Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Hamna kitu
 
Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia Allahmpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Allah hana habari hizo.
 
Hamas walifanya wajibu wao.Waliokufa wamepata faida na walio hai ambao wameamua kufa na mateka pia wana fungu lao.
Hivyo hawakutumwa lakini walifanya jukumu lao.
Akifanya hamasi ni jukumu akifanya Israeli siyo jukumu. Kwa hiyo walipopiga oct7 lilikua jukumu Ila Israel walitakiwa kutulia wauliwe wote maana ni jukumu la hamasi kuwauwa? Ila si jukumu la Israeli kulinda watu wao na jamii yao?. Kama hamasi walichofanya Oct 7 kwako ni jukumu pia elewa hata Israel anachofanya ni jukumu pia
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Tengenezeni jeshi lililo imara, tengenezeni silaha na ikibidi mnunue silaha ili mpambanie nchi 'yenu'. Hakuna mambo ya sijui Allah wenu huyo mtaomba na hakuna anachoweza kufanya, wewe unadhani hao ambao ndugu wanauawa hawaombi kwa huyo Allah na kwa nini Allah hazuii hayo mauaji kama ni dhulma anasubiri mpaka aombwe. Allah huwa yuko wapi wakati wauaji, rapists na pedophiles wana inflict madhila kwa vichanga pamoja na watu wazima?
Imani zinawapumbaza sana to the extent that you can't use common sense.
 
Mungu hatumi mtu afanye kitu ambacho ni chukizo kwake.
Ukiona mtu anafanya hivyo ujue yuko chini ya mashinikizo ya shetani.
Tutajuaje kwamba hili ni chukizo na hili siyo chukizo?
 
Dua
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Dua za aina hiyo zimeshafanyika nyingi na hakuna kilichotokea, huwezi kumpangia Mungu Nini cha kufanya, yeye anaona yote yanayondelea. Ndivyo ambavyo ametaka iwe
 
Vipi ikiwa na wao walitangulia kumuomba Allah awashushie kipigo walioua, kuteka na kubaka Oktoba 7, 2023?

Yaweza kuwa hicho kipondo ndio majibu ya Allah kwa yaliyotokea Oktoba 7, 2023

Allah sio Athuman
 
Hamas walifanya wajibu wao.Waliokufa wamepata faida na walio hai ambao wameamua kufa na mateka pia wana fungu lao.
Hivyo hawakutumwa lakini walifanya jukumu lao.
Mateka je, hawana fungu lolote?
 
Tengenezeni jeshi lililo imara, tengenezeni silaha na ikibidi mnunue silaha ili mpambanie nchi 'yenu'. Hakuna mambo ya sijui Allah wenu huyo mtaomba na hakuna anachoweza kufanya, wewe unadhani hao ambao ndugu wanauawa hawaombi kwa huyo Allah na kwa nini Allah hazuii hayo mauaji kama ni dhulma anasubiri mpaka aombwe. Allah huwa yuko wapi wakati wauaji, rapists na pedophiles wana inflict madhila kwa vichanga pamoja na watu wazima?
Imani zinawapumbaza sana to the extent that you can't use common sense.
Umeeleza vizuri sana.

Cha kusikitisha ni kuwa mtu aliyepumbazwa na dini hata uelezee vizuri namna gani hawezi kuelewa.
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
 
Mungu ni muadilifu sana.Kama kuuliwa watoto ni kubaya basi inakuwa kubaya zaidi pale wanapouliwa wengi.
Au unadhani kwako watoto wa kiyahudi wana thamani sana kuliko wa kiislamu ndio maana wameuliwa wengi sana na kufukiwa kwenye vifusi vya nyumba za baba yao na mahema
Kwani nyinyi mlitaka Israel idadi Sawa na hamas ilivyoua?
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Sidhani kama mpaka hapo hawamwelewi Allah ni nani.
 
Basi na Izrael wanafanya majukumu yao dhidi ya adui zao, huyo Allah ndo aliwatuma Hamas
Yaani anashangaza sana wakifanya hamas anasema ni majukumu kwa Israel siyo majukumu. Alitaka wauwawe wanyamaze tu. Yaani huyu itakadi yake ni kuwauwa wayahudi wote duniani Ila ataki kuwa kuwazi jukwaani humu
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Mungu sio Allah.
 
Mkuu hao jamaa wataendelea kupigwa tu mpaka basi, huwezi kuwalaani walio barikiwa. Mtakesha sana kwenye masinagogi mkiwalaani msione majibu
NB: kauchokozi alianza Allah mwenyewe kuwatuma Hamas wawavamie Israel taifa la Mungu mkuu
 
Muda umefika sasa wa kumuomba Allah ateremshe rehma zake kwa wapalestina na ghadhabu zake kwa wanaowaua na kuwatesa pamoja na wale wanakaa kimya na wanaosaidia madhila hayo.

Watu hao kwanza ni watawala wa Israel na Marekani pamoja na majeshi yao

Wanaofuatia ni watawala wa nchi zote za kiarabu na kipigo kikali kiwe kwa majirani na Palestina.Mungu awape mitihani mpaka wote wasambaratike na tawala zao kushikwa na wanyonge ndani ya maeneo yao.

Baada ya hapo ni mataifa yenye waislamu wengi ambayo yameshindwa hata kutoa kauli za kulaani na kuvunja uhusiano na wanaowapiga wenzao bila kizuizi.

Dua kama hizi ni halali na zina dalili kwa mitume na waja wema waliotangulia pale walipoona jeuri na kibri za watu wao zimepindukia mpaka.Nabii Nuhu as ni mmoja ya walioamua kuomba msaada wa Allah na ukaja
Allah ameshindwa kusikia maombi ya hamas ambao ni warabu wenzie sembuse wewe mmakonde
 
Hamas walifanya wajibu wao.Waliokufa wamepata faida na walio hai ambao wameamua kufa na mateka pia wana fungu lao.
Hivyo hawakutumwa lakini walifanya jukumu lao.
Basi waendelee na jukumu lao mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom