Ulaji wa mavyakula ya hovyo, kuna vijana wengi sana mtaani ambao siku haiwezi kupita bila kunywa soda mbili au tatu, yaani kwa mwezi anakuwa amekunywa soda 60-90 huku maji akinywa glass moja au mbili kwa siku. Kwa huu ulaji hâta uwe na mwili gani huwezi kutoboa.Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo[emoji26][emoji26]
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo[emoji26][emoji26]
Kifo ni asili ya kila kiumbe hai, hakuna namna unaweza kukizuia kikifika.Sasa kama kufa na kwa yoyote kwa nini watu wanahagaika misikitini na makanisani kuomba watu wao wapone?
Hadi bamia nimekwishaaa🤔🤔🤔na hakuna kitu kinapulizwa dawa nyingi Kama matango na bamia.
Kifo ni asili ya kila kiumbe hai, hakuna namna unaweza kukizuia kikifika.
Yatafanya kazi kwenye vitu vingine ila sio swala la kuzuia kifo.Kwa iyo maombi hayafai kazi?
Wanasema ya kuroweka ndio nzuri zaidi. Unaweka kwenye jagi kiasi na maji unafunika toka usiku mpk asubuhi. Then unakunywa. Au likewise.Chuma kiasi chemsha chuja kunywa. Simple as that!
Ukienda soko la Kariakoo pale nje wanauza. Kifungu 500. Inasafisha mno figo. Pia unaweza kuipanda nyumbani kwako. Na ikistawi itumie pia kwenye chai kama kiungo.
Nasikia katokaHali yake inaendeleaje???
Bado...Nasikia katoka
Sasa anaendelea vzr
We hz taarifa una uhakika nazo?Bado...
Total kidney failure
Yaani Kila mtu anasema lake ,mara katoka mara bado sijui tushike lipi.We hz taarifa una uhakika nazo?
Malyenge mutu wangu badala ya kuniombea mja dua kea Allah unauliza maswali mbofu mbofu. Umekuwaje siku hizi yakheee?!ICU ni hospitali gani hiyo?
Dah King tunashukuru kwa hii habari njema. MUNGU amjalie nguvu, afya na maisha marefu.Kwa Mujibu wa Godlisten Malisa GJ amesema kwamba Prof Jay anaendelea vizuri ,ameyasema hayo leo wakati "Akichezesha Taya" na Big Chawa EA Radio.
Yasababishwa na mambo mengi.Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
Hata le dasi piaZipo sababu nyingi ila kubwa ni shinikizo kubwa la damu, kisukari, kuziba kwa virija kwenye figo na mawe kwenye figo
Pole sana Kamanda wetu Professor J, MUNGU mwenye huruma na upendo mwingi akusaidie ili upate kupona.Anaumwa sana, kalazwa ICU, MNH inasemekana ana shida ya figo..... Get well Soon Prof J.
Mint ni mti gani mkuu, msaada kapicha.Pamoja na mint. Mimi nimeipanda napoishi. Si unajua wahaya tunajua sana dawa.
Mint sio mti uko katika muundo wa maua,search goolge mint utawekewa picha zake.Mint ni mti gani mkuu, msaada kapicha.