Magu hajawahi kubana Matumizi.Rais Magufuli rip hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi aliyoiasisi.
Rais Magufuli alichukia sana matumizi yasio na tija, na wakati mwingine aliachana na sherehe za uhuru na mwenge ili aokoe hela zikatumike kwwnye miradi mingine.
Watanzania tusijekuambiwa masiko yake yalitumia mabilioni ya fedha, atasikitika sana huko aliko. Upigaji usijeukarudi kwa kuanzia na ugongwa na mazishi yake.
Malizia ya kwamba. Mji mmoja pekee umemeza mabilioni mengi ktk miradi ambayo baadhi yake inaenda kufa au kutotumika.Magu hajawahi kubana Matumizi.
Alichokifanya ni kuhakikisha anawabania pesa wengine ( hata kama ilikuwa ni haki yao ) ili wawe na Njaa kaliiii ) wamwabudu na kumlilia yeye tu.
FACTS πππ
1. Kuchota milioni 38 kwenda kumtoa Msigwa jela ili apate sifa wakati kama Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha.
2. Kununua wabunge kibao wa upinzani na kurudia chaguzi ili kuwasimika wabunge wanaomtii. Kumbuka gharama za uchaguzi mdogo jimbo moja ni zaidi ya milioni 300.
3. Kukataa pesa za UNDP wakati wa uchaguzi mkuu ( ili kukwepa waangalizi wa kimataifa ) kumbe alijua ni nini alipanga kufanya.
4. Kuwalipa wabunge wa CHADEMA 19, wasio na sifa kikatiba ( hawa kama watakaa miaka 5, watatafuna zaidi ya bilioni 19 kwasababi ya tamaa zake za madaraka tu.
Wakati huo huo,
- Kakusanya sana pesa kwa watu
- Kakopa kuliko Kikwete miaka yote 10
Swali ni je, huyo mbana matumizi, pesa alikuwa anapeleka wapi ??
Maana,
- Hakuajiri
- Hakutoa annual increments
- Hakuongeza hata mia ya mshahara
Elimu bure/bila malipoMagu hajawahi kubana Matumizi.

- Pesa za TAZARA flyover ni msaada wa Japan, ubungo ni World bank, Ihungo ni michango ya watu plus Uingereza n.k
Magu hajawahi kubana Matumizi.Rais Magufuli rip hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi aliyoiasisi.
Rais Magufuli alichukia sana matumizi yasio na tija, na wakati mwingine aliachana na sherehe za uhuru na mwenge ili aokoe hela zikatumike kwwnye miradi mingine.
Watanzania tusijekuambiwa masiko yake yalitumia mabilioni ya fedha, atasikitika sana huko aliko. Upigaji usijeukarudi kwa kuanzia na ugongwa na mazishi yake.
Weka miradi iliyokwisha tujadili. Mipango kila aliye hai hata taahira anapangaElimu bure/bila malipo
SGR
Bwawa la umeme
Barabara
Bandari upanuzi
Viwanja vya ndege
Ununuzi wa ndege cash cash
Ujenzi wa vituo vya afya/hospitali
Ununuzi wa rada na meli
Mikopo vyuoni
Hostel za wanafunzi
Nk
Piga supu ya kongoro nakuja kulipiaMagu hajawahi kubana Matumizi.
Alichokifanya ni kuhakikisha anawabania pesa wengine ( hata kama ilikuwa ni haki yao ) ili wawe na Njaa kaliiii ) wamwabudu na kumlilia yeye tu.
FACTS πππ
1. Kuchota milioni 38 kwenda kumtoa Msigwa jela ili apate sifa wakati kama Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha.
2. Kununua wabunge kibao wa upinzani na kurudia chaguzi ili kuwasimika wabunge wanaomtii. Kumbuka gharama za uchaguzi mdogo jimbo moja ni zaidi ya milioni 300.
3. Kukataa pesa za UNDP wakati wa uchaguzi mkuu ( ili kukwepa waangalizi wa kimataifa ) kumbe alijua ni nini alipanga kufanya.
4. Kuwalipa wabunge wa CHADEMA 19, wasio na sifa kikatiba ( hawa kama watakaa miaka 5, watatafuna zaidi ya bilioni 19 kwasababi ya tamaa zake za madaraka tu.
Wakati huo huo,
- Kakusanya sana pesa kwa watu
- Kakopa kuliko Kikwete miaka yote 10
Swali ni je, huyo mbana matumizi, pesa alikuwa anapeleka wapi ??
Maana,
- Hakuajiri
- Hakutoa annual increments
- Hakuongeza hata mia ya mshahara
- Pesa za TAZARA flyover ni msaada wa Japan, ubungo ni World bank, Ihungo ni michango ya watu plus Uingereza n.k
Ongezea suala la kuhamisha serikali Dodoma. Hivi Watanzania wanajua gharama kiasi gani imetumika!?Magu hajawahi kubana Matumizi.
