Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana.

Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
 
Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit.Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena.Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana. Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Umri ule na maradhi ni mzigo mzito sana wa maumivu.

Tunamuombea kwa Mungu ampe haueni njema. Ampe mwisho mwema wenye mwanzo wa mapumziko dhidi ya maumivu
 
Back
Top Bottom