Tumuombee sana Profesa J

Ni kweli
 
Kuna nyimbo zaidi ya tatu nimemsikia Jay wa Mitulinga akisema "mshazusha sana kua nimeathirika",Jay Ana miwaya..pia kalapina kwenye ngoma yake beef akisema Jay kaungua..najua yote sanaa tu,mwamba atapona tunamuombea...
 
Kuna wimbo wake mmoja unaitwa 'Kipi Sijasikia' kuna mstari anasema ' . . . hata maji kwenye glasi wanasema nakunywa pombe . . .'

Nisiwe muongo nafikiria nawapataje ndugu zake niwauzie figo.
Daaaaah [emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…