Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

Serikali hazijawahi kubana matumizi ndio maana bajeti za matumizi yasiyo maendeleo ni 75% wakati bajeti ya maendeleo ni 25% miaka nenda rudi.
Kubana matumizi ni kama
*Kupunguza posho za wabunge
*Kuondoa vyeo vya wakuu wa wilaya
*Watumishi wapewe probox badala ya mavieite
 
Airport ya Chato ilikuwa na faida gani kwa Taifa Kama Magufuli alikuwa akibana matumizi?
Acheni kulisifia Hilo jizi la majizi

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kwakuwa ipo tayari ni rahisi kwetu kuitafutia kitu cha kufanya, kwani jeshi haliitaki pia? Ni kweli kakosea kwenye vipaumbele lakini sio kweli kwamba uwanja wa ndege hauhitajiki kule. Hata kwenu ungependa kujengwe airport, train na barabara
 
Unamuenzi mtu ambaye aliamini kwenye u yeye badala ya taasisi inayoongezwa na sheria?
Ziwapi sheria za kuwatetea watu na mifumo aloweka magufuli?
Je si kweli kwamba aliendesha nchi kama familia yake iliyotegemea ukali wa baba? Baba hayupo wapumbavu wanalia kama zuzu?
 
Ninamtetea, wanaCCM wenzake waliimba hiyenahiyena wakati wote hata pale SUKITA, RUBADA, EPA, Escrow, Richmond, makenikia, mashirika ya umma na viwanda, nyumba za serikali kuuzwa kwa bei ya kutupwa na mali lukuki kutafunwa. Alikosa mtu wa kumuamini ndani ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…