Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Duh!

Watu humu mnaongea utafikiri mmeshawasiliana na muumba wake kwamba atafariki soon

Tukumbuke kuwa maisha ni fumbo, na kila mtu hajui ni siku gani atatwaliwa!!

Usishangae kuona kuwa, weww ambaye ni mzima, ukatwaliwa kabla yake yeye ambaye tunadhani atatangulia soon!

Kifo si cha kumtabiria mtu, kwa kuwa ni chetu sote!!

Nimesikitika sana!
 
Maisha ni nn? 😥😥 Nina hakika kwa umri hata wa miaka 100 mtu unakuwa hoi na kujiandaa kufa ila ukiangalia dunia ndo kwanzo inaendelea kuwa advanced ,lakini wewe mda wako unakuwa umefika kikomo.

Tunaondoka tukiwa bado tunahitaji kuishi.je Maisha n nn haswa?
 
Wewe ni nani wa kupanga cha kuandika humu ?
pele ni mtu wa mpira na wote niliowataja ni watu wa mpira au ulitaka nimtaje john sins humu ?
Simaanishi kutaka kukupangia. Sijakushurutisha uandike hivi alafu uache vile.

Nimesema wazi 'mtaanzisha mjadala mwingine usio na mantiki'. Hakuna mahala nimesema usiandike hiki.

Ok!. Nilimaanisha kuwa huu ubishani wa Pele na wengine, utawaufanya uzi ubadilishe uelekeo kuwa nani ni nani.

Huu uzi ulipaswa uwe mahususi kwa ajili ya Kumuombea apumzike anapostahili pasipo kuwalinganisha na wengine
 
Ana miaka mingapi? Isije ikawa imezidi ile ya ahadi tulopewa ukiwa na nguvu na yupo kwenye ile miaka ya tabu na mateso
82 years old anasumbuliwa na Colon Cancer ambayo Chadwick Boseman ilimchukua 2020 ikiwa imeshafika Stage IV kwa hio kwa hatua aliyofika Pele possiblity kubaki hai ni ndogo mno anytime announcement inaweza ikatoka
 
Simaanishi kutaka kukupangia. Sijakushurutisha uandike hivi alafu uache vile.

Nimesema wazi 'mtaanzisha mjadala mwingine usio na mantiki'. Hakuna mahala nimesema usiandike hiki.

Ok!. Nilimaanisha kuwa huu ubishani wa Pele na wengine, utawaufanya uzi ubadilishe uelekeo kuwa nani ni nani.

Huu uzi ulipaswa uwe mahususi kwa ajili ua Kumuombea apumzike anapostahili pasipo kuwalinganisha na wengine
Unamuombea vp mtu apumzike anapostahili kabla hajafa ?
hata akifa wewe kitakuuma nini au utapungukiwa nini
kafa diego armando Maradona na mpira unaendelea

mtu wa mpira tutaongelea mpira tu
 
Hands up!.

You've won!. Maana unachotafuta ni ligi. Tutaishia kuubadili upepo.
hapa halikuwa swala nani ashinde nani ashindwe
mie nimetoa mtazamo wangu wewe ni either uukubali au uukate
sipo hapa kubishana na watu
 
Wakati wake ukifika apumzike kwa amani, sikumshuhudia akicheza ila kwa kumfatilia vizuri, videos zake na mengineyo nakiri pele ni mchezaji bora wa muda wote.

Nilijaribu kutengeneza documentary, ila nikakwama kwenye baadhi ya mambo pc ikapotea huku nishafanikisha pakubwa... Ya pele ilikuwa imekamilika kwa 75%, maradona 30% Liverpool vs ac Milan (2005) 100%.. Thierry henry na Dennis Bergkamp 20%.

Pele alikuwa anaujua na hatari pia, chochote kinachomuhusu mchezaji wa nafasi ile yeye alikuwa ana A+
 
Back
Top Bottom