Ana 82.Ana miaka mingapi? Isije ikawa imezidi ile ya ahadi tulopewa ukiwa na nguvu na yupo kwenye ile miaka ya tabu na mateso
Umri ule na maradhi ni mzigo mzito sana wa maumivu.Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit.Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena.Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana. Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Siyo kweliMchezaji bora wa tatu wa muda wote baada Messi na diego armando Maradona
Mtaanzisha mabishano mengine yasiyo na mantiki.Mchezaji bora wa tatu wa muda wote baada Messi na diego armando Maradona
Siyo kweli
Hapa hakuna cha get well soon mkurugenzi! Yaani kiufupi mzee mzima kansa imeshasambaa mwilini. Hivyo anasubiri tu kuaga dunia.Get well soon legendary.
Hali mbaya.Hapa hakuna cha get well soon mkurugenzi! Yaani kiufupi mzee mzima kansa imeshasambaa mwilini. Hivyo anasubiri tu kuaga dunia.