Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Taratibu usipanik, hiyo historia Baki nayo, mi na wewe twaongea kiswahi chetu (lahaja yetu).
Hiyo mayahudi yatoka ngeli ipi? Au la nipe matuzi ya mofimu ma ktk neno mayahudi!
Maana nachokiona mwapandikiza chuki kwa vizazi dhidi ya wayahudi na uzao wao.

Halafu ni wengine hapa kwetu wapotea / kutekwa na kuuwawa lakini waislamu hatukemei ila ya mbali twaongea hata kughafirishana na kuitana makafir!

Tuuishi uislamu ndugu zanguni. Yaani wale ndo watuuma sana kulikoni kaka dada na ndugu zetu wengine ambayo twaombana maji, kupigiana hodi ktk shida?? Huo sio uislamu
Mimi nimekumbana na hilo jina tangu mdogo kabisa na ninapolitumiia sikusudii kama unavyonidhania
Hebu nifafanulie mofimu iko wapi kwenye kiti na viti.
 
Mimi nimekumbana na hilo jina tangu mdogo kabisa na ninapolitumiia sikusudii kama unavyonidhania
Hebu nifafanulie mofimu iko wapi kwenye kiti na viti.
Ki- ti : hizo ni mofimu ktk kiti.

Hiyo chuki ulorithidhwa usiipandikize kwa kizazi chako wale ni wayahudi kwa kiswahi tuongeacho sisi kama tuwatambuavyo wapalestina nk. Watu Toka Yemen kwanini tusiwaite Mayemeni ?
Ndugu ktk islamu nakusihi rejea muhitaji wa jamii yako (jirani) hao ndiyo wataokuswalia na si watu Toka Arabuni!
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Islam at its best

View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1909219606176362962
 
Ki- ti : hizo ni mofimu ktk kiti.

Hiyo chuki ulorithidhwa usiipandikize kwa kizazi chako wale ni wayahudi kwa kiswahi tuongeacho sisi kama tuwatambuavyo wapalestina nk. Watu Toka Yemen kwanini tusiwaite Mayemeni ?
Ndugu ktk islamu nakusihi rejea muhitaji wa jamii yako (jirani) hao ndiyo wataokuswalia na si watu Toka Arabuni!
Hofu na kulazimisha upendo ni mambo tofauti.
Mfano kwenye kiarabu kuna maneno ya umoja kwa jinsia ya kiume yakibadilika yanapata wingi wa kike lakini hakuna nongwa na wala hayabadilishwi.
Maji ni maji hatusemi ni mamaji lakini mchnga nao pia haupimiki lakini hatusemi
 
Mungu hawezi kutenda kile wanadamu wanataka, yeye hutenda kile wanadamu wanastahili
 
Mungu hawezi kutenda kile wanadamu wanataka, yeye hutenda kile wanadamu wanastahili
Umeitoa wapi hiyo?
Huku kwetu kwenye Quran Mungu anasema niombeni nitakupeni.Sehemu nyengine yametajwa masharti ya dua kukubaliwa ikiwa ni pamoja na usafi na ikhlaswi.
 
Wayahudi wanapambana kwa nguvu zao zote ili waendelee kubaki salama sababu kwa matatizo waliyoisababishia dunia, siku wakitengwa na mataifa yenye nguvu watafanywa vibaya sana!

Yani siku watakosa uungwaji mkono wa mataifa makubwa watafuatiliwa vizazi vyao vyote wauawe.
Matatizo gani waliosababishia dunia?
 
U
Hofu na kulazimisha upendo ni mambo tofauti.
Mfano kwenye kiarabu kuna maneno ya umoja kwa jinsia ya kiume yakibadilika yanapata wingi wa kike lakini hakuna nongwa na wala hayabadilishwi.
Maji ni maji hatusemi ni mamaji lakini mchnga nao pia haupimiki lakini hatusemi
Sishupaze shingo UISLAMU siyo KIARABU Wala sifa au hupati thawabu kuongea KIARABU ktk maneno ya kawaida ya kiswahili.
Yaani siye tu waislamu ndo twaita wayahudi mayahudi! Embu tuache hizo tunakaririsha chuki kwa watu na jamii.
 
wayahudi kwa kweli hata haingii akilini.jina halisi ni hilo hilo mayahudi japo wahusika linawakera wakidhani wanaonewa.
 
wayahudi kwa kweli hata haingii akilini.jina halisi ni hilo hilo mayahudi japo wahusika linawakera wakidhani wanaonewa.
mabaniani mbona hawajasema waitwe wabaniani.
 
Back
Top Bottom