Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Kama anao huo uwezo kuna haja ya kumuomba kweli?
 
Mumuombe vipi Allah wakati anaombewa?
 
Allahuma amini, Mungu awalani wote wanao shiriki kwa njia ya genocide au kuwaombea ndugu zetu kufa haswa wale wanao wapa support hao Mazionist
 
Ngoja nimuite Chizi Maarifa aje tujadili tunafanyaje, mayahudi wanatutembezea kisago na hawa ndugu zetu katika imani wametutelekeza
 
Kuhusu biblia usitake kutuchekesha leo.
Nadhani hujasomo vitabu vya Kinabii kama kitabu cha Daniel na Ufunuo wa Yohana .

Kama unabishana na hivyo vitabu nadhani hata Freemason na Iliminant na shetani wanakushangaa maana hivyo vitabu vimeeleza mpaka na miaka na majira ya matukio makubwa ya dunia na falme kubwa ana nyakati zake kwa kutaja kwa miaka na kupanda na kuanguka kwake .

Hivyo vitabu pia vilieleza kwa ufasaha Anguko la kila ufalme bila kujali ni wa kidini au wa kidunia.
Daniel pia alitabiri miaka mingi sana kubomolewa kwa Hekalu la Wayahudi ambalo hata waislam wanajua kuwa lilikuwepo pale walipojenga Msikiti wa Al Aqsa ,Ambapo Daniel alitabiri kuwa Ni mwanzo wa chukizo kuu.

Israel pia Ilitabiriwa na Yesu Mwenyewe kuwa Baada ya kumkataa nchi yao itabomolewa na lile hekalu halitasalia hata jide juu ya jiwe akimaanisha materials za ujenzi wake zitachukuliwa zote kwani Nabii Sulemani alilijenga kwa madini mbali mbali yenye thamani kubwa na ndani yake palikua na vitu vya thamani kubwa sana vya thahabu .
Biblia maana yake ni Vitabu .Na kila kitabu kiliandika matukio ya mbele yake . Wanatheolojia wakaamua kuvikusanya pamoja kwa sababu vitabu hivyo vilikuwa vinaeleza matukio yanayofuatana japo kwa karne nyingi sana mbele .

Kwa hiyo Israel haipo pale kwa sababu eti Marekani ndiyo imeamua tu from no where bali kuna nguvu kubwa za asili ya uumbaji zinailazimisha Iwe upande wa Israel kwa ajili ya kulinda lile taifa ili kukamisha unabii wa Kuinuka kwa Taifa kubwa litakaloonekana kama taifa lenye hofu ya Mungu na kisha litasimama kuilinda Israel na Mungu atalifanya Taifa hilo kuwa kubwa duniani. Lakini halitakaa sana litaasi na kuporomoka . Mambo ambayo yanaanza kuonekana kwani Marekani imetoka kwenye Imani ya Mungu mkuu(In God We Trust ) na sasa wanajitokeza mpaka watetezi wa Ushoga na usagaji. Na mwengiliano huo na Israel unawafanya mashoga kwenda Israel na kutumia uhuru na Demokrasia kuutangaza ushoga jambo ambalo kwa imani ya kiyahudi na kikristo ni chukizo kubwa sana kwa Mungu .

Jiulize kwa nini Historia inaonyesha kuwa Kila Taifa na utawala uliojaribu kuwaangamiza Waisrael ulianguka . Na kila waliowalinda waliinuka .
Kuanzia Tawala za Waajemi tangu enzi za Babiloni na wafalme wake , Misri na mafarao ,Roman Empire ambayo iligundua mapema kuwa utaporomoka milele baada ya kuivamia Israel hivyo wakajibadlisha na kuitawala dunia kupitia Dini ya Kirumi inayojivika Koti la Ukristo juu yake hivyo automatically Vatikani inajiepusha sana kuipinga Israel ili nguvu yake iendelee duniani . Wale walioishi vizuri na Waisrael waliinuka na kuwa mataifa kubwa .
Nchi za Ulaya ikiwemo Ujerumani zilikua na mafanikio makubwa sana walipokua wanakaa vizuri na Waisrael kwa karne nyingi .
Walipoanza kuwabagua Wayahudi wakajikuta wanaporomoka na kuinuka kwa Marekani ambayo ni rafiki mkubwa wa Israel kwa sasa.

