself throughout the body altering the dna & reeking [sic] havoc on the entire system.”


As explained here in a previous Reuters fact check, mRNA vaccines do not alter the recipient’s DNA.

According to the World Health Organization (WHO), such vaccines involve “the direct introduction into appropriate tissues of a plasmid containing the DNA sequence encoding the antigen(s) against which an immune response is sought, and relies on the in situ production of the target antigen” (here).

This means that, in contrast to the more widespread “conventional” vaccines (here) which use a whole pathogen or fragment, a mRNA vaccine involves the injection of a small part of the virus’s genetic code (DNA or RNA) to stimulate immune response in a patient without an infection (here).

This process does not create a genetically modified organism, which the United Nations’ Food and Agriculture Organization (FAO) defines as “an organism in which one or more genes (called transgenes) have been introduced into its genetic material from another organism using recombinant DNA technology” (here).
 
Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu.

Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake...
Aisee umemaliza kila kitu hawa akina Dewji,Shoo,Makamba wanaombeza Gwajima ili mradi tu waonekane wanamsemea mama au Mbowe wangesoma hizi hoja ulizozitoa nadhani wangesaidiwa zaidi kuliko wanavyokurupuka hivi sasa.

Badala ya kujibu hja wamebaki kumlaumu Gwaji boy, kwa kusema ukweli Gwaji boy kaupiga mkubwa saana na sound imesikika kila kona ya nchi hii.
 
Kumbe na wewe hauna akili kama Gwajima? Umeandika utopolo mtupu! Kwanza hizo chanjo hazidhuru DNA kama wewe na Gwajiboy mnavyowadanganya watu...
Umefanya research gani wewe? Waliotengeneza wenyewe hawajafanya research za kutosha kuthibitisha efficiency ya chanjo na madhara yake.
 
Mimi namuunga Mkono Askofu Gwajima. Nchi sasa haiendeshwi kwa mtazamo (Mindset) ya kisayansi tena sasa tunaendeshwa Ki NG'O. Tuandae propasal, tupeleke kwa Mzungu atupe hela tufuate masharti ya hela zake watu wale hela warudishe ripoti kwa Mzungu biashara iishe.

Hela za Corona sasa zinatulazimisha wanaDar es salaam kuvaa barakoa kwa lazima. Waliokuwa wasaidizi wa Magufuli wakiendelea na huu USALITI wa falsafa zake wataabika soon.
 
Unazidi tu kupotea njia! Umeshindwa kabisa kuukumbatia unafiki! Utaishi maisha magumu sana iwapo utaendelea kukosa msimamo katika safari yako ya kisiasa na kimaisha kwa ujumla!

Unamuiga Gwajima ambaye ana mtaji wa kutosha wa sadaka kitoka kwa waumini wake! Shauri yako!!
 
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'.
 
Mimi namuunga Mkono Askofu Gwajima. Nchi sasa haiendeshwi kwa mtazamo (Mindset) ya kisayansi tena sasa tunaendeshwa Ki NG'O. Tuandae propasal, tupeleke kwa Mzungu atupe hela tufuate masharti ya hela zake watu wale hela warudishe ripoti kwa Mzungu biashara iishe.

Hela za Corona sasa zinatulazimisha wanaDar es salaam kuvaa barakoa kwa lazima. Waliokuwa wasaidizi wa Magufuli wakiendelea na huu USALITI wa falsafa zake wataabika soon.
Wewe nawe huna tofauti na sigara nyota,kokote kule unaiwasha.
 
Self declared askofu wa ufufuo na uzima na mh mbunge wa CCM jumapili alitoa vikauli chafu na matusi dhidi ya viongozi wa kitaifa hadharani kuhusu suala la chanjo la ugonjwa wa corona. Cha ajabu hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake.Kwa matusi yake alimjumuisha na mh.Rais na mwenyekiti wa chama chake.

Sasa sisi walalahoi tunauliza ikiwa mwenyekiti mbowe alikamatwa kwa shutuma mbalimbali,kwa nini huyu anayejiita askofu na pia mh mbunge hakamatwi na kuswekwa ndani kisha akapelekwa mahakamani.

Swali tunaloliuliza ni kwa sababu askofu wa kanisa hagusiki (untouchable) au sababu ni mh mbunge wa CCM? Ikiwa kuna sheria mbalimbali za makosa yanayostahili kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ya kiwemo ya huyu zimewekwa na huyu askofu /mheshimiwa hajachukuliwi hatua zozote,je nchi hii ni ya aina gani?Narudia kuuliza kwa nini?

Tuambiwe ukweli.
 
Kwa Kukusaidia tu ni kwamba 'System' ikikuhitaji kama ikigundua Wewe ni 'threat' ndani ya Jamii na Nchi wala haikucheleweshi. Mifano iko mingi tu ila 'Kimaadili' hapa si mahala pake ila acha Kujidanganya, Kumponza na ikiwezekana hata kumtafutia 'matatizo' huyo Mpuuzi, Mnafiki na Tapeli wa Kiroho na Kiimani yakamkuta ya Kumkuta.

Kuna Watu kama Watatu hivi ambao Kwangu Mimi nikiambiwa ndiyo walikuwa Tishio na Wanaogopwa ningekubali ( tena Mmoja wapo alikuwa ni wa kutoka Umedani na anaongoza Taasisi Muhimu ) ila walivyotulizwa na Kuondoshwa 'Kiuweledi' nasema Shikamoo kwa 'Jengo Tai Obey' na sina wasiwasi nao wakiamua lao.

Tena huyu wakimuamulia ni Sekunde tu.
 
CCM hawamuwezi Gwajima kwa sababu Gwajima ana'watu'. Waseme su waone moto wa Askofu Rashid Gwajima.
 
Kwa Kukusaidia tu ni kwamba 'System' ikikuhitaji kama ikigundua Wewe ni 'threat' ndani ya Jamii na Nchi wala haikucheleweshi. Mifano iko mingi tu ila 'Kimaadili' hapa si mahala pake ila acha Kujidanganya, Kumponza na ikiwezekana hata kumtafutia 'matatizo' huyo Mpuuzi, Mnafiki na Tapeli wa Kiroho na Kiimani yakamkuta ya Kumkuta...
Sijui kwa nini nimemkumbuka 'Mr. Trophy'
 
Kwa Kukusaidia tu ni kwamba 'System' ikikuhitaji kama ikigundua Wewe ni 'threat' ndani ya Jamii na Nchi wala haikucheleweshi. Mifano iko mingi tu ila 'Kimaadili' hapa si mahala pake ila acha Kujidanganya, Kumponza na ikiwezekana hata kumtafutia 'matatizo' huyo Mpuuzi, Mnafiki na Tapeli wa Kiroho na Kiimani yakamkuta ya Kumkuta...
Lakini walokosa shabaha kule Costa Rica 🇨🇷 na majeruhi bado ni mzima kwa kudra za mwenyezi Mungu.
 
CCM hawamuwezi Gwajima kwa sababu Gwajima ana'watu'. Waseme su waone moto wa Askofu Rashid Gwajima.
Gwajima ni mtu mdogo sana ndani ccm na ndani ya serikali hana chochote cha kumuogofya yeyote na kama akihitajika atashughulikiwa kiwepesi tu wala msimkweze kinafiki wakati tunamfahamu vyema kabisa.
 
Back
Top Bottom