FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nauliza tu, hiyo chanjo ni ya majaribio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo chanjo ni ya majaribio?Siku korona ikimkunja MTU na kumnyoosha ndio matajua umhimu wa chanjo ,saizi wacha muda utaamua
Nauliza tu, hiyo chanjo ni ya majaribio?Miye nabaki kumpinga M/k hadharani na hoja ya chanjo bado ni hiari hata madame kalisemea kuwa ni hiari na siyo mara moja.
Self declared askofu wa ufufuo na uzima na mh mbunge wa CCM jumapili alitoa vikauli chafu na matusi dhidi ya viongozi wa kitaifa hadharani kuhusu suala la chanjo la ugonjwa wa corona. Cha ajabu hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake.Kwa matusi yake alimjumuisha na mh.Rais na mwenyekiti wa chama chake.
Sasa sisi walalahoi tunauliza ikiwa mwenyekiti mbowe alikamatwa kwa shutuma mbalimbali,kwa nini huyu anayejiita askofu na pia mh mbunge hakamatwi na kuswekwa ndani kisha akapelekwa mahakamani.
Swali tunaloliuliza ni kwa sababu askofu wa kanisa hagusiki (untouchable) au sababu ni mh mbunge wa CCM? Ikiwa kuna sheria mbalimbali za makosa yanayostahili kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ya kiwemo ya huyu zimewekwa na huyu askofu /mheshimiwa hajachukuliwi hatua zozote,je nchi hii ni ya aina gani?Narudia kuuliza kwa nini?
Tuambiwe ukweli.
Wajaribu Kumgusa Watanuka wote hakuna wa kumfukuza Gwajima CCM.
CCM hawamuwezi Gwajima kwa sababu Gwajima ana'watu'. Waseme su waone moto wa Askofu Rashid Gwajima.
Ww una chuki binafsi! Askofu Gwajima katumia haki yake ya kikatiba kuhoji maswala ambayo bado hayana majibu juu ya chanjo uchwara hizi ambazo hazina tija na hata usalama wa muda mrefu haujurikani! Kama kusema ukweli kwako ni matusi basi hujielewi na hata ule uhuru wa kujieleza mliokuwa mnaushadadia hamuelewi maana yake! Pia napenda utambue hayo Gwajima amehoji na kuyasemea yana watz wengi sana nyuma yake! Hivyo kwa ufinyu wako wa upeo wa kuelewa mambo, ww unamwangalia askofu pekee!
Wangemvua uanachama halafu wanatangaza jimbo lipo wazi akili ingemkaa sawa. Utampingaje M/k wako tena hadharani.
Self declared askofu wa ufufuo na uzima na mh mbunge wa CCM jumapili alitoa vikauli chafu na matusi dhidi ya viongozi wa kitaifa hadharani kuhusu suala la chanjo la ugonjwa wa corona. Cha ajabu hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake.Kwa matusi yake alimjumuisha na mh.Rais na mwenyekiti wa chama chake.
Sasa sisi walalahoi tunauliza ikiwa mwenyekiti mbowe alikamatwa kwa shutuma mbalimbali,kwa nini huyu anayejiita askofu na pia mh mbunge hakamatwi na kuswekwa ndani kisha akapelekwa mahakamani.
Swali tunaloliuliza ni kwa sababu askofu wa kanisa hagusiki (untouchable) au sababu ni mh mbunge wa CCM? Ikiwa kuna sheria mbalimbali za makosa yanayostahili kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ya kiwemo ya huyu zimewekwa na huyu askofu /mheshimiwa hajachukuliwi hatua zozote,je nchi hii ni ya aina gani?Narudia kuuliza kwa nini?
Tuambiwe ukweli.
nomaKwa ndimi mbili
Gwajima ana'watu'. Wamguse waoneGwajiboy na elimu yake ya kuunga unga asipotoshe Wananchi juu ya Covid 19. Anapaswa kubaki kwenye dini yake asipingane na serikali yake.
Nadhani anayo haki ya kutoa maoni yake....Gwajima ni mpotoshaji anatumia kila njia kubaki relevant. Nadhani akiongea tena aje na ushahidi wa study aliyofanya maana kwa uelewa watanzania Wana mwamini kuliko wataalamu wa afya.
DuhHuyo Gwanjima atachanja kisirisiri awe na cheti chake cha kwenda Marekani kama alivyoahidi kuwapeleka Wana kawe Marekani.