Alichokifanya ni kuhakikisha anawabania pesa wengine ( hata kama ilikuwa ni haki yao ) ili wawe na Njaa kaliiii ) wamwabudu na kumlilia yeye tu.
FACTS πππ
1. Kuchota milioni 38 kwenda kumtoa Msigwa jela ili apate sifa wakati kama Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha.
2. Kununua wabunge kibao wa upinzani na kurudia chaguzi ili kuwasimika wabunge wanaomtii. Kumbuka gharama za uchaguzi mdogo jimbo moja ni zaidi ya milioni 300.
3. Kukataa pesa za UNDP wakati wa uchaguzi mkuu ( ili kukwepa waangalizi wa kimataifa ) kumbe alijua ni nini alipanga kufanya.
4. Kuwalipa wabunge wa CHADEMA 19, wasio na sifa kikatiba ( hawa kama watakaa miaka 5, watatafuna zaidi ya bilioni 19 kwasababi ya tamaa zake za madaraka tu.
Wakati huo huo,
- Kakusanya sana pesa kwa watu
- Kakopa kuliko Kikwete miaka yote 10
Swali ni je, huyo mbana matumizi, pesa alikuwa anapeleka wapi ??
Maana,
- Hakuajiri
- Hakutoa annual increments
- Hakuongeza hata mia ya mshahara
- Pesa za TAZARA flyover ni msaada wa Japan, ubungo ni World bank, Ihungo ni michango ya watu plus Uingereza n.k
Kujenga uwanja wa ndege na kuweka traffic light Chato, ni matumizi ya ovyo ya pesa za umma!Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongoz
1. SGR tiamaji tiamaji. Miaka mitano SGR iko Moro. Fedha hakuna hadi kakopa.Elimu bure/bila malipo
SGR
Bwawa la umeme
Barabara
Bandari upanuzi
Viwanja vya ndege
Ununuzi wa ndege cash cash
Ujenzi wa vituo vya afya/hospitali
Ununuzi wa rada na meli
Mikopo vyuoni
Hostel za wanafunzi
Nk
Asee1. SGR tiamaji tiamaji. Miaka mitano SGR iko Moro. Fedha hakuna hadi kakopa.
2. Rada ni mradi wa Kikwete, imefungwa awamu ya 5 baada ya terminal 3 kukamilika.
3. Labda barabara za mitaani. Hakuna mkoa aliojenga barabara ya kufika km 200. Kama ipo itaje.
4. Kajenga uwanja wa ndege mmoja tu, kwao Chato.
5. Ndege kanunua bila mipango ya kibiashara ndio manaa hasara kila siku. Ili kuficha hilo alikataza shirika la ndege lisikaguliwe na CAG. Katika kutapa tapa kibiashara akaona aue mashirika shindani japo haijasaidia.
6. Ujenzi wa vituo vya afya/hospitali- hii ni kweli.
7. Mikopo vyuoni ilikuwepo tangu enzi, tena ndio kaharibu kuliko alivyokuta. Zaidi kawanyima mikopo watoto waliosoma private.
8. Hostel za wanafunzi- hadhi ya urais si ya kujenga hostel mbili za milioni 500 kila mmoja. Rais wa nchi anasifiwa kwa hostel mbili?
Kama hayo ni ya kweli, wale wanaofurika, kulia na kutandika nguo zao barabarani kwenye msiba wa JPM ni akina nani kama hajafanya kitu kwao? Wanalia nini? Ni wanafiki? Wanadanganya? Ebhanae!!!1. SGR tiamaji tiamaji. Miaka mitano SGR iko Moro. Fedha hakuna hadi kakopa.
2. Rada ni mradi wa Kikwete, imefungwa awamu ya 5 baada ya terminal 3 kukamilika.
3. Labda barabara za mitaani. Hakuna mkoa aliojenga barabara ya kufika km 200. Kama ipo itaje.
4. Kajenga uwanja wa ndege mmoja tu, kwao Chato.
5. Ndege kanunua bila mipango ya kibiashara ndio manaa hasara kila siku. Ili kuficha hilo alikataza shirika la ndege lisikaguliwe na CAG. Katika kutapa tapa kibiashara akaona aue mashirika shindani japo haijasaidia.
6. Ujenzi wa vituo vya afya/hospitali- hii ni kweli.
7. Mikopo vyuoni ilikuwepo tangu enzi, tena ndio kaharibu kuliko alivyokuta. Zaidi kawanyima mikopo watoto waliosoma private.
8. Hostel za wanafunzi- hadhi ya urais si ya kujenga hostel mbili za milioni 500 kila mmoja. Rais wa nchi anasifiwa kwa hostel mbili?
