Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mzee wata mlipua tu ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Mifumo yote ya ulinzi wa anga walioyo kuwa nayo jamaa ila drone ilipita kudadeki ni dalili mbaya hiyo
Ata viongozi wa Israel kina netanyahu wanaishi kwenye mahandaki, hakuna mwenye ubavu wa kulala nyumbani kwake, iko hivyo..,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sana leo, wachora katuni ni watu wazuri kumbe, mnafanya maisha yawe mepesi na ya furaha sanaMabikra hata wapate nafasi ya kupumzika huko peponi 😂 Netanyau anawapelekea mali ikiwa mbovu mbovu
View attachment 3131264
NEtanyau anazunguka Duniani na siku anauliwa yule Gaidi Kiongozi alikuwa anahutubia huko mataifa ya watu.Ata viongozi wa Israel kina netanyahu wanaishi kwenye mahandaki, hakuna mwenye ubavu wa kulala nyumbani kwake, iko hivyo..,
Hata Yahya alivyokuwa anaua watu nadhani alijua naye atauawa tu. Unaweza ukawa mwema na ukafa. Na unaweza ukawa gaidi pia ukafa au ukaishi kama ambavyo Yahya aliishi kabla ya kuuawa akiwa amejificha shimoni. Wote titakufa. Wewe Khayatollah mwenzio Khayatollah Khomein si alisha danja alipata nini?🤣Yes ndio dunia hii, unaweza tesa watu ila na yeye ipo siku atakufa tu sasa atakuwa amepata nini?
Ndio nasema kila mtu atakufa hakuna haja ya kuua au kutesa wanadamu wenzako. Na kingine wapi nmetaja Hamas toka nianze kuchangia mada za hii vita? kupinga uonevu wa Israel hauna maana unakua supporter Hamas au Iran.....Hata Yahya alivyokuwa anaua watu nadhani alijua naye atauawa tu. Unaweza ukawa mwema na ukafa. Na unaweza ukawa gaidi pia ukafa au ukaishi kama ambavyo Yahya aliishi kabla ya kuuawa akiwa amejificha shimoni. Wote titakufa. Wewe Khayatollah mwenzio Khayatollah Khomein si alisha danja alipata nini?🤣
Na kupinga mauaji ya Hamas na Hezbollah haimaanishi ni kuwa kinyume na Uislamu. Mauaji yaliyofanyika Oct 7 yalibadilisha sana mtizamo wangu na walipouawa watanzania wenzetu wawili... Nikaona ugaidi ni KansaNdio nasema kila mtu atakufa hakuna haja ya kuua au kutesa wanadamu wenzako. Na kingine wapi nmetaja Hamas toka nianze kuchangia mada za hii vita? kupinga uonevu wa Israel hauna maana unakua supporter Hamas au Iran.....
Akiwa israel analala wapi, anapata lunch wapi nyoosha maelezo vizuri ata kiongozi wa Iran alikuwa Lebanon kwa kikao maalum na akarudi Iran haliyakuwa israel walifunga anga la Lebanon na kusema ndege yoyote isijaribu kukatizaNEtanyau anazunguka Duniani na siku anauliwa yule Gaidi Kiongozi alikuwa anahutubia huko mataifa ya watu.
YAani unauliza akiwa Israel analala wapi anapata lunch wapi? Wewe unayeishi Tandale kwa tumbo huwazi hata kujua maswali ya kuuliza. Anyway akiwa Israel anakula na kulala Iran. Sawa? Wewe leo hii unajua Rais amekula wapi na jana alilala wapi? Usiwe kilaza mpaka kupitiliza.Akiwa israel analala wapi, anapata lunch wapi nyoosha maelezo vizuri ata kiongozi wa Iran alikuwa Lebanon kwa kikao maalum na akarudi Iran haliyakuwa israel walifunga anga la Lebanon na kusema ndege yoyote isijaribu kukatiza
Kiboko ya mishangazi ya kipalestina na kiiraniUkimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.
Pia na wakazi wa Mashariki ya mbali waliopo Tandale kwa Tumbo,Buguruni kwa Mnyamani, Manzese kwa Mfuga Mbwa, kwa Mtogole na viunga vingine kama hivyo wana mlaani kila siku.
Huku wakazi wengine wa Mashariki ya mbali walio Mbezi,Masaki,Obay, wapo wanaomsifia sana.
Mimi nareport tu kutoka hapa JF ni KC wa JF Jukwaa la Kimataifa.
AKA zake.
1. Bibi
2. Mharakishaji wa kuwapatia watu bikra 72
3. Mzee wa checklist
4. Haambiliki
5. Mwamba mwenyewe
6. Mti Mkavu
7. Malaika Mtoa Roho
8. Mpasua Maandaki
9. The handsome killer
10. Mchanaji
Mwamba sana Hepi Besdei kwake.Kiboko ya mishangazi ya kipalestina na kiirani
Mwamba sana Hepi BesdeiKiboko ya mishangazi ya kipalestina na kiirani
Ampambane na hali yake,huyo muuaji hana tofauti na watekaji.Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.
Pia na wakazi wa Mashariki ya mbali waliopo Tandale kwa Tumbo,Buguruni kwa Mnyamani, Manzese kwa Mfuga Mbwa, kwa Mtogole na viunga vingine kama hivyo wana mlaani kila siku.
Huku wakazi wengine wa Mashariki ya mbali walio Mbezi,Masaki,Obay, wapo wanaomsifia sana.
Mimi nareport tu kutoka hapa JF ni KC wa JF Jukwaa la Kimataifa.
AKA zake.
1. Bibi
2. Mharakishaji wa kuwapatia watu bikra 72
3. Mzee wa checklist
4. Haambiliki
5. Mwamba mwenyewe
6. Mti Mkavu
7. Malaika Mtoa Roho
8. Mpasua Maandaki
9. The handsome killer
10. Mchanaji
Mwamba sana Hepi BesdeiKiboko ya mishangazi ya kipalestina na kiirani
nani sasa apambane na hali yake?Ampambane na hali yake,huyo muuaji hana tofauti na watekaji.
Anaishi kwenye mahandaki ukubali hivyo.,YAani unauliza akiwa Israel analala wapi anapata lunch wapi? Wewe unayeishi Tandale kwa tumbo huwazi hata kujua maswali ya kuuliza. Anyway akiwa Israel anakula na kulala Iran. Sawa? Wewe leo hii unajua Rais amekula wapi na jana alilala wapi? Usiwe kilaza mpaka kupitiliza.