Tumuombee sana Profesa J

pole sana Kamanda J, issue ya figo ni nzito sana (kama ni jinsi inavyosemwa).

Mwenyezi Mungu akuponye!.
 
Mambo km haya bora umurudie Mungu tu utubu ,umuombe akuponye bure!
Na Mungu ni wa rehema sana.
Ushaambiwa magonjwa km haya hayana tiba bado mtu unahangaika kupoteza hela hospital, mi hapana ni kurudi tu kwa muumba !
So tumtoe ICU tumlete Kawe kw mwamposa au ubungo kwa gwajima mzee wa unoo au kivule kwa Suguye wa wrm???
 
Kuna nyimbo zaidi ya tatu nimemsikia Jay wa Mitulinga akisema "mshazusha sana kua nimeathirika",Jay Ana miwaya..pia kalapina kwenye ngoma yake beef akisema Jay kaungua..najua yote sanaa tu,mwamba atapona tunamuombea...

Acheni Ukocho mabinti wa king'oko na mgoroko dudubaya ,nakuonea huruma najua una miwaya virusi alivyokupa mayala aliyekufa kule tanga.

Babuu na miraji kikwete kiama mnataka nikilete niwavunje miguu mjiunge na kundi la viwete.

Narudi kwa Dudubaya nishakupa mashigeli ya tumbo bills ukakimbia liheshimu kanisa mapadre wamekusaidia wamekutoa mwanza ukichunga ng'ombe.

Miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunashare kiporo cha wali uliobaki dingi kushika ikulu unataka kunishitaki.

Muulizeni gasho benzino sasa nimefunga mbeleko mgongoni nimebeba kino kwa ngumi na wino nimetweta kama chino ongea nikutoe jino.
 
Haha mzee umeuaa
 
mkewe amchangie mwezake

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Jiwe tulimuombea hadi akaingia futi 6 huyu. Tumuombeaje?
Ahahaha kwamba bila maombi asingeenda futi sita?? Kufa ni asili ya chochote kile chenye uhai, bila kujali factor zozote zile nyinginezo, hâta huyu jamaa yetu kama kimefika hawezi kupona.

Kama hauamini jiombe wewe usife.
 
Ahahaha kwamba bila maombi asingeenda futi sita?? Kufa ni asili ya chochote kile chenye uhai, bila kujali factor zozote zile nyinginezo, hâta huyu jamaa yetu kama kimefika hawezi kupona.

Kama hauamini jiombe wewe usife.

Sasa kama kufa na kwa yoyote kwa nini watu wanahagaika misikitini na makanisani kuomba watu wao wapone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…