Tumtakie Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mwamba wa Mashariki Benjamin Netanyau. 75 years

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.

Pia na wakazi wa Mashariki ya mbali waliopo Tandale kwa Tumbo,Buguruni kwa Mnyamani, Manzese kwa Mfuga Mbwa, kwa Mtogole na viunga vingine kama hivyo wana mlaani kila siku.

Huku wakazi wengine wa Mashariki ya mbali walio Mbezi,Masaki,Obay, wapo wanaomsifia sana.

Mimi nareport tu kutoka hapa JF ni KC wa JF Jukwaa la Kimataifa.

AKA zake.
1. Bibi
2. Mharakishaji wa kuwapatia watu bikra 72
3. Mzee wa checklist
4. Haambiliki
5. Mwamba mwenyewe
6. Mti Mkavu
7. Malaika Mtoa Roho
8. Mpasua Maandaki
9. The handsome killer
10. Mchanaji

Screenshot_2024-10-21-08-16-30-415_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
 
Yaan miaka 75, mikono imejaa damu na dhulma huyu hana tofauti na Firaun Mungu na amdhalilishe malipo ni hapa na akhera
 
Kakwambia anaenda akhera? Huko nenda wewe na jamaaa zako. yeye wala hahitaji. Hapa yeye kashawalipa wadeni wake wote. Anasema cheers.
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
 
Kakwambia anaenda akhera? Huko nenda wewe na jamaaa zako. yeye wala hahitaji. Hapa yeye kashawalipa wadeni wake wote. Anasema cheers.
View attachment 3131269
Mbona wadeni wake bado wapo wengine bado hawajazaliwa hawezi kuwalipa saivi anadaiwa na dunia nzima muisraeli saivi mpaka huko ulaya anaokana chooo tuu ardhi imeshawatema wataishi kwa kuzurula duniani
 
Kuzurula wapi? Au hujui kuwa waisrael wapo hadi Russia na sehemu nyeti sana?Iran wanalalamika baadhi ya viongozi wao wa kijeshi ni Israel. Wadeni wake wakubwa umeona ile list pale? 3 wameshatangulia kuzimu. Jamaa amewagonga vibaya sana ndo maana una mlaani uongo? Walioua waisrael 1400 kawalipa kwa kuua 42,000 na viongozi wao wakubwa. Hadaiwi. Yeye anawawaisha tu kwa bikra.

Screenshot_2024-10-21-08-41-52-477_org.mozilla.firefox.jpg
 
Wapumbavu bado munaamini kuna jehamu, hizi dini zinaribu sana vichwa vya waafrika. Yaani hujiulizi hao wazungu na waarabu walokuletea hizi dini hawaogopi kwenda jehanamu? Mbona matendo Yao hayafanani na vitabu vyao.
 
Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.

Pia na wakazi wa Mashariki ya mbali waliopo Tandale kwa Tumbo,Buguruni kwa Mnyamani, Manzese kwa Mfuga Mbwa, kwa Mtogole na viunga vingine kama hivyo wana mlaani kila siku.

Huku wakazi wengine wa Mashariki ya mbali walio Mbezi,Masaki,Obay, wapo wanaomsifia sana.

Mimi nareport tu kutoka hapa JF ni KC wa JF Jukwaa la Kimataifa.

AKA zake.
1. Bibi
2. Mharakishaji wa kuwapatia watu bikra 72
3. Mzee wa checklist
4. Haambiliki
5. Mwamba mwenyewe
6. Mti Mkavu
7. Malaika Mtoa Roho
8. Mpasua Maandaki
9. The handsome killer
10. Mchanaji

Vip mbona ya Ehsan kamanda wetu sijaiona?
 
Kuzurula wapi? Au hujui kuwa waisrael wapo hadi Russia na sehemu nyeti sana?Iran wanalalamika baadhi ya viongozi wao wa kijeshi ni Israel. Wadeni wake wakubwa umeona ile list pale? 3 wameshatangulia kuzimu. Jamaa amewagonga vibaya sana ndo maana una mlaani uongo? Walioua waisrael 1400 kawalipa kwa kuua 42,000 na viongozi wao wakubwa. Hadaiwi. Yeye anawawaisha tu kwa bikra.

View attachment 3131278
Mwanaume bikra muhimu
 
Back
Top Bottom