Zaidi kaeneza chuki za kisiasa, ukanda, ukabila na kujenga matabaka. Mambo ambayo yalimgharimu sana Mwl kuyamaliza. Alikuwa anatupeleka kwenye mgawanyiko kama uliopo Kenya au Uganda
Hata Chato iko Tanzania na kuna watanzania pia. Yaani asijenge chato kwakuwa ni kwao atasemwa. Alichofanya mwl kuitelekeza Butiama ndiyo sawa?1. SGR tiamaji tiamaji. Miaka mitano SGR iko Moro. Fedha hakuna hadi kakopa.
2. Rada ni mradi wa Kikwete, imefungwa awamu ya 5 baada ya terminal 3 kukamilika.
3. Labda barabara za mitaani. Hakuna mkoa aliojenga barabara ya kufika km 200. Kama ipo itaje.
4. Kajenga uwanja wa ndege mmoja tu, kwao Chato.
5. Ndege kanunua bila mipango ya kibiashara ndio manaa hasara kila siku. Ili kuficha hilo alikataza shirika la ndege lisikaguliwe na CAG. Katika kutapa tapa kibiashara akaona aue mashirika shindani japo haijasaidia.
6. Ujenzi wa vituo vya afya/hospitali- hii ni kweli.
7. Mikopo vyuoni ilikuwepo tangu enzi, tena ndio kaharibu kuliko alivyokuta. Zaidi kawanyima mikopo watoto waliosoma private.
8. Hostel za wanafunzi- hadhi ya urais si ya kujenga hostel mbili za milioni 500 kila mmoja. Rais wa nchi anasifiwa kwa hostel mbili?
Zaidi kaeneza chuki za kisiasa, ukanda, ukabila na kujenga matabaka. Mambo ambayo yalimgharimu sana Mwl kuyamaliza. Alikuwa anatupeleka kwenye mgawanyiko kama uliopo Kenya au Uganda
Jibu hoja kwa hoja mkuu....
Kama hayo ni ya kweli, wale wanaofurika, kulia na kutandika nguo zao barabarani kwenye msiba wa JPM ni akina nani kama hajafanya kitu kwao? Wanalia nini? Ni wanafiki? Wanadanganya? Ebhanae!!!
Mkuu, unajibu hoja gani? Kwani wapi nimelalamika yeye kujenga chato?Hata Chato iko Tanzania na kuna watanzania pia. Yaani asijenge chato kwakuwa ni kwao atasemwa. Alichofanya mwl kuitelekeza Butiama ndiyo sawa?
Kweli kabisa umenena vyema.Magu hajawahi kubana Matumizi.
Alichokifanya ni kuhakikisha anawabania pesa wengine ( hata kama ilikuwa ni haki yao ) ili wawe na Njaa kaliiii ) wamwabudu na kumlilia yeye tu.
FACTS πππ
1. Kuchota milioni 38 kwenda kumtoa Msigwa jela ili apate sifa wakati kama Rais ana mamlaka ya kutoa msamaha.
2. Kununua wabunge kibao wa upinzani na kurudia chaguzi ili kuwasimika wabunge wanaomtii. Kumbuka gharama za uchaguzi mdogo jimbo moja ni zaidi ya milioni 300.
3. Kukataa pesa za UNDP wakati wa uchaguzi mkuu ( ili kukwepa waangalizi wa kimataifa ) kumbe alijua ni nini alipanga kufanya.
4. Kuwalipa wabunge wa CHADEMA 19, wasio na sifa kikatiba ( hawa kama watakaa miaka 5, watatafuna zaidi ya bilioni 19 kwasababi ya tamaa zake za madaraka tu.
Wakati huo huo,
- Kakusanya sana pesa kwa watu
- Kakopa kuliko Kikwete miaka yote 10
Swali ni je, huyo mbana matumizi, pesa alikuwa anapeleka wapi ??
Maana,
- Hakuajiri
- Hakutoa annual increments
- Hakuongeza hata mia ya mshahara
- Pesa za TAZARA flyover ni msaada wa Japan, ubungo ni World bank, Ihungo ni michango ya watu plus Uingereza n.k
Elimu yako unaonekana ngumbaru kabisa.Mikopo vyuoni
Magu hajawahi kubana Matumizi.

Umasikini na ufinyu wa fikra unawafanya mataga wengi waone kujengewa miundombinu na serikali ni kama fadhila kwao yani kitu ambacho hawakustahili..kwa kifupi wanasiasa huomba kura ili wayafanye hayo so niwajibu wao kutekeleza maana fedha zinatoka kwa wananchi sio mifukoni mwao..ebu ficha ujinga wako.Elimu bure/bila malipo
SGR
Bwawa la umeme
Barabara
Bandari upanuzi
Viwanja vya ndege
Ununuzi wa ndege cash cash
Ujenzi wa vituo vya afya/hospitali
Ununuzi wa rada na meli
Mikopo vyuoni
Hostel za wanafunzi
Nk