Tumtakie Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mwamba wa Mashariki Benjamin Netanyau. 75 years

Tumtakie Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mwamba wa Mashariki Benjamin Netanyau. 75 years

Kiboko ya magaidi. Namkubali sana huyu mwamba kwa msimamo usioyumba
 
Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.

Pia na wakazi wa Mashariki ya mbali waliopo Tandale kwa Tumbo,Buguruni kwa Mnyamani, Manzese kwa Mfuga Mbwa, kwa Mtogole na viunga vingine kama hivyo wana mlaani kila siku.

Huku wakazi wengine wa Mashariki ya mbali walio Mbezi,Masaki,Obay, wapo wanaomsifia sana.

Mimi nareport tu kutoka hapa JF ni KC wa JF Jukwaa la Kimataifa.

AKA zake.
1. Bibi
2. Mharakishaji wa kuwapatia watu bikra 72
3. Mzee wa checklist
4. Haambiliki
5. Mwamba mwenyewe
6. Mti Mkavu
7. Malaika Mtoa Roho
8. Mpasua Maandaki
9. The handsome killer
10. Mchanaji


The win sip
 
Back
Top Bottom