Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
- Thread starter
- #181
Mungu ni mmoja tu.Hakuna wa Israel wala wa wapi.Sawa kama imani inasema muwazuie ili mpate point hapo sasa ndo pagumu.Maana fikiria pia kama Mungu wa wayahudi kawaagiza waikomboe Yerusalemu unadhan hapi nani atakaye amua huo ugomvi?
Pili nilikuulza ilikuwa ni halali kuivamia izraeli ocy 7 kwa kulipiza kisasi cha kuingiza mbwa msikitini?.
Lakin pia mkuu hivi unaamini kwamba Mungu wa israel na mungu wa waislam ni tofauti?.
Kuamini kuwa kuna muungu zaidi ya mwenye sifa za Allah ni miongoni mwa ujinga mkubwa wa binadamu,
Ukiwaza kidogo tu unajua kuwa ni ujinga na utapata vichekesho vingi sana.