Tumtakie Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mwamba wa Mashariki Benjamin Netanyau. 75 years

Happy birthday prime minister Neta paka ila kumbuka Hezbollah wanakusubiri, kwa hamu sana, ile siku yenu ya kusherehekea siku kuu yenu ya msiokuwa na Malinda mnayoiadhimishaga kila mwaka ujichanganye wakuwahishe kwa aliye kuumba ukajibu kwa nn mnatatuana malinda
 
Ata viongozi wa Israel kina netanyahu wanaishi kwenye mahandaki, hakuna mwenye ubavu wa kulala nyumbani kwake, iko hivyo..,
NEtanyau anazunguka Duniani na siku anauliwa yule Gaidi Kiongozi alikuwa anahutubia huko mataifa ya watu.
 
Yes ndio dunia hii, unaweza tesa watu ila na yeye ipo siku atakufa tu sasa atakuwa amepata nini?
Hata Yahya alivyokuwa anaua watu nadhani alijua naye atauawa tu. Unaweza ukawa mwema na ukafa. Na unaweza ukawa gaidi pia ukafa au ukaishi kama ambavyo Yahya aliishi kabla ya kuuawa akiwa amejificha shimoni. Wote titakufa. Wewe Khayatollah mwenzio Khayatollah Khomein si alisha danja alipata nini?🤣
 
Ndio nasema kila mtu atakufa hakuna haja ya kuua au kutesa wanadamu wenzako. Na kingine wapi nmetaja Hamas toka nianze kuchangia mada za hii vita? kupinga uonevu wa Israel hauna maana unakua supporter Hamas au Iran.....
 
Na kupinga mauaji ya Hamas na Hezbollah haimaanishi ni kuwa kinyume na Uislamu. Mauaji yaliyofanyika Oct 7 yalibadilisha sana mtizamo wangu na walipouawa watanzania wenzetu wawili... Nikaona ugaidi ni Kansa
 
NEtanyau anazunguka Duniani na siku anauliwa yule Gaidi Kiongozi alikuwa anahutubia huko mataifa ya watu.
Akiwa israel analala wapi, anapata lunch wapi nyoosha maelezo vizuri ata kiongozi wa Iran alikuwa Lebanon kwa kikao maalum na akarudi Iran haliyakuwa israel walifunga anga la Lebanon na kusema ndege yoyote isijaribu kukatiza
 
YAani unauliza akiwa Israel analala wapi anapata lunch wapi? Wewe unayeishi Tandale kwa tumbo huwazi hata kujua maswali ya kuuliza. Anyway akiwa Israel anakula na kulala Iran. Sawa? Wewe leo hii unajua Rais amekula wapi na jana alilala wapi? Usiwe kilaza mpaka kupitiliza.
 
Kiboko ya mishangazi ya kipalestina na kiirani
 
Ampambane na hali yake,huyo muuaji hana tofauti na watekaji.
 
Anaishi kwenye mahandaki ukubali hivyo.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…