chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Nimejikuta naikumbuka hii ngoma..kwenye mida ya saa 4 hivi kama sijakoseaMkuu umenikumbusha kipindi cha Ugua pole enzi za R.T.D
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejikuta naikumbuka hii ngoma..kwenye mida ya saa 4 hivi kama sijakoseaMkuu umenikumbusha kipindi cha Ugua pole enzi za R.T.D
Umetumia vigezo ganiMchezaji bora wa tatu wa muda wote baada Messi na diego armando Maradona
Umri ikishasogea sana na maradhi mtu anakuwa haogopi tena kifo
Alizaliwa 23/10/1940 kwa hiyo ana miaka 82Ana miaka mingapi? Isije ikawa imezidi ile ya ahadi tulopewa ukiwa na nguvu au yupo kwenye ile miaka ya tabu na mateso
Pelé released a statement on his health [emoji3590]Pele[emoji26][emoji26][emoji26]safari njema dingiii[emoji1488]dah[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Messi+ Maradona unapata Pelletatizo lipo wapi ?
Walikuwa wameandaa kila kitu miaka mingi kablaJamani na watakuwa walijuwa anytime anakufa. Mmh sipati picha alikuwa under care kiasi gani, watakuwa walifanya kila njia ikashindikana
Ila kwa umri wake hata si mbaya, matunzo yalichangia yeye kuishi muda mrefu ,angekuwa akina sie ashakufaga muda mrefuWalikuwa wameandaa kila kitu miaka mingi kabla
Wenzetu hawajui uchuro bali wanajua kifo kitakuja tu na maandalizi muhimu
Walimuangalia sana na wakati wa covid alikuwa isolated na familia yote mpaka mme wake
Ila baadae aliletewa mme wake Windsor castle
Kwa kweli maradhi ya cancer ni mabaya sana na yanauma haswa labda uwe constantly kwenye madawa ya kupunguza maumivu kwa sana
Na kama kula Bata mbona kala sana tuIla kwa umri wake hata si mbaya, matunzo yalichangia yeye kuishi muda mrefu ,angekuwa akina sie ashakufaga muda mrefu
Haa wewe umezunguka loh nchi 32 aiseee sasa mimi nisememe nini naishigi tu East Africa 😅😅😅Na kama kula Bata mbona kala sana tu
Alikuwa anaitwa Million Mile Queen
Yaani kamezunguka Dunia maili zaidi ya million
Nchi 117 sio mbaya eti?
Halafu mimi nimeenda nchi 32 najiona nimezunguka saaaanaaa [emoji1]
Kama ni starehe kapata na kaupiga mwingi
Kwa umri huo ni sawa kaumaliza mda
Yaani tuombe afya sio umri kwa kweli
Finally. Inasikitisha ila as far as binadamu huzaliwa,basi lazima afe. R.I.P mfalme wa soccer.Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana.
Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Dah ulitabiri bhna sema nn yote maishaFinally. Inasikitisha ila as far as binadamu huzaliwa,basi lazima afe. R.I.P mfalme wa soccer.
Hata ukifa taratibu haja kubwa lazima itokeMimi ningeomba wanichome sindano nife taratibu, hayo maumivu hayaelezeki aiseeh.
Fafanua kidogo