Huo usahihi wa matukio hayo ndio unaoifanya Biblia iwe ni kitabu ambacho ni tishio kubwa sana kwa watawala wa dunia . Ndio maana wanajaribu kila mbinu kukidhibiti na hata kujaribu kutengeneza vitabu vyao na kutumia jina hilo hilo la biblia sijui ya shetani ambayo inajaribu kupotosha na hata kusema kuwa Mungu aitwe mungu mama maana kumuita baba ni mfumo Dume .
 
Maelezo yako ya kusifia usahihi wa maandiko hauko kiasi hicho kwenye biblia.Quran haishii kwenye matukio yajayo bali tangu dunia kuumbwa.Kwenye Qur'an kumetajwa kwa usahihi kuporomoka kwa dola la kirumi na kiajemi na pia imetaja juu ya kulaaniwa kwa mayahudi na kwamba atakayewakumbatia pamoja na wakristo wanaowaunga mkono basi ni adui wa Allah.
Unachoona kinatokea kwa wapalestina sasa hivi ni kwa vile waislamu wameacha kufuata maelekezo yenye mkazo kwenye Qur'an jambo ambalo hawatabaki salama hapo mbeleni na muda si mrefu.
Kwenye maandishi ya vitabu vya biblia kuna habari finyu sana juu ya maisha ya kudumu baada ya maisha mafupi ya duniani.Kwa maelezo ya biblia ni rahisi sana mtu kuishi maisha ya fakhari katika dunia na kufanya kila aina ya uovu kwani matarajio ya akhera kwake si makubwa.
Kutukuza binadamu wenzako na kuwapa nafasi maalumu katika viumbe wa Mungu nalo ni chukizo na kwa waislamu wanaliita shirki ambayo haina toba.
Unapata moyo wa kuwasifu mayahudi kwa vile kwa mtazamo wako kama kwamba kila kitu kinaenda sawa kwao na ndio wanashindwa.Kwenye Quran kumehimizwa subra ya hali ya juu wakati wa shida na kwa hilo Hamas wamefuzu.Pia kumetajwa kwamba Allah daima hawaachii madhalimu kushinda .Bali huwa anawazunguka tu maadui akiwapa muda watu wema kujipatia thawabu kupambana nao na hao madhalimu wapate kujitafakari juu ya wanachokifanya kabla hawajazibiwa njia zote za kutubia siku wakitiwa mkononi.
Hata leo Allha akitaka anaweza kuigeuza ardhi yote wanayoishi mayahudi kuwa juu chini na kufukiwa pasiwepo na hata alama ya majengo.kutokulifanya hilo ni kwa hekima yake na rehma kwetu binadamu sote.
 
Umesoma Biblia lakini au unaukoteza mistari miwili mitatu .
Korani haiwezi kutaja mambo mengi kuliko Biblia kwa sababu Korani yote ni kama kitabu kimoja tu cha Zaburi ambacho mpaka kwa waislam ni kitabu lilichoterelshwa na Mungu . Yaani aya zote za Korani haziwezi kuzidi aya za kitabu cha Zaburi na Mitahli . Sasa hapo bado kuna vitabu zaidi ya 70 achilia mbali Zaburi .Kitabu cha Ayubu peke yake ndani ya Biblia ni karibu robo tatu ya Korani ndima .
Korani imeandikwa kwa mtiririko wa kumashairi kama ilivyo Zaburi . Maandishi ya Korani ni makubwa yaliyoandikwa katikati na kuacha nafsi kubwa hivyo kuifanya Korani kuonekana kubwa ni kitabu kikubwa lakini maudhui yaliyopo ndani ni machache kwa sababu kile ni kama Mwangozo tu wa dini na serikali na mila za waarabu .

