Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Sasa na wenzao waliowapata mpaka sasa ni wachache sana na wametafakari wameona hamna namna ila hivi.
Kwamba wawaue wote waliobaki na ambao waarabu wenzao wamegoma kuwapokea.
Hapa ndipo Mungu anapoingilia unyama kama huu akageuza juu ikawa chini mkababki kutoa macho tu
 
Kwanini isiwe dua ya kumwomba awawezeshe Hamas washinde vita na kuifuta Israel pale? Badala yake unahamisha goli🤔🤔🤔
Akifanya hivyo itakuwa ndio dua imejibiwa kwa namna Allah anavyopenda.
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Wavaa kobasi si mnajidaigi wataalam wa JIHAD...mmepelekewa moto mnaanza kutia huruma.
Wapalestina wanavuna walichopanda
 
Kwamba wawaue wote waliobaki na ambao waarabu wenzao wamegoma kuwapokea.
Hapa ndipo Mungu anapoingilia unyama kama huu akageuza juu ikawa chini mkababki kutoa macho tu
Macho hatutoi wao ndo wanatoana. Waliteka na kuuwa Mayahudi so nao wanalipiza kuua Maarabu. Jicho kwa Jicho. Na Waarabu wenzao wanagoma wapokea sababu wanajua jamaa wana mapepo ni wakatili. We hushangai ndugu zao hawawataki.
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Kama binadamu, wote tungezingatiana kujali haki ya kuishi ya kila mtu, dunia ingekuwa sehemu salama sana ya kuishi, lakini muarabu au muislam anaona yeye tu ndiye anyepaswa kuishi na wengine ni kama mbwa Koko wa kufutwa duniani. Wengine wakigundua hivyo nao wanajihami kwa nguvu na maarifa yote. Sababu Waislam wanadhani wana haki miliki ya dunia. Ndiyo maana wakihamia mataifa mengine wanadai haki zote za kidini, kijamii na kiuchumi. Wazungu tatizo lao ni mali. Watauwa chochote Bora wapore, waibe wamiliki. Sisi waafrica tumebaki mashabiki wa waarabu na wazungu.
 
Hahahah kilichobaki ni kufanya maombi tu kwa style mpya labda, yote ya zamani hayafanyi kazi tunapigwa ile mbaya!
 
Webabu

Kuna wakati wa maandamano ya #freepalestine yaliyokuwa yanafanyika huko Marekani, kundi kubwa lilikuwa wanafunzi na wananchi wenye asili ya kiarabu na wenye itikadi ya kiislam na wale wazungu wanaochukia ZIONISM na kuamini israel ni palestine. Baadae katika kundi hili walikuja mashoga na wasagaji wakawa wana mabango ya "QUEERS FOR PALESTINE".
20250404_105700~2.jpg


Sasa kwa upande mwingine either mashoga hawa walidhani wakifanya hivi wanatumia hii platform kufikisha umuhimu wao au kutaka favour ya movement ya freepalestine, lakini kiuahakika wapalestina na hamas waliwaita "USEFUL IDIOTS" (wajinga wa manufaa)

Sasa kwa upande wako, kwa nini uwe useful idiot wa watu fulani eti kisa wanaswali kama wewe. Ni kitu gani ulichowahi kufaidika kutoka kwao zaidi ya wao kufaidika na mihemuko yako na wengine dunia ili woa waendelee kupata kivuli cha kujimwabafai ingawa wamesimama itikadi wa ugaidi kwa kujifanya wwapigania haki.

Juzi hapa nimekubaliana na mwanangu adriz ambae huwa tunapishana sana, lakini amekuja kuweka msimamo wake kuwa iran na hamas ni matapeli na magaidi, hakujali eti wanaswali kama yeye lakini mimi pia nilikubaliana na yeye kuwa USA na Israel pia ni magaidi hao hao kutokana na mbinu zao za kivita.

Sasa unakuta unaandika nyuzi eti Allah awaangamize wazungu,sijui mataifa ta magharibi lakini unasahau kusema wahusika mahsusi wa tabu za watu ya mashariki ya kati ni radical islamists, kwa hio uyo allah yeye anachagua matendo ya uuaji eti kulingana mtu ni wa imani gani eti?
Screenshot_20250404-112118.png
 
Hamasi kuua watoto wa kiyahudi na kuwabaka haikuwa chukizo kwa Mungu wenu?
Mungu ni muadilifu sana.Kama kuuliwa watoto ni kubaya basi inakuwa kubaya zaidi pale wanapouliwa wengi.
Au unadhani kwako watoto wa kiyahudi wana thamani sana kuliko wa kiislamu ndio maana wameuliwa wengi sana na kufukiwa kwenye vifusi vya nyumba za baba yao na mahema
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Allah hana uwezo huo, yeye mwenyewe anaogopa.
 
