Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Mungu ni muadilifu sana.Kama kuuliwa watoto ni kubaya basi inakuwa kubaya zaidi pale wanapouliwa wengi.
Au unadhani kwako watoto wa kiyahudi wana thamani sana kuliko wa kiislamu ndio maana wameuliwa wengi sana na kufukiwa kwenye vifusi vya nyumba za baba yao na mahema
Tatizo hapa ni udini tu. Kwa nini Hamas walipouwa 07/10/2023 mlishangilia ? Mngehuzunika na dunia kulaani ushetani ule no body angechekelea mateso ya Palestinians. Na tena mkawadhihaki hawavuka mpaka kuingia Gaza. Ngoja walipwe uovu na ubakaji wa 7/10/2023. Uislam sio dini special sana kuliko dini zingine. Heshimuni wengine.
 
Wayahudi wanapambana kwa nguvu zao zote ili waendelee kubaki salama sababu kwa matatizo waliyoisababishia dunia, siku wakitengwa na mataifa yenye nguvu watafanywa vibaya sana!

Yani siku watakosa uungwaji mkono wa mataifa makubwa watafuatiliwa vizazi vyao vyote wauawe.
Ungejiulizq kwanza ni vitu vingapi wamevumbua au makampuni mangapi wanayamiliki na matajir wangap jews ndio uje na hoja ya kutengwa. Jiulize kati ya Israel na marwkan ninani anammiliki mwenzie
 
Wana umuhimu gani kuliko wacongoman?

Mbona Saudia alipokuwa akiua Wayemen hamkuwa mnaanzisha thread za kuwatetea Wayemen?
Au kwa sababu muuaji sasa hivi ni Myahudi ndiyo maana kelele nyingi? Ila akiua mwarab inakuwa poa hakuna kelele?
Saudia alikuwa anapigana na wayemen na mwishowe akainua mikono juu yakaisha
Israel na Marekani wanaua watu bila kipimo na kila anayeuliwa inadaiwa ni Hamas
 
Tatizo hapa ni udini tu. Kwa nini Hamas walipouwa 07/10/2023 mlishangilia ? Mngehuzunika na dunia kulaani ushetani ule no body angechekelea mateso ya Palestinians. Na tena mkawadhihaki hawavuka mpaka kuingia Gaza. Ngoja walipwe uovu na ubakaji wa 7/10/2023. Uislam sio dini special sana kuliko dini zingine. Heshimuni wengine.
Kwanza huna ushahidi wa nani aliyeshangilia hapa
Pili kilichotokea watu walijua kuwa ni muendelezo kutokea mbali sana.Kama unasoma historia mwaka 1947/48 na kabla ya hapo wapalestina waliuliwa na kuchukuliwa ardhi zao kuliko hiyo ocktoba 7.
 
Allah hana uwezo huo yeye anajua tu kumuamrisha mudi kufanya vita na watakatifu
 
Ila waarabu ni wabaguzi na washenzi sana kwa watu weusi.Waache wapigwe tu,simuini huruma mwarabu yoyote.Waarabu ni mashetani kabisa.
Ona waarabu w.Libya na africa ya kaskazini wanavyowabagua waafrika.Sisi ndugu zetu ni wa Kongo na Waganda.Awa ndo tuwaonee huruma.Siyo hayo maarabu mashenzi kabisa
 
Saudia alikuwa anapigana na wayemen na mwishowe akainua mikono juu yakaisha
Israel na Marekani wanaua watu bila kipimo na kila anayeuliwa inadaiwa ni Hamas
Saudia alikuwa na kipimo gani alipokuwa anaua Wayemen?

Israel hajaona umuhimu wa kuinua mikono juu ndiyo maana bado anapigana. Akiinua mikono nayo yataisha

Mbona una upofu mkubwa hivyo? Tuache unafiki.
 
Saudia alikuwa na kipimo gani alipokuwa anaua Wayemen?

Israel hajaona umuhimu wa kuinua mikono juu ndiyo maana bado anapigana. Akiinua mikono nayo yataisha

Mbona una upofu mkubwa hivyo? Tuache unafiki.
Kipimo chake alipoona hashindi badala yake anauwa watu na yeye kupata hasara ndio akaamua kuacha.
Hamas wanamjua sana adui yao kuwa ni kiumbe aliyelaaniwa.Hivyo hana chembe chembe za ubinadamu kama ule wa wasaudia au wa Urusi.Wameamua pamoja na kuomba msaada lakini hawarudi nyuma.Msaada kutoka kwa muumba wao wana uhakika upo karibu sana katika namna ambayo akina nyinyi Kinyungu hamuwezi kujua.
 
Webabu Badala uombe Mungu washenzi wanaoua watoto wadogo,kuwachinja,kuwabaka nakuwalawiti hadi kifo ,kuwateka watu nakuwaua washikwe maisha yamekuwa magumu wewe unaombea nchi za watu na yako imekushinda.

NYie ndio akili umeachaga kwenu ukaja mjini
 
Kipimo chake alipoona hashindi badala yake anauwa watu na yeye kupata hasara ndio akaamua kuacha.

Bado Israel hajaona kama anashindwa ndiyo maana anaendeleza kipigo. Tuache awapige akichoka ataacha kama Saudia.