Korani ni kama Katiba tu . Hakina mtiririko wa matukio ndio maana majibu mengi mnayapata kwenye vitabu vya hadithi za mtume ambazo ni masimulizi ya vitabu vya biblia ya Kikatoliki na ile ya Othodox kama Joshua Bin Sira ,hekima za Suleiman , Tobiti ,Makabayo n.k.

Biblia kwenye kitabu cha Daniel na Ufunuo ndipo penye maelezo mpaka malaika watakapopata kuipiga dunia sio Isarael Peke yake .

Waisrael wamepewa moyo mgumu ili Mungu apate kuheshimiwa na watu wote duniani . Watu watataka kuipiga Israel lakini watashindwa kwa sababu Mungu hajapanga hivyo . Kama kuna watu wangependa kuiondoa Israel basi sio waarabu bali ni wazungu maana imani ya wayahudi na waarabu hazitpfautiani sana hata ibada na sala zao na hata lugha na maandishi yao yanafanana .Wote wanaandika kuanzia kulia Kuelekea kushoto,wote ni ndugu wa damu .
Wapalestina sio Waarabu halisi kama walivyo Waajemi .
Hata pale Israel sio wote ni Waisrael halisi wengine ni wawekezaji tu wanaangalia maslahi yao lakini linapokuja suala kutaka kuiangamiza Israel ndipo kosa linaofanyika.

Sijawahi kusikia Saidia Arabia wakisema kuwa wataiangamiza Israel . Na israel ingekuwa na mtizamo na uchokozi wa Kidini ingekuwa inaishambulia Saudi Arabia na hata kuvunja Ule msikiti wa Maka uliojengwa na Nabii Sulemani wakati alipojengea miungu mingine nyumba za ibadi ili kuwafurahisha wake zake jambo ambalo lingeweza kuamsha vita kubwa sana duniani . Sasa ni wazi kuwa vita itakua kubwa maana wanaopigana kwenye ile vita ni watu wenye tamaa ya madaraka na mali na sio suala la imani na amani ya watu wasio na hatia .

Leo waisrael waliozaliwa miaka ya 70 utawambie waondoke pale sio kwao waende wapi? Wakisema wakae wote kwa amani wagane maeneo wapalestina wenye imani kali hawataki . Wananchi hawana shida bali wale wenye vyama wanataka madaraka na maeneo japo eneo la Palestina ni kubwa zaidi lakini bado wanataka maeneo madogo ambayo waisrael kwa hakika yapo mpaka makaburi ya Babu zao. Wapalestina waliovamia ukanda ule hawana historia yoyote ya kuitawala gaza . Hawajawahi kwa na mfalme aliyetawala kama vile Daudi alivyotajwa na kumbukumbu na alama zake zipo mpaka leo.

Kwamba Wayahudi wamelaaniwa sio kweli ni waandishi walioandika Korani kwa lengo la kuwaunganisha waarabu dhidi ya Wayahudi lakini wayahudi wakati wanateswa duniani kote kwa karne nyingi mataifa mengine yalikua yana jijenga kijeshi na kiuchumi na kiutawala .Sasa ni zamu ya Israel kutulia kwao na mataifa mengine kuhangaika na maisha . Mwisho wa yote wote tutakaa mezani kwa Uzao wa Daudi na kuwa kitu kimoja na Kuachana na dini za uongo na kurudi kwa Imani moja ya Mungu baba na Masihi Issah Bin Maryam ambaye ndiye atakayeondoa mifumo mchafu ya kilaghai inayochonganisha vita duniani kwa wanadamu wote
 
Mungu
Mungu hatumi mtu afanye kitu ambacho ni chukizo kwake.
Ukiona mtu anafanya hivyo ujue yuko chini ya mashinikizo ya shetani.
Mungu ndiye aliyekiumba kifo.kwahiyo lazima kuwe na sababu za watu kufa kwanamna yoyote ile.Kwa Mungu sisi wote ni sawa ndo maana yale aliyoyaumba tunayafanya kwausawa ikiwepo kuzaana haijalishi wewe utajiona ni mtoto wa Mungu kiasi gani.Kifo ni hakika.
 
