mchumihalisi
Member
- Oct 8, 2015
- 28
- 98
Ziara ya Mheshimiwa Rais John P Magufuli kwa mikoa ya kanda ya ziwa inaibua vitu ambavyo vingine tulikua hatuvijui, moja wapo ni pamoja na hili la RC wa Simiyu Mheshimiwa MTAKA kuwa ndie RC BORA kwa sasa kwenye wateule wake wote waliopewa mikoa.
Kwa wasiomfahamu RC Mtaka ndiye aliewakataza watendaji wake kuweka watu ndani 'ovyo ovyo' badala yake wawaelimishe, Kitu ambacho watu walianza kusema kuwa hio sio kauli nzuri kwa utawala huu sasa leo Rais kathibitisha kuwa Mtaka ndiye RC BORA kuliko wote kwa mujibu wa taarifa zake ambazo anapatiwa, Hii inaashiria tumtegemee kwenye jiji hili lenye changamoto mbalimbali hivi punde?? Bado najiuliza.!!! Lakini niliwahi kupewa uzi na mtu 'Nyeti' kuwa miongoni mwa watu wanaoeleweka na mzee ni huyo Mtaka..! TUJIPE MUDA TU.
Mchumi Halisi
Sept 08 2018