Hamas wanamjua sana adui yao kuwa ni kiumbe aliyelaaniwa.Hivyo hana chembe chembe za ubinadamu kama ule wa wasaudia au wa Urusi.

Hata ingekuwa mimi nikajua adui yangu anaamini nimelaaniwa, sitaacha kumpiga hata for fun nitampiga tu hadi achakae


Msaada kutoka kwa muumba wao wana uhakika upo karibu sana
hakuna msaada utakuja. Sasa watafutwa kwenye ukanda wa Gaza
 
Webabu Badala uombe Mungu washenzi wanaoua watoto wadogo,kuwachinja,kuwabaka nakuwalawiti hadi kifo ,kuwateka watu nakuwaua washikwe maisha yamekuwa magumu wewe unaombea nchi za watu na yako imekushinda.

NYie ndio akili umeachaga kwenu ukaja mjini
Mnayofanyiwa nyinyi yanakuwa ni makubwa na mabaya sana na mnalalamika kila sehemu.
Mnapoua kwa maelfu na kuumiza kwa maelfu Iraq mpaka kupiga picha mkiwaingilia wanaume wenzenu gereza la Abu ghraib si chochote hicho.
Ingekuwa idadi ya 100 wanaokufa kila siku Gaza imetokea Marekani hata kwa siku moja basi machozi yenu yangebubujika mpaka kila mmoja yakamfikia.Kwa Gaza ni kitu cha kawaida na kidogo sana kwenu.
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja

Wapalestina walishalaaniwa siku nyingi wanavuna walichokipanda .
Biblia haijawahi kutabiri jambo lisitokee .
Usahihi wa Biblia unatokana na unabii ulioandikwa ndani yake .

Wapalestina wakae tu kwa kutulia kwa sababu hakuna ushindi watakaoupata .

Biblia ingekuwa ni kama jarida la Femina kama leo hii Pasingekua na Taifa la Israel na mji mkuu ukawa ni Jerusalem kama ilivyoandikwa kwenye Biblia Takatifu kitabu chenya uvuvio wa Roho Mtakatifu na Historia ya Mwanadamu tangu kuumbwa kwake .
 
Allah aliyeumba mbingu na ardhi na kuzitawala unamfananisha na kiumbe au masanamu yenu.
Kawaida yake huwazunguka watu waovu na mpaka akiwatia mkononi huwa hawana pa kutokea
Allah ni dhaifu tu na hana nguvu ya kufanya lolote. Hata mfunge na kumuomba hakuna kitu atafanya,.... Hamas kichapo kitaendelea kuwakabili hadi wajute kwa walichokifanya October 7
 
Wapalestina walishalaaniwa siku nyingi wanavuna walichokipanda .
Biblia haijawahi kutabiri jambo lisitokee .
Usahihi wa Biblia unatokana na unabii ulioandikwa ndani yake .

Wapalestina wakae tu kwa kutulia kwa sababu hakuna ushindi watakaoupata .

Biblia ingekuwa ni kama jarida la Femina kama leo hii Pasingekua na Taifa la Israel na mji mkuu ukawa ni Jerusalem kama ilivyoandikwa kwenye Biblia Takatifu kitabu chenya uvuvio wa Roho Mtakatifu na Historia ya Mwanadamu tangu kuumbwa kwake .
Kuhusu biblia usitake kutuchekesha leo.
 
Kwani wale ndugu wa Kijini hawawezi kuwasaidia?
Hapo maana ya undugu iko wapi kama sio kusaidiana wakati wa shida:
 
Ili mungu Allah akamilike, sharti uanze kumzungumzia Mungu wa Wayahudi/Waisrael yaani Yahwee/Jehova. Yaani ili kitabu cha Kiislam ili kikamilike ni LAZIMA uijue dini ya Wayahudi kwanza, na ni lazima UTAJE manabii wao wote (ndugu zao Wayahudi ) ndipo aje mwarabu wa Saudia bwana Mohammed, Mohammed na story zake, kitabu chake na hata hadithi zake, hazikamiliki bila vitabu vya Wayahudi, bila manabii wa Kiyahudi, bila mababa na mababu wa Wayahudi. Sasa, Allah anaweza kutoboa kwa hawa kweli? Maanake ukamilifu wa story zake zote, lazima uanzie kwenye historia ya hawa watu. Allah anaweza kufanya kwa miungu mingine labda, sio kwa Mungu wa Wayahudi. Anae bisha hi aje tuendelee kujadiriana.
 
Mbona kama wote uliowataja ndo waliotuletea stori za huyo Mungu. Huenda wana ruhusa yake kwa kinachoendelea
 
Tulishangilia october sasa wanavuna walichopanda. Wapigwe tu watu wakiambiwa msifanye hivi, wakakaidi wakafanya.wapigwe maana hamna namna.na mimi nasema wapigwe. Hata allah anaona ni wapumbavu unamchokoza mtu akikwambia staki uchokozi unashangilia kuwa umemuweza akikugonga mbele na nyuma unalalamika.
Na wapigweeeeeeee
 
Allah ni sanamu tu la pale Mecca na halijawahi kuwepo juu mbinguni so halina uwezo wowote pale mecca kaba pole sana.. Waisrael ndio wana Mungu na hawezi kuwaacha kinachoendelea now ni adhabu kwa wa arabu so kaa pembehi utizame tu..
Aiseeeee
 
Back
Top Bottom