Tumuachie Mungu dhuluma hii uuzaji wa bandari zetu

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu

Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu unaotufanya kuwa watumwa ndani nchi yetu mkataba unasema DPW akihitaji kipande cha ardhi ndani ya nchi yetu basi watu itabidi waamishwe kwa mkataba huu DPW ni mkubwa kuliko serikali? huu ni utumwa jambo hili halikubaliki tunatakiwa kulipinga kwa nguvu zetu zote

Tumekaribisha hatari ndani ya nchi yetu ni sawa kufuga chatu ndani ya chumba unacholala muda wowote atakumeza
Miaka ijayo rais samia hatokuwa hai na huyo mtawala wa dubai hatokuwepo ila mkataba bado utakuwa hai watakuja watawala wengine hakutakuwa na connection yoyote kati ya watawala hapo mwarabu atakuwa anafanya vile anavyotaka na hamuwezi kumfanya lolote inaumiza sana kuwarudisha wakoloni

Rais samia kujiingiza kwenye mkataba huu mbovu ni kujitakia sifa mbaya ulianza vizuri kusahihisha makosa ya mtangulizi wako hayati Magufuli ila sasa unakotupeleka hatukujui msemo wa "mama anaupiga mwingi " tayari tumeshausahau

Tumesema sana tangu sakata hili limeanza la ubinafsishaji wa bandari kuwa mkataba mbovu lakini mmeamua kuziba masikio na kudharau maoni ya wananchi mmetupuuza wapambe wenu wanasema wenye nchi wameamua kuuza bandari yao

Kaeni mkijua mnaendesha nchi kipindi ambacho watu wapo active matumizi ya internet mabaya yenu hayawezi kufutika kamwe dhambi hii ya kuzulumu mali za watanganyika haiwezi kuwaacha salama sisi jambo hili tunamuachia Mungu
 
Kusonga mbele na uwekezaji wa DP World Kwa terms zilizopo au kughairi au kubadili terms
Umesoma tamko la CCM jana??
IMG-20230710-WA0001.jpg
 
Umesoma tamko la CCM jana?? View attachment 2684548
Sasa hapa ndio Kuna nini hasa? Nimeshakwambia Kuna options 3 hapo Juu, uwekezaji utaendelea ila terms nk zinaweza jadiliwa zikabadilika,mbona Nchi kibao tuu Zina renegotiate terms hata baada ya kusainiana awali?

Tutoe mda Hadi Wakifikia kwenye utekelezwaji itajulikana,wasipofanya hivyo akija Rais mwingine atabadili.
 
Kuna mambo mawili au matatu hapa, maybe hujasoma, maybe umesoma na huelewi, maybe ni mnufaika au pengine huelewi Kwa makusudi.

Kwahio Wacha iende kama ilivyo
 
Nimekuuliza Kwani Serikali imeshafikia uamzi wa mwisho? Umeambiwa mara ngapi kwamba Wana miezi 12 ya majadiliano na DP World?
 
Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu

Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu unaotufanya kuwa watumwa ndani nchi yetu mkataba unasema DPW akihitaji kipande cha ardhi ndani ya nchi yetu basi watu itabidi waamishwe kwa mkataba huu DPW ni mkubwa kuliko serikali? huu ni utumwa jambo hili halikubaliki tunatakiwa kulipinga kwa nguvu zetu zote

Tumekaribisha hatari ndani ya nchi yetu ni sawa kufuga chatu ndani ya chumba unacholala muda wowote atakumeza
Miaka ijayo rais samia hatokuwa hai na huyo mtawala wa dubai hatokuwepo ila mkataba bado utakuwa hai watakuja watawala wengine hakutakuwa na connection yoyote kati ya watawala hapo mwarabu atakuwa anafanya vile anavyotaka na hamuwezi kumfanya lolote inaumiza sana kuwarudisha wakoloni

Rais samia kujiingiza kwenye mkataba huu mbovu ni kujitakia sifa mbaya ulianza vizuri kusahihisha makosa ya mtangulizi wako hayati Magufuli ila sasa unakotupeleka hatukujui msemo wa "mama anaupiga mwingi " tayari tumeshausahau

Tumesema sana tangu sakata hili limeanza la ubinafsishaji wa bandari kuwa mkataba mbovu lakini mmeamua kuziba masikio na kudharau maoni ya wananchi mmetupuuza wapambe wenu wanasema wenye nchi wameamua kuuza bandari yao

Kaeni mkijua mnaendesha nchi kipindi ambacho watu wapo active matumizi ya internet mabaya yenu hayawezi kufutika kamwe dhambi hii ya kuzulumu mali za watanganyika haiwezi kuwaacha salama sisi jambo hili tunamuachia Mungu
Hakuna kumwachia Mungu, hawa ni kwenda nao jino kwa jino, jicho kwa jicho, jeraha kwa jeraha mpaka kieleweke. Kumbuka Sheria duniani Haki mbinguni, na mbinguni tutaenda kupeleka mahesabu tu.
 
Kwa mtazamo wako na Kwa trend ilivyo Kuna kitu wanaweza kubadilisha? Na tusingepiga kelele je? Ndio maana nasema wewe endelea kuamini
Na hisi inawezekana Kwa kuangalia hata Mataifa mengine mengi tuu yame renegotiate mikataba Yao ya awali na Wawekezaji wakakubali,recently ni Botswana na DRC.
 
Haki ya Mungu tena, Mungu huwa hasikilizi kilio cha wapumbavu.
Mungu huwa hajishughulishi na wapumbavu subirini kuna makubwa yanakuja.
 
Na Kuna kesi ngapi? Na umeona mkataba wao vs mkataba wa CCM??
Kesi ngapi ndio manake nini? DRC wanapitia mikataba yote na Wachina,Botswana wanapitia mikataba Yao na Makabulu ,kesi ngapi ndio nini Sasa umeongea?
 
Back
Top Bottom