cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 2,169
- 2,540
Allah ndiye muweza wa kila kitu.
Hivyo Allah muweza wa yote aiwawezesha October 7....Leo huyo anaruhusu waja wake waswage kama punda...
Allah ndiye muweza wa kila kitu.
Kwanza Hamas walipumbazwa na Imani za kidini kuwa Allah wao atawasaidia kuishikisha adabu Israel kitu ambacho haki kuwetę kana, pili walipumbazwa na Iran wakiaminishwa kuwa kama Oct 07,2023 wakiianzisha basi Iran inaweza kuwaambia Hezbollah na Wahouth na magaidi wengine waliokuwa Iraq na Syria kwa wakati mmoja waishambulie Israel wakiamini Israel haiwezi kupigana pandę Saba ( seven Fronts ) na ikashinda nayo haikuwezekana Hezbollah walipigwa mpaka viongozi wake wote waliangamizwa akiwemo Gaidi Hassan Nasrallah,Syria Assad kapinduliwa. Kwa ujumla tu tuseme Akili za Wafuga Midevu na Majini wanazijua wao wenyewe. Maana haiwezekani kwa magaidi kuivamia Israel na wakabaki salama lazima tu watasurubiwa!!Mkuu Echomali: Swali kubwa la kujiuliza, hivi Hamas walikaa na kutafakari matokeo nini yatakuwa matokeo ya shambulio lao! Huwa najiuliza sana hilo...!
Hicho ndicho Hamas walichokifanya na sasa hivi wanachezea kichapo wala huyo Allah hashughuliki nao!!! Unafanya uchokozi mwenyewe harafu unakuja kumsakizia Allah akusaidie huo ni uongo!!Allah ndiye muweza wa kila kitu.
Allah ni hubalAcha jeuri. Hivi ni nani alyeumba hivyo pamoja na tumbo lako
Subiri kwanza amalize kuwashushia hawa alioanza nao na waliotangulia kuleta machafuko. Hilo ombi atalichunguza baadae...Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao
Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.
Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.
Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
We nchi yako inasemaje mbona ipo kimya?Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao
Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.
Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.
Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Subiri kwanza amalize kuwashushia hawa alioanza nao na waliotangulia kuleta machafuko. Hilo ombi atalichunguza baadae...
Mungu ana uwezo wa kutenda bila kusubiri akitaka isipokuwa akiwa na mpango wa kuwazindua viumbe vyakeSubiri kwanza amalize kuwashushia hawa alioanza nao na waliotangulia kuleta machafuko. Hilo ombi atalichunguza baadae...
Atakuwa nadhan anawazinduaMungu ana uwezo wa kutenda bila kusubiri akitaka isipokuwa akiwa na mpango wa kuwazindua viumbe vyake
Umesahau Sudan Mkuu! Kuna Waarabu Koko wanachinjana huko au wao sio wenzenu!?Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao
Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.
Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.
Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Kwani mkuu intellijensia ya hamasi haikuliona hilo linaloendelea leo?.Kama wewe unavyoshangilia waut kuuliwa.Wakipata mwanya wa kujitetea usikumbushe habari za oktoba.Kilichotokea oktoba saba si chochote mbele ya kinachoendelea kwa miaka miwili sasa.
Waombee kwanza Hapa Nyumbani watu wanatekwa na kupotea kila siku acha unafiki. ALLAH Hafanyii kazi maombi ya kinafikiWatu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao
Kuhusu october 7 isingetokea mapema japo Hamas walikwishajiandaa kwa vita siku za mbeleni isipokuwa kama mwezi mmoja nyuma mayahudi walifanya kufru nyingi pale masjidul Aqswa ikiwemo kuingiza vikosi na mbwa ndani ya msikiti na kuzuia watu kuswali humo.Kwani mkuu intellijensia ya hamasi haikuliona hilo linaloendelea leo?.
Mkuu wazayuni sio watu wa kumwachia Mungu. Sas mliwavamia october mkitarajia nin kitafuata? Au kulkuwa na sababu gani ya liletukio la october kutekelezwa? Naomba jibu plz.
Ni kweli kabisa, Mungu ni wa mema daima. Ila mawazo yetu wanadamu tunatumia vibaya kuchagua mabaya.Kwa sababu yeye daima anawatakia mema waja wake kwanza isipokuwa wakichagua wenyewe ubaya.
👿Huzuni tupu!!!Yaani unaamini wote hawa ni mbwa.
View attachment 3292862
Wakati wewe unawaza hilo, wao walishamuomba kitambo. Na kwa kuwa ni Mungu wa Babu yao,na ana agano la milele na babu yao hadi kizazi chake chote, nadhani atawasikia wao.Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao
Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.
Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.
Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Sasa kama wameingiza mbwa mskiitni mwao simngeacha Mungu ashighulike nao? Au adhabu waliyostahili ndo ile ya oct 7 walitumwa na Mungu walipe kisasi?.Kuhusu october 7 isingetokea mapema japo Hamas walikwishajiandaa kwa vita siku za mbeleni isipokuwa kama mwezi mmoja nyuma mayahudi walifanya kufru nyingi pale masjidul Aqswa ikiwemo kuingiza vikosi na mbwa ndani ya msikiti na kuzuia watu kuswali humo.
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.