Webabu

Kuna wakati wa maandamano ya #freepalestine yaliyokuwa yanafanyika huko Marekani, kundi kubwa lilikuwa wanafunzi na wananchi wenye asili ya kiarabu na wenye itikadi ya kiislam na wale wazungu wanaochukia ZIONISM na kuamini israel ni palestine. Baadae katika kundi hili walikuja mashoga na wasagaji wakawa wana mabango ya "QUEERS FOR PALESTINE".
View attachment 3292928

Sasa kwa upande mwingine either mashoga hawa walidhani wakifanya hivi wanatumia hii platform kufikisha umuhimu wao au kutaka favour ya movement ya freepalestine, lakini kiuahakika wapalestina na hamas waliwaita "USEFUL IDIOTS" (wajinga wa manufaa)

Sasa kwa upande wako, kwa nini uwe useful idiot wa watu fulani eti kisa wanaswali kama wewe. Ni kitu gani ulichowahi kufaidika kutoka kwao zaidi ya wao kufaidika na mihemuko yako na wengine dunia ili woa waendelee kupata kivuli cha kujimwabafai ingawa wamesimama itikadi wa ugaidi kwa kujifanya wwapigania haki.

Juzi hapa nimekubaliana na mwanangu adriz ambae huwa tunapishana sana, lakini amekuja kuweka msimamo wake kuwa iran na hamas ni matapeli na magaidi, hakujali eti wanaswali kama yeye lakini mimi pia nilikubaliana na yeye kuwa USA na Israel pia ni magaidi hao hao kutokana na mbinu zao za kivita.

Sasa unakuta unaandika nyuzi eti Allah awaangamize wazungu,sijui mataifa ta magharibi lakini unasahau kusema wahusika mahsusi wa tabu za watu ya mashariki ya kati ni radical islamists, kwa hio uyo allah yeye anachagua matendo ya uuaji eti kulingana mtu ni wa imani gani eti?
Mitazamo inapishana na kila mmoja anaonekana kuvutia upande wake.Isipokuwa anayekosa kuona kuwa tatizo la mashariki ya kati ni Israel basi misimamo yake inasimamiwa na mihemko yake ya kishetani.
Islamic radicals wamefanya nini kibaya kulinganisha na mayahudi wanaowaua wapalestina kwa miaka mingi,
 
Kabla ujio wa Allah wenu kulikua na miungu wengine waliojaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao ila wakashindwa akina Baal wa wafilisiti.
Mjue na kufahamu Mungu Jehovah wa Israel ana uwezo kuzidi hao wote
 
Kwamba wawaue wote waliobaki na ambao waarabu wenzao wamegoma kuwapokea.
Hapa ndipo Mungu anapoingilia unyama kama huu akageuza juu ikawa chini mkababki kutoa macho tu
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa.
​
  1. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi?​
  2. JE, Wale wanaopigwa na Waislamu wameshindwa na wao kujitetea au dini zao haziruhusu kujitetea?​
  3. Je, umewahi kusikia kundi la kigaidi la Kristo?​
  4. Nimekupa historia ya makundi ya kigaidi ya kiislamu, naomba nawe nipatie ya kikristo ya kigaidi ili mjadala u-balance alafu tuchangie sasa hoja.​

ISIS MOZAMBIQUE :ISIS Msumbiji, pia inajulikana kama Jimbo la Kiislamu la Jimbo la Afrika ya Kati (ISCAP) au kwa kifupi Jimbo la Kiislamu nchini Msumbiji, ni kundi la Kiislamu lenye itikadi kali linalofanya kazi katika sehemu ya kaskazini ya Msumbiji. Kundi hilo ni mshirika wa shirika la kigaidi la kimataifa ISIS (Jimbo la Kiislamu la Iraq na Syria). ISIS Msumbiji imehusika na vitendo vingi vya vurugu, ikiwa ni pamoja na mashambulizi dhidi ya vijiji, miji, na vikosi vya usalama, na kusababisha hasara na uhamisho mkubwa wa wakazi wa eneo hilo. Shughuli za kundi hilo zimechangia mzozo wa kibinadamu katika eneo hilo

KIBITI TANZANIA: Hapo ni Tanzania, miaka ya 2016-18 , hawa sijapata habari zaidi, naomba mwenye nazo atujuze .
The Abu Sayyaf Group:-Kundi la Abu Sayyaf (ASG) ni kundi la wanamgambo wa ki-islamu, kijihadi walioko kusini mwa Ufilipino.
Inajulikana kwa kuhusika kwake katika utekaji nyara kwa ajili ya fidia, milipuko ya mabomu kwa wakristo, na vitendo vingine vya jeuri. Kundi hilo limehusishwa na mitandao ya kimataifa ya kigaidi, ikiwa ni pamoja na Al-Qaeda. ASG inachukuliwa kuwa shirika la kigaidi na nchi na mashirika mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Marekani, Ufilipino, na Uingereza.

