Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
 
Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mtiahni mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.
Itakuwaje kama yeye ndie kawatuma chief
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Allah ni sanamu tu la pale Mecca na halijawahi kuwepo juu mbinguni so halina uwezo wowote pale mecca kaba pole sana.. Waisrael ndio wana Mungu na hawezi kuwaacha kinachoendelea now ni adhabu kwa wa arabu so kaa pembehi utizame tu..
 
Wewe unamjua Mungu sio? Ulikuwepo hicho kizazi kilipoanza. Unajuaje huyo Mungu ndio analipizq kisasi.
Kama wewe unajua.Wapalestina waliwafanyia nini mayahudi.
Aliyewafanyizia ni ,Kwanini hawawatafuti wafuasi wake
 
Wayahudi wanapambana kwa nguvu zao zote ili waendelee kubaki salama sababu kwa matatizo waliyoisababishia dunia, siku wakitengwa na mataifa yenye nguvu watafanywa vibaya sana!

Yani siku watakosa uungwaji mkono wa mataifa makubwa watafuatiliwa vizazi vyao vyote wauawe.
 
Wanataka watu wote wawe chini yao kama ndio waliowaumba.Si walishaambiwa juu ya matiaifa mawili na saini wakaweka. Imekuwaje
Si walikubaliana kuacha vita na Hamas na Hizbullah mbona tangu siku ya mwanzo ya makubaliano wamekuwa wakiendelea kupiga.
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Si tulikuwa tunashangilia??? Kikigeuka tunalia lia tena ? Umetaka mwana unapewa tu. Simba akilala usimchezee sharubu. Huwa tukiua wengine tunashangilia sana wakiamua nao kutugonga tunaanza kulia lia. Allah ! Acha watu wapigwe wapate adabu. Mwanakulitaka mwanakulipata
 
Hana huo uwezo.
 
Si tulikuwa tunashangilia kuwa wameshindwa? Ngoja waoneshe kuwa wao ni wanaume hakuna kulia lia. Mbwa hawa...wapigwe tu. Na sisi tuendelee kushadadia.
 
Wayahudi wanapambana kwa nguvu zao zote ili waendelee kubaki salama sababu kwa matatizo waliyoisababishia dunia, siku wakitengwa na mataifa yenye nguvu watafanywa vibaya sana!

Yani siku watakosa uungwaji mkono wa mataifa makubwa watafuatiliwa vizazi vyao vyote wauawe.
Hili la kufutwa halitakuwepo. Lilishindikana na halitawezekana. Sema waachwe kuchokozwa
 
Si tulikuwa tunashangilia??? Kikigeuka tunalia lia tena ? Umetaka mwana unapewa tu. Simba akilala usimchezee sharubu. Huwa tukiua wengine tunashangilia sana wakiamua nao kutugonga tunaanza kulia lia. Allah ! Acha watu wapigwe wapate adabu. Mwanakulitaka mwanakulipata
Kama wewe unavyoshangilia waut kuuliwa.Wakipata mwanya wa kujitetea usikumbushe habari za oktoba.Kilichotokea oktoba saba si chochote mbele ya kinachoendelea kwa miaka miwili sasa.
 
Si tulikuwa tunashangilia kuwa wameshindwa? Ngoja waoneshe kuwa wao ni wanaume hakuna kulia lia. Mbwa hawa...wapigwe tu. Na sisi tuendelee kushadadia.
Yaani unaamini wote hawa ni mbwa.
1743750302165.png
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Kwanini isiwe dua ya kumwomba awawezeshe Hamas washinde vita na kuifuta Israel pale? Badala yake unahamisha goli🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom