Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Tengenezeni jeshi lililo imara, tengenezeni silaha na ikibidi mnunue silaha ili mpambanie nchi 'yenu'. Hakuna mambo ya sijui Allah wenu huyo mtaomba na hakuna anachoweza kufanya, wewe unadhani hao ambao ndugu wanauawa hawaombi kwa huyo Allah na kwa nini Allah hazuii hayo mauaji kama ni dhulma anasubiri mpaka aombwe. Allah huwa yuko wapi wakati wauaji, rapists na pedophiles wana inflict madhila kwa vichanga pamoja na watu wazima?
Imani zinawapumbaza sana to the extent that you can't use common sense.
Kuna jamaa Lindi kafungwa maisha kwa kumtafuna mtoto wake wa kumzaa
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Nadhani wenzenu waliwahi kupeleka maombi yao, yanashughulikiwa kwanza. Allah akomaliza kujibu maombi ya wenzenu Mayahudi walioomba watekaji, wabakaji na wauaji wa Oktoba 7, 2023 washushiwe kipondo pamoja na washirika wao. Allah atapokea maombi yenu na kuona ikiwa atawasaidia.

Mambo mengine ni ya kujitakia tu. Wamejaza chuki moyoni kuifuta Israel na Mazayuni, wanafutwa wao sasa.

Mungu hadanganyiki, utavuna unachopanda moyoni mwako
 
Mnayofanyiwa nyinyi yanakuwa ni makubwa na mabaya sana na mnalalamika kila sehemu.
Mnapoua kwa maelfu na kuumiza kwa maelfu Iraq mpaka kupiga picha mkiwaingilia wanaume wenzenu gereza la Abu ghraib si chochote hicho.
Ingekuwa idadi ya 100 wanaokufa kila siku Gaza imetokea Marekani hata kwa siku moja basi machozi yenu yangebubujika mpaka kila mmoja yakamfikia.Kwa Gaza ni kitu cha kawaida na kidogo sana kwenu.
Mimi ni mwanamke sio men halafu Mungu anasikia sala za shida zako sio za watu wengine na nyakati unashida wewe kwanza so ombea nchi yako wale wataombea yakwao.
 
Mungu hatumi mtu afanye kitu ambacho ni chukizo kwake.
Ukiona mtu anafanya hivyo ujue yuko chini ya mashinikizo ya shetani.
Oct 07,2023 Hamas walifanya chukizo kwa Allah? Na walifanya mauaji hayo ya kutisha kwa niaba ya Shetani? Naomba majibu!!
 
Wakati wa kisasi haitaangaliwa dini.

Mfano mimi ni mkristo kwa kuzaliwa ila kwa sasa sina dini lakini nina uchungu sana kwa yale wanayotendewa wapalestina hadi natamani ningeweza kulipa kisasi kwaajili yao. Unadhani mtu kama mimi nikipewa rungu nitaangalia mipaka ya dini?
Na wewe zitakuwa hazikutoshi!! Wapalestina si wa kuonewa huruma ni wakatili sana acha wapigwe tu wakome!!
 
Tulishangilia october sasa wanavuna walichopanda. Wapigwe tu watu wakiambiwa msifanye hivi, wakakaidi wakafanya.wapigwe maana hamna namna.na mimi nasema wapigwe. Hata allah anaona ni wapumbavu unamchokoza mtu akikwambia staki uchokozi unashangilia kuwa umemuweza akikugonga mbele na nyuma unalalamika.
Duh
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha imani na ujinga (siyo tusi)
Kwahiyo Mungu ameshindwa kusikiliza dua za mamilioni ya wapelestina aje asikie dua ya 😀😀😀
Hii ni sawa na mtu kupiga simu kwenye kipindi cha michezo cha radio ya bongo, halafu anataka kumshauri kocha wa Man city 😀
 
Kwanza huna ushahidi wa nani aliyeshangilia hapa
Pili kilichotokea watu walijua kuwa ni muendelezo kutokea mbali sana.Kama unasoma historia mwaka 1947/48 na kabla ya hapo wapalestina waliuliwa na kuchukuliwa ardhi zao kuliko hiyo ocktoba 7.

Na wengine tukisoma Historia inasema kitu kingine kabisa!
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja

Wangeachia mateka haya yote yasingewafika!

1743798872204.png
 
1743799080205.png
 
Maombi yote yale lakini Allah kakaa kimya tu plan B ni kuacha mafundisho yake kama kuprotest labda anaweza kujitokeza.
 
Allah mwenyewe kazaliwa akiwa na hitirafu Mikono yake yote ipo upande wa kulia according to Mohamed Mudy kwanza Muombeeni yeye awe sawa kwanza. afanyiwe Surgery na Netanyahu mkono wake mmoja upinduliwe ugh.. Mr. Ugoko

It was narrated from 'Abdullah bin 'Amr bin Al-'As that:
The Prophet [SAW] said: "Those who are just and fair will be with Allah, Most High, on thrones of light, at the right hand of the Most Merciful, those who are just in their rulings and in their dealings with their families and those of whom they are in charge." Muhammad (one of the narrators) said in his Hadith: "And both of His hands are right hands."
 
Back
Top Bottom