ISLAMIC JIHAD wanaoishi Palestina The Palestine Islamic Jihad (PIJ) ni kundi la waislamu ma-Sunni Islamist wanaotaka kuundani nchi ya kisuni ya Palestinian ambayo imedhamiria kuifuta Israel.

Magaidi HAMAS ,Hamas ni shirika la Wapalestina la Kiislamu ambalo lina mirengo ya kisiasa na kivita. Ilianzishwa mwaka 1987 wakati wa Intifadha ya Kwanza (maasi ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Israel). Hamas inachukuliwa kuwa shirika la kigaidi na nchi na mashirika kadhaa, ikiwa ni pamoja na Marekani, Israel, Umoja wa Ulaya, na wengine. Inajulikana kwa shughuli zake za kijeshi na udhibiti wake juu ya Ukanda wa Gaza, eneo katika maeneo ya Palestina .

JANJAWEED, Katika miaka ya 1990, Janjaweed walikuwa wafuasi wa Waarabu ambao walifuata ajenda ya ndani ya kudhibiti ardhi, na walivumiliwa na Serikali ya Sudan ya Bashir dhidi ya Wakristo wachache na wenye rangi nyeusi kusini mwa Sudan. Wengi wa Waarabu wa Darfur, Baggara, walihusika katika vita vya eneo la malisho.
Mwaka 2023, ndani ya miezi mitatu Waislamu wa Janjaweed wameua Wakristo zaidi ya 700 kwa kuwachinja, alah labda atawalipa.
Vitendo vya Janjaweed vimeelezwa kuwa ni ubakaji wa mauaji ya halaiki, na sio wanawake tu, bali watoto pia. Pia kulikuwa na ripoti za watoto wachanga kupigwa bunduu hadi kufa, na ukeketaji wa waathiriwa ulikuwa wa kawaida.

ANSAR DINE: Ansar Dine ni kundi jingine la wanamgambo wa Kiislamu linalofanya kazi nchini Mali na Sahel. Ilianzishwa mwaka wa 2012 na Iyad Ag Ghaly, kiongozi wa Tuareg ambaye hapo awali alihusika katika uasi wa Tuareg katika eneo hilo.
Lengo kuu la Ansar Dine ni kuweka sheria kali ya Kiislamu, hasa kaskazini mwa Mali. Kundi hilo linataka kuanzisha serikali ya Kiislamu inayotawaliwa na tafsiri yake ya sheria ya Sharia.
Ansar Dine amehusika katika migogoro nchini Mali, ikiwa ni pamoja na mzozo wa Kaskazini mwa Mali wa 2012. Kundi hilo limekuwa na uhusiano na mashirika mengine ya kijihadi, ikiwa ni pamoja na al-Qaeda katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM)

AL MARIOTM: Al-Mourabitoun, pia inajulikana kama Al-Mulathameen Brigade, ni kikundi cha Kiislamu chenye msimamo mkali kilichoanzishwa mwaka wa 2013. Kilianzishwa na Mokhtar Belmokhtar, kiongozi mashuhuri wa kijihadi anayejulikana kwa kujihusisha na shughuli mbalimbali za wanamgambo huko Afrika Kaskazini.
Malengo ya kundi hilo yalijumuisha kuanzishwa sheria za Kiislamu na kupinga ushawishi wa nchi za Magharibi katika eneo. Al-Mourabitoun ina uhusiano na al-Qaeda katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM).
Al-Mourabitoun imekuwa ikijihusisha na vitendo vingi vya kigaidi, vikiwemo mashambulizi dhidi ya shabaha za kijeshi na raia na utekaji nyara. Wamelenga maslahi ya Magharibi na wamechangia kukosekana kwa utulivu nchini Mali na eneo la Sahel.

TALIBAN: Taliban ni kundi la Kiislamu lenye msimamo mkali ambalo lilianzia Afghanistan mwanzoni mwa miaka ya 1990. Jina "Taliban" hutafsiriwa kwa "wanafunzi" katika Kipashto, kuonyesha asili yao katika shule za kidini. Kundi hilo lilipata usikivu wa kimataifa na sifa mbaya kwa tafsiri yao kali ya sheria za Kiislamu na utawala wao nchini Afghanistan kutoka 1996 hadi 2001.