Mungu
Mungu hatumi mtu afanye kitu ambacho ni chukizo kwake.
Ukiona mtu anafanya hivyo ujue yuko chini ya mashinikizo ya shetani.
Mungu ndiye aliyekiumba kifo.kwahiyo lazima kuwe na sababu za watu kufa kwanamna yoyote ile.Kwa Mungu sisi wote ni sawa ndo maana yale aliyoyaumba tunayafanya kwausawa ikiwepo kuzaana haijalishi wewe utajiona ni mtoto wa Mungu kiasi gani.Kifo ni hakika.
 
Allahuma amini, Mungu awalani wote wanao shiriki kwa njia ya genocide au kuwaombea ndugu zetu kufa haswa wale wanao wapa support hao Mazionist
Ondoeni ujinga vichwani mwenu ni miaka mingapi sasa imepita mkiwaombea waisrael mabaya? Hakuna hata hawadhuriki wanaendelea tu kuwatwanga wafuga midevu na majini!!!!
 
Hata miaka 1000 kwa Mungu ni michache sana.Miaka 67 ambayo mayahudi wamekuwa wakiwatwanga waislamu haina maana kuwa ni muda mkubwa sana na kwamba wataendelea kufanya hivyo daima.
Waislamu waliitawala Ulaya kwa karne karibu 8 yaani miaka 800 na baadae ukaja Ukoloni Afrika ambao hata miaka 100 haikufika nao ukaanza kuondoshwa.
Ikaja Marekani na Ubabe wake na sasa hata miaka 80 haijafika nayo ndiyo inaondoka.Hivyo miaka 2 ya vita vya Gaza na kuuliwa wapalestina haina maana kuwa israel itaendelea kutamba kwa miaka ijayo kabla kibao hakijawageukia.
 
Webabu, sasa inabidi uishi kwa matumaini tu! Subiri mkuu! Ndicho ulichobakiza....Ila sasa tunaona hivi....

1743842859688.png
 
Hata miaka 1000 kwa Mungu ni michache sana.Miaka 67 ambayo mayahudi wamekuwa wakiwatwanga waislamu haina maana kuwa ni muda mkubwa sana na kwamba wataendelea kufanya hivyo daima.
Waislamu waliitawala Ulaya kwa karne karibu 8 yaani miaka 800 na baadae ukaja Ukoloni Afrika ambao hata miaka 100 haikufika nao ukaanza kuondoshwa.
Ikaja Marekani na Ubabe wake na sasa hata miaka 80 haijafika nayo ndiyo inaondoka.Hivyo miaka 2 ya vita vya Gaza na kuuliwa wapalestina haina maana kuwa israel itaendelea kutamba kwa miaka ijayo kabla kibao hakijawageukia.
Endelea kuamini ujinga waliokuwa ya Hamas Oct 07,2023 wakiamini Allah atawasaidia kuishinda Israel matokeo yake mnalia kama vitoto vya NGURUWE!!!!
 
Mkuu Echomali: Swali kubwa la kujiuliza, hivi Hamas walikaa na kutafakari matokeo nini yatakuwa matokeo ya shambulio lao! Huwa najiuliza sana hilo...!
 
Hata miaka 1000 kwa Mungu ni michache sana.Miaka 67 ambayo mayahudi wamekuwa wakiwatwanga waislamu haina maana kuwa ni muda mkubwa sana na kwamba wataendelea kufanya hivyo daima.
Waislamu waliitawala Ulaya kwa karne karibu 8 yaani miaka 800 na baadae ukaja Ukoloni Afrika ambao hata miaka 100 haikufika nao ukaanza kuondoshwa.
Ikaja Marekani na Ubabe wake na sasa hata miaka 80 haijafika nayo ndiyo inaondoka.Hivyo miaka 2 ya vita vya Gaza na kuuliwa wapalestina haina maana kuwa israel itaendelea kutamba kwa miaka ijayo kabla kibao hakijawageukia.

Webabu, unadhani ni nani atawageuzia kibao...! Nipe hata kwa mbali tu unafikiria ni nani..!
 
Back
Top Bottom