eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,807
- 16,477
Ni kweli kabisa, Mungu ni wa mema daima. Ila mawazo yetu wanadamu tunatumia vibaya kuchagua mabaya.
Lakini muwe makini sana kwenye hili. Mwenyezi Mungu siyo allah
Ni kweli kabisa, Mungu ni wa mema daima. Ila mawazo yetu wanadamu tunatumia vibaya kuchagua mabaya.
Allah ni kiarabuLakini muwe makini sana kwenye hili. Mwenyezi Mungu siyo allah
Msiwe mnadanganyika namna hiyo kama watoto.Wakati wewe unawaza hilo, wao walishamuomba kitambo. Na kwa kuwa ni Mungu wa Babu yao,na ana agano la milele na babu yao hadi kizazi chake chote, nadhani atawasikia wao.
Mimi nasema Allah si Mungu kwa kuwa Mungu tunayemuamini sisi sifa zake si za huyo Allah!!. Mungu huyu wetu yeye anasema USIUE na huyo Allah yeye anaruhusu kuua watu kwa ajili yake. Je hamuoni hapo kuna tofauti?Allah ni kiarabu
Mungu ni kiswahili
God ni Kizungu cha Uingereza na US
Nkosi ni kizulu
Allah ni kiarabu
Mungu ni kiswahili
God ni Kizungu cha Uingereza na US
Nkosi ni kizulu
Mimi nasema Allah si Mungu kwa kuwa Mungu tunayemuamini sisi sifa zake si za huyo Allah!!. Mungu huyu wetu yeye anasema USIUE na huyo Allah yeye anaruhusu kuua watu kwa ajili yake. Je hamuoni hapo kuna tofauti?
Msiwe mnadanganyika namna hiyo kama watoto.
Mungu wa kweli huwa hafanyi ubaguzi kwa waja wake.hii ndio maana utaona Mungu ni mmoja tu anayesimamia mambo ya duniani na mbinguni bila mgangano.
kwa Kiswahili tunamwita Mwenyezi Mungu.
Kila watu na majina yao .Muhimu anayekusudiwa ni huyo kutokana na sifa zake.
Allah ni kiarabu
Mungu ni kiswahili
God ni Kizungu cha Uingereza na US
Nkosi ni kizulu
Sio kweliAllah ni kiarabu
Mungu ni kiswahili
God ni Kizungu cha Uingereza na US
Nkosi ni kizulu
Tulikubaiana kuwa Mungu na Allah ni tofautiNasema kama hao Israel Mungu ndie kawatuma itakuwaje
Inawezekana kuna madhila yanatukera sisi binadamu, lakini Mungu kaamua kuyapototezea. Kwanini mpaka tumuombe? Au hayaoni?Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.
Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao
Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.
Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.
Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Sina raha kabisa. Sisi Maarabu tunapigwa mbele na nyuma. Yaani tumetota, hoi tumechanwa msamba Mayahudi yametufilimba kinyama...tunatembea kwa shida....Ngoja nimuite Chizi Maarifa aje tujadili tunafanyaje, mayahudi wanatutembezea kisago na hawa ndugu zetu katika imani wametutelekeza
Kwahiyo sasa mkuu tufanyeje?Sina raha kabisa. Sisi Maarabu tunapigwa mbele na nyuma. Yaani tumetota, hoi tumechanwa msamba Mayahudi yametufilimba kinyama...tunatembea kwa shida....
Maisha ya duniani kila nuktai inatakiwa iwe kwa ajili ya maisha ya milele ya akhera.Mbwa mwenyewe kwa Mungu hana athari yoyote lakini kwa binadamu akishawaambia pahala fulani asiingizwe .Wale watakaomuachia akaingizwa ndio watakaopata hasara kwa kutomzuia ili kujikusanyia pointi za maisha ya mileleSasa kama wameingiza mbwa mskiitni mwao simngeacha Mungu ashighulike nao? Au adhabu waliyostahili ndo ile ya oct 7 walitumwa na Mungu walipe kisasi?.
Mbona kuna nchi za kiislamu kipindi cha ramadhani huwa wakristo wanakataliwa kula mchana na hawadindishi wala hawalipiz kisas?
Au unataka kusema huko china, south korea na russia askari wakiingia na mbwa msikitini hamasi watavamia kama walivofanya oct 7?.
Na wale magaid wanaojitambulisha kama wapigania uislamu wanaoteka, kuua wakristo na kuchoma makanisa kwenye nchi zisizo za kidini unashauri wafanyweje?
Au kuingiza mbwa msikitin kama serikali kuna uhusiano wowote wa kuwavamia raia?.
Sawa kama imani inasema muwazuie ili mpate point hapo sasa ndo pagumu.Maana fikiria pia kama Mungu wa wayahudi kawaagiza waikomboe Yerusalemu unadhan hapi nani atakaye amua huo ugomvi?Maisha ya duniani kila nuktai inatakiwa iwe kwa ajili ya maisha ya milele ya akhera.Mbwa mwenyewe kwa Mungu hana athari yoyote lakini kwa binadamu akishawaambia pahala fulani asiingizwe .Wale watakaomuachia akaingizwa ndio watakaopata hasara kwa kutomzuia ili kujikusanyia pointi za maisha ya milele
Hakuna mkristo anayekatazwa kula mchana.Kinachokatazwa ni kula hadharani kwani kwa kufanya hivyo utakuwa unawashawishi waislamu waache kufanya ibada yao.Mifano kama hiyo tunayo mingi kwenye jamii ambayo japo ni halali na kila mtu anaweza kufanya lakini katiba na kanuni za jamii zinamzuia kufanya hivyo kwa faida ya wengi.
Suala la magaidi kwamba wanateka na kuua wakristo si la kweli na hakuna popote waislamu wanapolifanya hilo.
Ni kawaida sana kwa wakristo kuzusha pale wanaposhindwa kwa hoja