6321
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 649
- 1,117
Chadema mpo wapi? Kamanda anateseka[emoji24]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dialysis is a procedure to remove waste products and excess fluid from the blood when the kidneys stop working properly. It often involves diverting blood to a machine to be cleaned.kila week anakwenda kufanya analysis
natumaini unamaanisha dialysis, maana analysis lipo general mno.
Naona umekazania ngoma,hujafa hujaumbika.Msi isingizie pombe .. dear Pombe pole unasingiziwa jamani.
Tatizo Ni ngoma ..ARV ndo tatizo Ina anzia apo
Chadema ndio wana store ya figo au?Chadema mpo wapi? Kamanda anateseka[emoji24]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
So tumtoe ICU tumlete Kawe kw mwamposa au ubungo kwa gwajima mzee wa unoo au kivule kwa Suguye wa wrm???Mambo km haya bora umurudie Mungu tu utubu ,umuombe akuponye bure!
Na Mungu ni wa rehema sana.
Ushaambiwa magonjwa km haya hayana tiba bado mtu unahangaika kupoteza hela hospital, mi hapana ni kurudi tu kwa muumba !
Kuna nyimbo zaidi ya tatu nimemsikia Jay wa Mitulinga akisema "mshazusha sana kua nimeathirika",Jay Ana miwaya..pia kalapina kwenye ngoma yake beef akisema Jay kaungua..najua yote sanaa tu,mwamba atapona tunamuombea...
Acha kuwa kama nyang'au au juha.... UTAPIGWA NA KITU KIZITO KATIKATI YA MAPAJA.Chadema mpo wapi? Kamanda anateseka[emoji24]
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Haha mzee umeuaaAcheni Ukocho mabinti wa king'oko na mgoroko dudubaya ,nakuonea huruma najua una miwaya virusi alivyokupa mayala aliyekufa kule tanga.
Babuu na miraji kikwete kiama mnataka nikilete niwavunje miguu mjiunge na kundi la viwete.
Narudi kwa Dudubaya nishakupa mashigeli ya tumbo bills ukakimbia liheshimu kanisa mapadre wamekusaidia wamekutoa mwanza ukichunga ng'ombe.
Miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunashare kiporo cha wali uliobaki dingi kushika ikulu unataka kunishitaki.
Muulizeni gasho benzino sasa nimefunga mbeleko mgongoni nimebeba kino kwa ngumi na wino nimetweta kama chino ongea nikutoe jino.
AMEKUFA (Kisiasa). Sio mbunge tena!
Dah jamaa wewe kifo ni fumbo umejitowa ufahamu kidogo ili upate nguvu ya kujitetea, yote ya nini haya.AMEKUFA (Kisiasa). Sio mbunge tena!
Sijakusoma buda!Dah jamaa wewe kifo ni fumbo umejitowa ufahamu kidogo ili upate nguvu ya kujitetea, yote ya nini haya.
mkewe amchangie mwezakeKama ni Figo nadhani anahitaji zaidi Figo kuliko maombi...., Watu wamchangie, and by the way tuanze utamaduni wa mtu akiaga dunia ku-donate baadhi ya organs kwa kusaidia wanaobaki duniani; huu utamaduni wa kuzika perfectly good organs ni uchoyo kwa wanaobaki
Ahahaha kwamba bila maombi asingeenda futi sita?? Kufa ni asili ya chochote kile chenye uhai, bila kujali factor zozote zile nyinginezo, hâta huyu jamaa yetu kama kimefika hawezi kupona.Jiwe tulimuombea hadi akaingia futi 6 huyu. Tumuombeaje?
Ahahaha kwamba bila maombi asingeenda futi sita?? Kufa ni asili ya chochote kile chenye uhai, bila kujali factor zozote zile nyinginezo, hâta huyu jamaa yetu kama kimefika hawezi kupona.
Kama hauamini jiombe wewe usife.
Hapo shida iko wapi boss? Sijatukana, sijakebehiAcha kuwa kama nyang'au au juha.... UTAPIGWA NA KITU KIZITO KATIKATI YA MAPAJA.