Kuna myth nyingi ila hata cells za mwili zikifa zinadecompose zinakuwa sumu na ile sehemu zilipodecompose Inakuwa ndo cancer inaanzia pale.
Mfano unajua zile x-ray scanner Zina mionzi mikali ukipiga mara kwa mara kweny mwili zinaweza kuua cell ,sasa cells zikifa zinarundikana na kudecomposed basi ni uchafu na ni cancer ile sehemu na inaanza kusambaa kuua cells nyingine na hapo ndo unashangaa inasambaa .
Zipo sababu nyingi San za cancer hata baadhi ya kemikali kweny vinjwaji zinaweza kuleta cancer mwili..ubaya kuhusu cancer inasambaa sana unaweza kupata caner ya damu hii mzee fasta inakimbiza na kusambaa katika mwili..Kuna mpak ya mifupa yaani acha tu.