BOKO HARAM: Boko Haram ni kundi la wanamgambo wa jihadi lenye makao yake kaskazini mashariki mwa Nigeria. Ilianzishwa mwaka 2002 na tangu wakati huo imepanua shughuli zake hadi nchi jirani katika Bonde la Ziwa Chad, ikiwa ni pamoja na Cameroon, Chad, na Niger. Jina la kikundi, "Boko Haram," linatafsiriwa kwa urahisi kuwa "elimu ya Magharibi imekatazwa" katika lugha ya Kihausa. Boko Haram inajulikana kwa uasi wake mkali, unaojumuisha vitendo vya kigaidi, utekaji nyara, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Kundi hilo linataka kuanzisha aina kali ya sheria za Kiislamu katika eneo hilo na limehusika na ukatili mwingi. Inajulikana sana kama shirika la kigaidi na nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa. LImeua wakristo zaidi ya 6000 na kuteka watoto 300 na kuwapa mimba wote, wengine waliojaribu kutoroka waliuawa maeneo ya maiduguri.​
Boko Haram, inayo maanisha “Jama'atu Ahl as-Sunnah li-Da'awati wal-Jihad” (JASDJ; Group of the Sunni People for the Calling and Jihad) and “Nigerian Taliban”—other translations and variants are used—is a Nigeria-based group that seeks to overthrow the current Nigerian Government and replace it with a regime

AL QUEDA IN MGREV:Al-Qaeda in the Islamic Maghreb (AQIM) ni kundi la wanamgambo wa Kiislamu linalofanya kazi katika eneo la Afrika Kaskazini linalojulikana kama Maghreb, ambalo linajumuisha nchi kama Algeria, Mali, Niger, Mauritania, Tunisia, na Libya. AQIM ni mshirika wa mtandao wa kimataifa wa wanajihadi wa al-Qaeda na iliibuka katikati ya miaka ya 2000 kutoka kwa kundi la wanajihadi la Algeria liitwalo Kundi la Salafist la Kuhubiri na Kupambana (GSPC).
Malengo: Lengo kuu la AQIM ni kuanzishwa kwa mataifa ya Kiislamu yanayotawaliwa na tafsiri kali ya sheria za Kiislamu katika eneo la Maghreb. Pia wameonyesha hisia dhidi ya Magharibi na wamelenga maslahi ya Magharibi.
Shughuli: Kundi hili limehusika katika shughuli mbalimbali, ikiwa ni pamoja na utekaji nyara, milipuko ya mabomu, na mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi na ya kiraia. Wamehusika na vitendo vingi vya kigaidi katika eneo hilo.
LENGO kuu ni kufanya west africa iwe Eneo La kiislamu/sharia.

AL MUJAWIN BIN DIMA:Mnamo Desemba 2012, Mokhtar Belmokhtar, kamanda wa zamani wa Al Qaida katika Maghreb ya Kiislamu (AQIM), aliunda al-Muwaqi'un Bil Dima (MBD), kwa lengo la kuzuia uingiliaji wa kijeshi wa Magharibi na Afrika kaskazini mwa Mali na kuweka Sheria ya Sharia. katika Afrika Kaskazini.

ABU SAYAF GROUP:Kundi la Abu Sayyaf (ASG) lilijitenga kutoka Kundi la Kitaifa la Ukombozi la Moro mwanzoni mwa miaka ya 1990 na ni mojawapo ya makundi ya kigaidi yenye jeuri zaidi nchini Ufilipino. Ikiathiriwa na al-Qa'ida mapema, ASG inadai kukuza dola huru ya Kiislamu magharibi mwa Mindanao na Visiwa vya Sulu..
A Shirika la kimataifa la kigaidi lililoanzishwa na Sabri al-Banna (a.k.a Abu Nidal). Iligawanywa kutoka PLO mwaka wa 1974. Iliundwa na kamati mbalimbali za utendaji, ikiwa ni pamoja na kisiasa, kijeshi, na kifedha. Mnamo Novemba 2002, Abu Nidal alikufa huko Baghdad; uongozi mpya wa shirika hauko wazi.​
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Allah huyo huyo aliyemtuma Mtume wake Mohammad autenganishe Mwezi??!! Nafikiri mtasubiri sasa
Screenshot_20250331-221427_Chrome.jpg
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Tatizo mnampangia sana cha kufanya huyo mungu Allah

Kwa nini mmpangie ilihali yeye kama kweli ni Mungu na siyo mungu, alijua kabla ya tukio na aliona mpaka mwisho wake

Kwa nini mpangie cha kuwafanya adui zake?

Kwa maana nyingine, nyinyi wabadamu ndio mnao toa hukumu badala ya Allah

Hatafanyia kazi hizo amri zenu sasa, sjui mtafanyeje
 
Back
Top Bottom