Tumuachie Mungu dhuluma hii uuzaji wa bandari zetu

Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu

Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu unaotufanya kuwa watumwa ndani nchi yetu mkataba unasema DPW akihitaji kipande cha ardhi ndani ya nchi yetu basi watu itabidi waamishwe kwa mkataba huu DPW ni mkubwa kuliko serikali? huu ni utumwa jambo hili halikubaliki tunatakiwa kulipinga kwa nguvu zetu zote

Tumekaribisha hatari ndani ya nchi yetu ni sawa kufuga chatu ndani ya chumba unacholala muda wowote atakumeza
Miaka ijayo rais samia hatokuwa hai na huyo mtawala wa dubai hatokuwepo ila mkataba bado utakuwa hai watakuja watawala wengine hakutakuwa na connection yoyote kati ya watawala hapo mwarabu atakuwa anafanya vile anavyotaka na hamuwezi kumfanya lolote inaumiza sana kuwarudisha wakoloni

Rais samia kujiingiza kwenye mkataba huu mbovu ni kujitakia sifa mbaya ulianza vizuri kusahihisha makosa ya mtangulizi wako hayati Magufuli ila sasa unakotupeleka hatukujui msemo wa "mama anaupiga mwingi " tayari tumeshausahau

Tumesema sana tangu sakata hili limeanza la ubinafsishaji wa bandari kuwa mkataba mbovu lakini mmeamua kuziba masikio na kudharau maoni ya wananchi mmetupuuza wapambe wenu wanasema wenye nchi wameamua kuuza bandari yao

Kaeni mkijua mnaendesha nchi kipindi ambacho watu wapo active matumizi ya internet mabaya yenu hayawezi kufutika kamwe dhambi hii ya kuzulumu mali za watanganyika haiwezi kuwaacha salama sisi jambo hili tunamuachia Mungu
Wewe wa iringa unahusikaje na bandari ya wazaramo wa dar nyau we kwenda zako huko
 
Nilichogundua tupige kelele hadi tupasuke watapitisha tu kwa mazingira yeyote tu bila kuangalia athari zake wacha niendelee na mishe zingine uzuri nishajua kuwa tumeveshwa Kingi ya Tatu mbovu...
 
Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu

Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu unaotufanya kuwa watumwa ndani nchi yetu mkataba unasema DPW akihitaji kipande cha ardhi ndani ya nchi yetu basi watu itabidi waamishwe kwa mkataba huu DPW ni mkubwa kuliko serikali? huu ni utumwa jambo hili halikubaliki tunatakiwa kulipinga kwa nguvu zetu zote

Tumekaribisha hatari ndani ya nchi yetu ni sawa kufuga chatu ndani ya chumba unacholala muda wowote atakumeza
Miaka ijayo rais samia hatokuwa hai na huyo mtawala wa dubai hatokuwepo ila mkataba bado utakuwa hai watakuja watawala wengine hakutakuwa na connection yoyote kati ya watawala hapo mwarabu atakuwa anafanya vile anavyotaka na hamuwezi kumfanya lolote inaumiza sana kuwarudisha wakoloni

Rais samia kujiingiza kwenye mkataba huu mbovu ni kujitakia sifa mbaya ulianza vizuri kusahihisha makosa ya mtangulizi wako hayati Magufuli ila sasa unakotupeleka hatukujui msemo wa "mama anaupiga mwingi " tayari tumeshausahau

Tumesema sana tangu sakata hili limeanza la ubinafsishaji wa bandari kuwa mkataba mbovu lakini mmeamua kuziba masikio na kudharau maoni ya wananchi mmetupuuza wapambe wenu wanasema wenye nchi wameamua kuuza bandari yao

Kaeni mkijua mnaendesha nchi kipindi ambacho watu wapo active matumizi ya internet mabaya yenu hayawezi kufutika kamwe dhambi hii ya kuzulumu mali za watanganyika haiwezi kuwaacha salama sisi jambo hili tunamuachia Mungu
Adui namba moja wa maendeleo ya Tanzania yetu ni Mungu mwenyewe.

Unasema umuachie Mungu!?

Pambania bandari hadi mwisho, ukishasema Umemuachia Mungu maana ake ni kwamba umeshindwa na umeacha tu.

Ukimuacha huyo Samia atafanya ajisikiavyo tu.
Kama hajakufurahisha pambana
 
Back
Top Bottom